This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Salaam!
Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama.
1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea.
2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea.
3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea.
Kwa...
Imepangwa kwa makusudi kwamba siku ya uichaguzi rais atakuwa Zanzibar. Kama ni kweli ni kuogopa usalama wa Bara, hili nalo ni jambo la ajabu kwa sababu majeshi yanayolinda nchi, bara na visiwani yako chini ya mkuu mmoja.
Yawezekana ni kuogopa maandamo, lakini ni hakika kwamba visiwani wao...
Ndugu zangu Watanzania,
Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi wa mkoa huo kujiepusha na vitendo vya kuandaa, kuhamasisha au kushiriki maandamano yasiyo halali, badala yake waendelee kudumisha amani na mshikamano kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu.
Akizungumza...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii.
Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP) Kinje Kingunge Ngombare amesema viongozi wanatoa maonyo kuhusu maandamano je raia nao wakitoa onyo itakuwaje.
Kinje amesema hayo kukemea gabia za wakuu wa wilaya na mikoa ambao huto maonyo kwa raia.
Amesema kama yeye akiwa Rais, mkuu wa wilaya au...
Wakuu Hawa wahuni wako serious sana sana !!.
Sasa Kuna Taarifa za kuthibitika , ni kwamba Genge la Akina Samia limeamua mambo yafuatayo
Kwanza, Wahakikishe iwe ni Kwa Jasho ,Damu Samia aapishwe.
Pili, Baada ya Uhapisho wake, KUTAFUFANYIKA PERSECUTION DHIDI YA WANAJESHI WOTE AMBAO...
Wananchi wa Kijiji cha Karema wilayani Tanganyika, mkoani Katavi, wameishukuru Serikali chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwajengea kizimba maalum pembezoni mwa Ziwa Tanganyika ili kukabiliana na changamoto ya mamba waliokuwa wakiwaua na kuwajeruhi wananchi kwa muda...
Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua?
Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025.
Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
Hali ya wasiwasi imekithiri katika miji mbalimbali ya Cameroon, kufuatia madai ya ushindi yaliyotolewa na mgombea wa upinzani, Issa Tchiroma Bakary, katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025
Soma Kiongozi wa Upinzani ajitangaza Mshindi wa Urais Cameroon, amuomba Rais Paul Biya...
Mwaka 2025, bado wanawauzia wananchi hofu, eti "tunu hii ya amani tuilinde" Amani gani ?
Na wanaposema amani wanamaanisha "uninga wa wananchi", so wananchi waendelee kuwa wajinga ili wao wazidi kuneemeka na watoto wao, wakitumiana miamala ya ma bilioni.
But this is the end.
Tumeonya sana sana kama watu wa Mungu , machawa yakaona sie mataira ,kumbe lengo letu ni moja ilikua kuliponya Taifa .
Huwezi ongoza taifa ambalo liko katika wakati kama huu, hakuna Duniani kote hata waliojaribu , mnajua what happened, narudia ipo nafasi ya kuliponya Taifa .
1. Sitisha...
Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka.
Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi.
Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
Mgombea Udiwani kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora Yusuph Kitumbo amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kutatua kero ya Barabara mara baada ya kuachaguliwa kuwa Diwani wa kata hiyo.
Kitumbo ameyasema hayo leo October 4,2025 wakati wa uzinduzi wa Kampeni katika kata hiyo uliofanyika Katika viwanja vya...
Kuna kila dalili huenda wakajitokeza wachache wakakamatwa au wasijitokeze kabisa.
Baada ya 29th October itakuwa wakati mzuri wa wanaharakati wa Tanzania kukata tamaa.
Watanzania inabidi waachwe kwenye mateso na changamoto ambazo zitaamsha akili zao bila kuwepo yeyote wa kuwasemea.
Idadi ya...
Jeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini?
Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude?
Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa...
Hayo mambo kwakweli ni ya aibu, huwezi kulazimisha watu wakupende.
Mbeya hiyo leo inadaiwa wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.