wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RC Mtaka aomba radhi baada ya kuwaambia wananchi wampuuze Waziri Ndalichako

    Ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram: "Nimesoma na kupokea maoni,ushauri na kila aina ya hisia ambazo naamini ni kwa upendo juu ya Clip yangu kuhusu kambi za Kitaaluma nilipokuwa nikizungumza na wananchi wetu katika tafsiri yoyote ile naomba Radhi kwa wote waliokwazika ,wananchi na...
  2. JamiiForums Tanzania DC mpya Gairo una kazi kubwa ya kurejesha tabasamu kwa wananchi

    Nawasalimu kwa jina JMT Napenda nielekeze maoni yangu kwa DC mpya wa Gairo, mdogo wangu Jabiri M. Omari na nimzindushe kwamba wana gairo walinyanyaswa sana na yule dada. Nimepata kuzungumza na baadhi ya wananchi wa Gairo wakanieleza hili, kwamba yule dada hakuwa mstaarabu na wala hakua na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Warioba: Hotuba zetu kwa wananchi hazikidhi.Tuwasikilize kwanza wananchi

    Mzee Warioba ameshauri kupunguza muda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi. Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi. Kwa kifupi mikutano ya Kiserikali imekuwa kama ya kampeni
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango muoneshe Waziri wa Fedha wapi ulikuwa unapata pesa za kufanya miradi ili asiumize wananchi

    Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa Serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu. Muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN SDG-7: Hatua Za Usambazaji Umeme kwa Wananchi Afrika, Je Tanzania mmefikia Wapi?

    Kuna yale malengo ya nchi ambayo nchi zote zinazoendelea (Developing Countries) zilijiekea za kuweka muda mbao kila nchi inafaa iwe imehitimu, Kitambo malengo haya yalikua yanaitwa UN -Millenium Development Goals (MDGs) ambapo nchi zote zilikua zinafaa zihitimu kabla ya mwaka wa 2,000.. Wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

    Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara. Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
  7. JamiiForums Tanzania Dhana ya wananchi kuchukulia siasa ni sehemu ya kiburudisho kama mpira na filamu

    Wakuu, hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii, anaanza kuleta masihara. Kwa Wamarekani Weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana na politics. Ukileta conversation ya politics watu wanakua active kiasi hata cha kutaka kupigana...
  8. JamiiForums Tanzania Arusha: Anayedaiwa kubomoa nyumba ya ndugu yake, achomewa nyumba na wananchi

    Baadhi ya wananchi wa kata ya Sokoni 2 halmashauri ya Arusha leo Ijumaa Julai 9, 2021 wamechoma moto nyumba ya Ng'ida Loisulye anayedaiwa kubomoa nyumba ya ndugu yake, Benjamin Mollel kwa maelezo kuwa ameshinda kesi mahakamani. Akizungumza na waandishi wa habari nje ya nyumba hiyo...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanatuona ‘SISI’ wananchi ni wajinga sana

    Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza. Wabunge wameridhia serikali kupunguza kodi kwenye bia na kuongeza kodi kwenye mafuta ya petrol, hawaoni kuwa ni mzigo kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi. Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa tuhamasike, kuwa na akaunti za Benki ni rahisi. Miamala ya simu gharama hazivumiliki

    Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa. Sasa nitahamia Benki, au nitasafirisha pesa kwa Gari yaani basi, pia tujitahidi kujiunga...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais na washauri wake: Anzisha vipindi vya televisheni kusikiliza kero za wananchi na kupokea simu zao

    Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga bara bara na ni hatari kwake. Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke...
  13. JamiiForums Tanzania Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

    Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani. Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa? Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa. Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Warioba: Wananchi tunaowaita Wanyonge ndio wenye nchi, Katiba ni kipaumbele hata kwenye marekebisho Bungeni

    Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi. Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo cha hayati Magufuli na amekubali kushughulikia suala la katiba mpya. Jaji Warioba amesema kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

    Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45. Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Wananchi wa Tanzania kuwa vinara wa unafiki ulimwenguni?

    Unafiki. Ni hali ya mtu kutenda au kuongea maneno tofauti na yale anayowaza akilini. Kama vile kusema jambo fulani ni zuri ilihali nafsini mwake anajua ni baya. Nchi hii wanaweza kusema wanakuchukia na kukutukana kila kona kumbe ukweli ni kuwa wanakupenda sana ila wanaona aibu kuonyesha hisia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi watozwa faini na kijiji kwa kosa la kushindwa kulima mazao ya biashara

    Wananchi watozwa faini na kijiji kwa kosa la kushindwaazao ya biashara Na Amiri Kilagalila,Njombe Wananchi wa kijiji cha Usililo kata ya Luwumbu wilayani Makete mkoani Njombe,wameilalamikia serikali ya kijiji hicho kwa kuwatoza shilingi elfu 3 mpaka elfu 5 kutokana na kushindwa kulima mazao ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Barua maalum kwa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri: Tusaidieni kupata Katiba Mpya na kutetea haki za kikatiba za kila mtu

    Ndugu Maaskofu wetu. Amani ya Bwana iwe nanyi. Sina wasiwasi na Viongozi wetu wa dini wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri kuwa soon mtatupa muongozo wenu, kuhusu suala hili la katiba mpya ambalo serikali ya CCM inajaribu kulikwepa. Mababa askofu nawaandikieni barua hii kwa sababu CCM...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukataliwa na wananchi, CHADEMA wanajigeuza mgambo

    Ndugu zangu, Ni dhahiri sasa Chadema wamefikia hatua ya kujigeuza migambo. Wanataka kila wasemalo au watakalo lifanyike. Wanajiona wao ndio wanastahili "attention" ya wananchi. Rais Samia anajitahidi kukutana na makundi muhimu katika jamii kama vile wazee, wakinamama, vijana, viongozi wa dini...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu za wananchi kukosa matumaini ya mabadiliko kwenye utendaji wa haki chini ya Rais Samia

    I) POSITIVES Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana kuyatekeleza bali yanahitaji self-restraint pamoja na busara ya kawaida tu ya kiuongozi. 1. Kutotumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…