wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi za Ulaya na Marekani na Nchi Rafiki zitatoa angalizo kwa Wananchi wao wanaopanga kwenda Tanzania kufanya Utalii kuelekea DEC 9

    Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake. Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!. DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
  2. Poker

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Rachel Dangwa ndio msanii maarufu anayesimama na wananchi

    Katika ukombozi wa taifa la Tanganyika sekta ya kulaani na matusi alikabidhiwa Sativa ila kwa sasa rasmi hii sekta kapewa Rachel Dangwa, ambapo inasemekana huwa hata akiota, anaota anaitusi serikali ya madhalimu. Huyu mwanadada kaamua kusimama na wananchi kwa kuitusi serikali ya ccm kwa matusi...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wa Kimara nawasalimu. Muwe wavumilivu wakati mwendokasi zikiwa zinatengenezwa

    Kwa yaliotokea iwe funzo kwa wote wanaopenda kuharibu miundo mbinu kwa malengo ya kiasasa, ni upumbavu kuchoma miundo mbinu ambayo unaitumia wewe mwenyewe
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kupuuza maoni ya Wananchi Mtandaoni: Hatua ndogo inayoweza kuigharimu Taifa kubwa

    Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyochapishwa Julai 2025 inaonyesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti nchini imefikia milioni 54 kufikia robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, hilo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 29, Mwaka 2020. Katika kipindi cha miaka minne hiyo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwita Waitara ala kiapo bungeni tayari kuwatumikia wananchi wa Tarime vijijini

    Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October

    Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October ich
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna magari yanakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya bodaboda kinyume cha sheria

    Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria. Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti...
  8. Pakome

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli Bali...
  9. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Serikali katili na wananchi vichaa

    Pro-mfumo mbovu .Haya mambo hayawezi ishia mpaka yaishe wakulisave Taifa ndo kwanza hana ata wazo bado hajaamka kabisa. Lazima tukubaliane yaliotokea tra29 na siku zote zilizofuata imetokana na wanachi vichaa kukutana na serikali katili Ukweli ni kwamba pande zote hizi mbili zilificha makucha...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

    Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
  11. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani tunapawa kufanya kama Vyombo vyetu vya maamuzi havitendi Haki Kwa Wananchi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka Kwa Wananchi ya kwamba,Vyombo vyetu vilivyopewa dhamana ya kuwatetea wananchi Kwa Mujibu wa Katiba Sheria havifanyi hivyo,badala yake vinaendelea kulinda maslahi ya wanasiasa walioko Madarakani huku wananchi...
  12. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Wananchi wabubujikwa machozi ya furaha kwa ushindi wa Samia; Kila kona ni shangwe na vifijo

    Nani kama Samia? Mtachonga sana. Tunazidi kusonga mbele katika kazi na utu. Maelfu ya watanganyika wanafurahia ushindi wa maajabu wa Samia. Ushindi wa kihistoria. Nimepigiwa simu na ndugu yangu wa Kishimundu anatokwa machozi ananiambia ana siku ya tatu hajala anajigaragaza kwenye michanga kwa...
  13. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali imekuja na propaganda ya kuonyesha Mali zilizohalibika Wananchi na Nyie Endeleeni kuonyesha Maiti za Marehemu

    Propaganda ya kuonyesha mali ni nzuri wananchi nao waendelee kuonyesha Maiti za Marehemu tuone vitu vinarudishwa uhai wa watu Je?
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi

    Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi.
  15. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njama za kuficha uhalifu wa Serikali: Imefungua kesi za mchongo za uhaini dhidi ya Wananchi kwa mauaji ilioyapanga.

    Wakuu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa muujibu wa katiba rais ni yule aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi haisemi kujiwahisha kujiapisha kuwa tayari wewe ni rais

    Kwa muujibu wa katiba rais ni yule aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi haisemi kujiwahisha kujiapisha kuwa tayari wewe unakuwa ni rais, haisemi kununua watu waku fanyie uchawa kuwa wewe unaweza kuwa rais kinyume cha kuchaguliwa na wananchi. Kitendo kilichofanyika ni kujitangaza kuwa ni rais...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

    GT Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo. Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole. JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Anthony Mtaka awatoa hofu wananchi wa mkoa wa Njombe

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewataka wananchi wa Mkoa wa Njombe kuendelea na shughuli zao bila hofu yoyote Ameyasema hayo Novemba 6,2025 wakati akizungumza na Wafanyabiashara wa Makambako Mkoa wa Njombe na kuwataka kuendelea na shughuli zao za kiuchumi bila hofu yoyote kwani vyombo...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Haya Wanajeshi mjipange Sasa, Niliwaonya , Kuna Panga linaenda kupita huko kwenu wanatafuta Wanajeshi wanaounga Mkono Wananchi

    Niliwaandikia hapa https://www.jamiiforums.com/threads/wanajeshi-mnaoungana-na-wananchi-hakikisheni-nchi-inakombolewa-duru-zimethibitisha-samia-akifanikiwa-mtafanyiwa-persecution-ambayo-haijawahi-tokea.2394820/ Hamkua Serious, Sasa na nyinyi Kilio kilekile tulicholia wakati wa Usaliti wenu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Njombe wawataka waandishi wa habari wakatubu kwa kuwaacha gizani

    Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamesema katika kipindi cha uchaguzi, vyombo vya habari vililiweka taifa gizani jambo ambalo sio sawa na kuwataka wanahabari kwenda kutubu. Wameeleza hayo wakati wakizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka katika eneo la soko la...
Back
Top Bottom