MREMA NA MAENDELEO YA VUNJO 2010 - 2015
UTANGULIZI
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi mungu aliyenipa uhai, afya na nguvu kuweza kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Vunjo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita, napenda kuwashukuru wananchi wote wa Jimbo la Vunjo, kwa ushirikiano mkubwa walionipa...