wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Je Serikali inaweza kuwafanyia Wananchi Uhaini? Maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi

    Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi! Kama serikali inafanya uhaini dhidi ya wananchi, kwanini wananchi nao wasifanye uhaini dhidi ya serikali ambayo...
  2. ELI COHEN

    Tuseme ndio umekuwa rais, na unataka kuwa fair square!, ni hatua gani utazifanya kuboost uchumi wa wananchi wa kawaida angalau hata kwa asilimia 35%

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  3. Think2

    Kwa nilivyomuelewa Polepole hata kama wananchi wakisusia kupiga kura, CCM itashinda tu

    Kwa mfumo wao wa NIDA asee unaweza usifike kituo cha kupiga kura lkn mfumo ukatick umepiga kura tena umechagua CCM kabisa Yaani kura inajipiga automatically wewe ukiwa om afu utasikia 30 millon wamemchagua Samia then hiyo 7 million ni CHAUMMA na matawi mengine
  4. ELI COHEN

    Kwa hali iliopo nchini Kenya ni basi tu wananchi hawana silaha za moto.

    Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote. Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa...
  5. M

    Bunge la wananchi linaruhusiwa Tanzania

    Habari wakuu Kuna suala la wananchi kukutana na kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali yanayotokea katika nchi upande wa siasa, jamii na uchumi. Kwa wenzetu nchi jirani, wananchi wana maeneo maalum yametengwa maalum kwaajili ya shughuli ya kutoa maoni na ushauri ,mfano pale Nairobi (Jacaranda...
  6. R

    Nyerere: Chama kinacholindwa/kukubalika kwake kunategemea sheria/dola, si kukubalika na Wananchi. Kijitazame sana

    Kutoka X: Wenye njaa Sasa pale Lumumba wanavyo kasirika sasa.wanajisahaulisha kuwa hii NCHi ni ya vyama vingi Sasa hawataki. Mwl. Nyerere alionaga mbali Sana alijua hawa MaCCM HOFU NDANI YAO watasumbua waTanganyika Naiona CCM ikipasuka kama KANU. Na mpasuko huo utaleta tumaini jipya kwa...
  7. McLaren

    GE2025 Sugu: No Reforms haikuanza na CHADEMA. No Reforms walianza nayo wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita

    Wakuu, Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita. Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita Wananchi walikataa tamaa kwenye Uchaguzi kwani walianza kukataa kujitokeza kupiga kura Msikilizeni hapa
  8. H

    Wahuni Wameteka Kila Kitu, Wananchi Waende Wapi?

    Mpaka sasa, kama alivyosema Polepole, wahuni wamefanikiwa kuteka kila kitu: 1. Wahuni wameteka dola, ndiyo maana tunaona hakuna chombo chochote cha ulinzi na usalama kikishughulika na kuwakamata wanaoteka na kuua wananchi. Badala yake, dola inafanya kila namna kuwalinda watekaji, wauaji na...
  9. Just Pray

    GE2025 Sigrada Mligo: Mbunge unatakiwa usiku, mchana uwe tayari kusikiliza wananchi

    Mtiania nafasi ya ubunge Jimbo la Njombe kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema uwakilishi wa wananchi ni ule wa kusikiliza na kubeba shida za wananchi wakati wote na kuzifanyia kazi. "Lakini kibaya zaidi kuna wabunge ambao badala ya kuwawakilisha wananchi wametumia kama tiketi ya kujinufaisha...
  10. Rule L

    Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

    Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo. Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu?? Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
  11. Ubaya Ubwela

    Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    Ujumbe wa rais Samia kwa Wananchi wa Kisesa

    1. Luhaga Mpina atapewa kazi maalumu (kazi hiyo ni kuwahadaa watu kupitia ACT Wazalendo) 2. Luhaga mpina atakuwa mbunge wataifa (baada ya uchaguzi amepanga kumpa nafasi 1 kati ya zile 10 za rais bungeni) Mwisho wa igizo.
  13. M

    Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
  14. Wakusoma 12

    Kwanini serikali ya awamu ya sita haisikilizi kabisa maoni ya wananchi?

    Sijajua kuhusu awamu ya kwanza lakini awamu ya pili ya rais Mwinyi, awamu ya tatu ya Mkapa na awamu ya nne ya Jakaya Kikwete ziliundwa tume za kutosha ili kujibu na kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya kijamii na mengine kuyaondoa katika utekelezaji ikiwa jamii ilionekana kutoyaunga mkono...
  15. R

    GE2025 Wananchi Mbeya wapinga matokeo Kura za Maoni CCM, waahidi kususia uchaguzi mkuu 2025

    Hali ya sintofahamu imeibuka katika Jimbo la Mbarali, Mkoani Mbeya baada ya baadhi ya wananchi kutishia kususia Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, wakipinga matokeo ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kuwa mgombea aliyeibuka mshindi si chaguo lao, bali...
  16. Mindyou

    Baada ya kuchoshwa na mateso ya Askari wa Maliasili, wananchi waamua kuchoma pori

    Wakuu, Wananchi wa Kijiji cha Rwamgasa, Wilaya ya Geita, wamechoma moto sehemu ya pori la akiba lililopo katika Kitongoji cha CCM wakipinga kile walichokiita uonevu na ukatili unaofanywa na askari wa Maliasili. Tukio hilo limeibuka baada ya watoto wawili kukutwa porini wakiwa wamepigwa na...
  17. K

    Kinachoendelea kwa Wananchi kususia michezo, ni mgomo wa waziwazi kwa Taifa lao dhidi ya Viongozi

    Hiki kinachoendelea kususiwa kwa Timu ya Taifa na mashabiki ni dhahiri kwamba wananchi wana kinyongo na Taifa lao, sio tu timu ya taifa itafika mpaka kwenye vilabu vya Yanga na Simba. Wajitayalishe kwa hilo; huwezi kumlazimisha mtu afwate siasa ambazo yeye hazipendi na bado ukamnyima haki, na...
  18. BigTall

    GE2025 Baadhi ya Wananchi wamkataa aliyeongoza Kura ya Maoni CCM katika Jimbo la Mbarali

    Baadhi ya wananchi Jimbo la Mbarali Mkoa wa Mbeya wametishia kutokushiriki uchaguzi Mkuu Oct ,2025 wakidai kuwa mgombea aliyeshinda kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo sio chaguo la wananchi ni chaguo la chama. Wananchi wa jimbo hilo wametuma ombi kwa uongozi wa...
  19. Knock life

    Tujadili suala la makaa ya mawe, iweje wananchi wa eneo husika wawe masikini ila magari yanasomba tu

    Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa . Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
  20. R

    CHAUMMA wanatendea sana haki sera yao ya Ubwabwa kwenye Mikutano lazima wananchi wale

    Wakuu, Nadhani CHAUMMA ndo chama kinachosimamia na kutekeleza Sera zake kwa uwazi Yaani sera ya Ubwabwa inasimamiwa ipasavyo, wananchi wanakula tena kwa mwenendo huu lazima watu wajae kwenye mikutano yao maana tunatika nyumbani bila bajeti ya mchana tunaenda kula ubwabwa wa CHAUMMA
Back
Top Bottom