4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,594
- 13,511
Hizi jitiahada zenu ,za kutaka kufanya biashara iwe ya kila siku kwamba maumivu ya tz yatakua ya siku zote ,this time haiwezekani wakuu, mwafaa alisema JPM .
The only solution nikiwa na serikari ya mpito isiyo zidi mwaka mmoja na iwe chini ya aliekuwa waziri mkuu , Mzee Warioba ,nyie wana siasa Mkitaka ,mtagombea tena mbele ya safari hamkatazwi.
Nchi kila mahari inanuka damu ,unakua na ujasiri gani kuongonza nchi inukayo damu ?
Serikali ya mpito ndo suruhu wapendwa no less no more
Thanks
Note
Sijatanguliza salamu wakuu wangu jf nimevurugwa ,nisameheni bure