wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe akemea Wananchi kutupa takataka kwenye barabara Manispaa ya Morogoro

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka katika barabara za Muhimbili, Tubuyu II, Mjimwema, Barakuda na Kihonda-VETA zenye urefu wa Kilomita...
  2. amarina

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

    Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia. Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana. Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tanzania tajiri, Wananchi maskini– What is going on?

    Ukiangalia Tanzania kwa macho ya wazi bila ujinga, bila woga, bila kuogopa nani atasema nini, utajua huu ni mojawapo ya nchi tajiri sana duniani, sio Afrika tu, hata baadhi ya nchi za Ulaya tumewazidi big time. Tuna nini? Madini: Dhahabu, almasi, nickel, lithium, uranium, tanzanite (ambayo ni...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wametakiwa waheshimu na kulinda amani. Lakini viongozi walioko madarakani wao wanavunja katiba na sheria haki za kibinadamu.

    Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote. ▪︎ kutokuwepo kwa...
  5. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Mchinjita: Wananchi wawe wa kwanza kulinda haki zao sio viongozi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kukata tamaa kufuatia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa silaha kubwa ya "mkandamizaji" ni kuuvunja moyo na mtazamo wa wanaokandamizwa. Akizungumza jana, Januari...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe

    Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe mpaka October 2030. Ili uchumi ukue vizuri sana, na utalii ukue vizuri sana, na wananchi wapate vipato vizuri sana. Inaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu. Kuna baadhi ya agents...
  7. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya Mji wa Bariadi imetelekeza vifaa vilivyonunuliwa kwa fedha za Kodi za Wananchi, hawajali, hakuna anayeumia

    Kuna vitu vinafanywa na serikali ukiviangalia vinaumiza, vinatia watu hasira, na hata hakuna anayejali, au kuumia kama ambavyo Wananchi tunaumia. Hapo juu kuna picha nne, ingawa nimeziunganisha ili zikae sehemu moja, ni picha ya gari la taka, nyingine la kukusanya uchafu na nyingine ni mashine...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nawafundisha wanafunzi ukweli kuwa mamlaka ya kutawala yapo kwa Wananchi kwa mujibu ya Katiba yetu

    Samia amewekwa na wananchi? Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala. Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi tumeshachoka kuvurugwa, kaeni myamalize, habari za huyu kafanya hivi mara yule kafanya vile tumezichoka

    Ifike mahali kelele za kila siku ziishe Too much is harmful Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi wanafuata maelekezo yenu Mkisema nchi itulie basi itatulia Mkisema iwake basi itawaka Ninyi ndio wenye uamuzi wa mwisho kabla ya matokeo Twendeni Mataifa makubwa tuone namna yametulia na yanafanya...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika

    Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika. Kutekwa na kuuawa kwa watanzania kote nchini hakujasaidia bali kumeongeza mzozo na upinzani zaidi soon tutawafurusha wauwaji.
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia hana mamlaka ya kuongea na wananchi anaongea nini na wananchi wakati wanauwa wananchi akatafute genge lake huko wakae wapige zogo

    Samia hana mamlaka ya kuongea na wananchi anaongea nini na wananchi wakati wanauwa wananchi akatafute genge lake huko wakae wapige zogo.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kujificha kwenye kofia ya "HII NI NCHI HURU HATUWEZI KUINGILIWA "halafu unaua wananchi wako kama mbwa! Lazima utolewe kwa nguvu tu hakuna namna

    Linaiva jikoni linasubiri kupakuliwa tuu! Hakuna uhuru wa kuua raia wako namna ile tena raia asiye hata na panga halafu usimame kujifanya oooh! Hii ni nchi huru wasitupangie nyokoooo , utatolewa kwa aibu uhuru wa nchi na nchi kuwa huru sio kofia au tiketi ya kuua raia wako hovyo hovyo hata kama...
  13. Champion_Boy

    JamiiForums Tanzania Video Wananchi wa Venezuela Wakishangilia kukamatwa kwa Raisi wao na Marekani

  14. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wajenga kituo cha Polisi Kibosho-Moshi

    Katika juhudi za kuimarisha usalama, Umoja wa Umbwe Sinde Community umeandika historia mpya ya maendeleo ya kijamii kwa kuchukua hatua madhubuti za kuboresha usalama na huduma za afya kwa wakazi wa eneo hilo, baada ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Kibosho. Umoja huo umefanikiwa...
  15. nimechafukwa

    JamiiForums Tanzania Mradi wa "AFCON City" Arusha: Ni Upigaji au uzembe? Wananchi tumelipa mamilioni, viwanja vimebaki kuwa pori!

    Wana-JF, Mnamo Agosti mwaka huu, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi ilitangaza fursa kubwa kwa wakazi wa Arusha na Watanzania kwa ujumla. Tulitangaziwa uuzaji wa viwanja katika eneo la Olmoti/Oloresho, eneo ambalo limezunguka uwanja mpya wa kisasa wa Samia Suluhu Stadium. Lengo lilikuwa ni...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majambazi yameua alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi

    Majambazi yame uwa alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi
  17. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi Zanzibar wajitokeza uchaguzi mdogo Fuoni

    Wananchi wa Jimbo la Fuoni lililopo wilaya ya Magharibi B mkoa wa Mjini Mgaharibi, Zanzibar wameendelea kujitokeza kushiriki katika uchaguzi mdogo wa Mbunge katika jimbo hilo. Uchaguzi huo unafanyika hii leo Desemba 30, 2025 kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Abbas Ali...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, kamatakamata itaisaidia CCM? CHADEMA tusiteteleke wananchi wameikataa CCM

    Kamatakamata kama serikali ya makaburu
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuwe na sheria ya kuwahimiza au kuwalazimu viongozi wetu wawemo kwenye mitandao ya kijamii, ili Kuimarisha Mawasiliano na Uwajibikaji kwa Wananchi

    Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza. Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
  20. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuchanga fedha kumaliza adha ya maji Njombe

    Wakazi wa Kijiji cha Nindi, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, wamekubaliana kuchangishana fedha kiasi cha Shilingi Milioni 25 kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika kijiji hicho. Baadhi ya wakazi wa Kijiji hicho, akiwemo...
Back
Top Bottom