This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti.
Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni.
Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo...
Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
Hamjambo!
1. Ni sawa uoe/kuolewa alafu useme nikijipenda inatosha, au akinipenda Mama inatosha. Mkeo au mumeo asipokupenda tafsiri yake hakuna ndoa hapo.
2. Uongozi unatokana na mapenzi. Kupendwa. Ndio maana watu wanachagua viongozi wanaowapenda.
3. Na huwezi kuongoza watu wasiokupenda. Kwa...
Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI.
Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa:
1. Wahanga wakubwa wa kwanza wa utawala katili wa Ayatollah, ni wananchi wa kawaida wa Iran.
2. Wananchi...
Hakuna malipo au?
Kulikoni yupo kimya kuposti video na picha za watoto na akina mama waliofumuliwa mafuvu kwenye vita inayoendelea hapo Sudani, lakini pia ile ya Iran dhidi ya Israel na Marekani?
Artificial intelligence imemshinda kuungaunga na kutengeneza picha na video za mchongo za maafa ya...
Hata kama ni Sovereignty state.
Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.
Serikali ya Tanzania imeonywa...
Hiyo dini ilikua imewatesa sana, Israel imewakomboa.
End of an era as Iran confirms Khamenei is dead; Trump: Justice for Iranians and beyond
Iranians brave the streets to celebrate; US president urges regime’s security personnel to surrender as PM Netanyahu calls on Iran’s public to rise up and...
Wakati Serikali ya Iran ilipozima intaneti na kuanza kuwamiminia risasi wananchi wa Iran waliokuwa wakidai haki zao, tukio hili halkupewa uzito, waliofyatliwa risasi walilaaniwa na hata kusingiziwa ni raia wa kigeni kutoka Israel na Marekani, wakachukuliwa kama wahaini wa taifa, wakati wale...
Wakuu,
Haya ni maneno ya Donald Trump baada ya Marekani na Israel kushambulia Iran
"Hatimaye, kwa wananchi wa Iran, nasema usiku wa leo kwamba saa ya uhuru wenu imewadia. Kaeni mahali salama. Msitoke majumbani mwenu. Nje ni hatari sana. Mabomu yatakuwa yakidondoka kila mahali...
Migogoro ya ardhi imeelezwa kuwa inaweza kupunguzwa kwa kuimarisha mfumo wa kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi mapema kabla hazijafikishwa mahakamani. Hayo yameelezwa jana Jumatano Februari 25, 2026 na Mbunge wa Arusha Mjini, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs
Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma.
Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji la Dodoma wanaodai viwanja na halmashauri ya jiji la Dodoma...
Mh Waziri Mkuu,
Hongera kwa Mungu kukupa nafasi uliyonayo na kazi unayoifanya. Pongezi kubwa kwako.
Nianze kutoa malalamiko yangu kuhusu yanayoendelea Kipunguni. Wananchi wa Kipunguni wanakusubiri urudi waje ofisini kupiga magoti. Wanaumizwa na majambazi, wanakufa kwa presha, kisukari na...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo.
Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli?
Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi?
Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu...
What entails to be a socila contract in Tanzania ni ibara ya 8 (1)(a) ya katiba ya JMT.
Hapa ndipo wanaanchi kwa kutumia kura zao huweka serikali madarakani kwa manufaa yao.
Mtawala.anayedhania majeshi yatamlinda bila kufikiria wananchi anajidanganya.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utatuzi wa migogoro ya mashamba ya uwekezaji katika wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Wa pili kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Prof Riziki Shemdoe na kulia ni Naibu Waziri wa...
Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa.
Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa.
Ni hivi, nimesoma...
Diwani wa Kata ya ILOLA, KISENA FRED KISENA amelazimika kuchelewa kwenda kwenye hitimisho la ziara ndani ya kata kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo ilimlazimu kuanza kuvusha watoto wa shule kwenye maji ambao walihofia kusombwa na maji ndipo akaanza jukumu la kuwavusha kwenye maji kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.