Mrembo namba moja nchini(Diva-Loveness-Love) atokwa na machozi baada ya kushuhudia wananchi wakigombania daladala

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,207
42,068
Wasalaam wana jamvi,

Mrembo namba moja nchini na mtangazaji mahiri kabisa nchini Diva-Loveness -Love leo ameshea hisia zake kwa wananchi baada ya kushuhudia wananchi wenzie wakigombea daladala uko Tanga na wengine wakisubiri usafiri bila mafanikio..hali iliyomfanya Diva kusikitika sana na kuishiwa nguvu hata za kusafiri. Kwakweli anasema kuwa katika maisha yake hakuwai kujua kama watu wanateseka sana kugombea usafiri hapa nchini..............

Namnukuuu
divatheebawse's profile picture

divatheebawse

'Nimeenda Tanga Kwa Bus nimerud Kwa Bus Nimefika makonde nikashuka kuna kituo nikakaa msubiria driver anifate. nikaona watu wanakimbilia madaladala ... nikawa naangalia Yan being on a Public area kupanda bus kutoka nje nimeona shida 😢
Nimepata shida sana sio Maisha Nimezoea.
..............
nimekaa nikajiuliza wanaoishi hivyo kila siku wanaishije wanaokimbilia daladala vile hadi Jasho aisee afu wanawake in 5minutes only nimeona huruma sana ...nimekaa dakika 5 kituo cha bus makonde nasubiri driver wangu apige uturn aje anichukue nilihisi kama naumwa yan felt so bad kwa watu waliokaa juani wanasubiria daladala .. nimewaonea huruma sana wale wanaohangaika na dalaldala nataman treni zije kama nchi za nje wapande kwa amani tu na ticket zao ili wasikimbilie daladala .

anyways back in Dar es salaam ...but I wish Tanga Kuwe na Ndege inayofika hadi vijijini just saying or ndege binafsi ziuzwe nichange ninunue kandege kadogo niwe na rubani wangu road trip zinachosha aisee .... Had along trip toka border la mombasa to Dar es salaam Jamani niko hoi. ila nimekula aisee nimekulaaaaa 🤦‍♀️misosi hadi nimepona 🙏

Back in My Place .. I miss My bath tub vijijini hakuna 😂😂😂 I Miss my beautiful apartment jamannn ...I Miss my sistaz and La Familia ... 💪 back in my home safe n sound and ey stay safe outhea.

Nashukuru Mungu nimefika salama Alhamdulilah 🙏

I speak my truth ataemind sorry ila dah Poleni sana jamani Poleni in a good way .."

Wasalammm
 
Wasalaam wana jamvi>
Mrembo namba moja nchini na mtangazaji mahiri kabisa nchini Diva-Loveness -Love leo ameshea hisia zake kwa wananchi baada ya kushuhudia wananchi wenzie wakigombea daladala uko Tanga na wengine wakisubiri usafiri bila mafanikio..hali iliyomfanya Diva kusikitika sana na kuishiwa nguvu hata za kusafiri. Kwakweli anasema kuwa katika maisha yake hakuwai kujua kama watu wanateseka sana kugombea usafiri hapa nchini..............

Namnukuuu
divatheebawse's profile picture's profile picture

mimi ndiwo sijui kusoma au!!!.. naona kama umeongoza lako kwa Tanga hapwo.. unakimbilia wapi hukumsoma vizuri?
 
Huyu Dada wanapenda kujipaisha kuliko viwango vyake.wakati anaishia kwa umalaya hapa mjini
Tangu ule mwaka ajidai ohh tusichukuliane poa akapost picha ya mgorofa wake kama ramani ya kanisa la Tag ama ufufuo na uzima.limeshikiliwa na miti halafu juu anapaua bati la chapa kiboko lile la silva pingili ndogo..
Sikujisumbua tena
 
Wasalaam wana jamvi,

Mrembo namba moja nchini na mtangazaji mahiri kabisa nchini Diva-Loveness -Love leo ameshea hisia zake kwa wananchi baada ya kushuhudia wananchi wenzie wakigombea daladala uko Tanga na wengine wakisubiri usafiri bila mafanikio..hali iliyomfanya Diva kusikitika sana na kuishiwa nguvu hata za kusafiri. Kwakweli anasema kuwa katika maisha yake hakuwai kujua kama watu wanateseka sana kugombea usafiri hapa nchini..............

Namnukuuu
divatheebawse's profile picture's profile picture

divatheebawse

'Nimeenda Tanga Kwa Bus nimerud Kwa Bus Nimefika makonde nikashuka kuna kituo nikakaa msubiria driver anifate. nikaona watu wanakimbilia madaladala ... nikawa naangalia Yan being on a Public area kupanda bus kutoka nje nimeona shida 😢
Nimepata shida sana sio Maisha Nimezoea.
..............
nimekaa nikajiuliza wanaoishi hivyo kila siku wanaishije wanaokimbilia daladala vile hadi Jasho aisee afu wanawake in 5minutes only nimeona huruma sana ...nimekaa dakika 5 kituo cha bus makonde nasubiri driver wangu apige uturn aje anichukue nilihisi kama naumwa yan felt so bad kwa watu waliokaa juani wanasubiria daladala .. nimewaonea huruma sana wale wanaohangaika na dalaldala nataman treni zije kama nchi za nje wapande kwa amani tu na ticket zao ili wasikimbilie daladala .

anyways back in Dar es salaam ...but I wish Tanga Kuwe na Ndege inayofika hadi vijijini just saying or ndege binafsi ziuzwe nichange ninunue kandege kadogo niwe na rubani wangu road trip zinachosha aisee .... Had along trip toka border la mombasa to Dar es salaam Jamani niko hoi. ila nimekula aisee nimekulaaaaa 🤦‍♀️misosi hadi nimepona 🙏

Back in My Place .. I miss My bath tub vijijini hakuna 😂😂😂 I Miss my beautiful apartment jamannn ...I Miss my sistaz and La Familia ... 💪 back in my home safe n sound and ey stay safe outhea.

Nashukuru Mungu nimefika salama Alhamdulilah 🙏

I speak my truth ataemind sorry ila dah Poleni sana jamani Poleni in a good way .."

Wasalammm
Insta ni ulimwengu mwengine kabisa.

🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom