wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania North Korea kupeleka Wanajeshi 100,000 kuwafyeka wanamgambo wa NATO

    North Korea inapeleka wanajeshi 100000 Nchini Russia kusaidia kuwaminya kende wanamgambo wa NATO ⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️ 🇰🇵 | 𝗡𝗼𝗿𝗲𝗮 𝗞𝗼𝗿𝗲𝗮 𝘁𝗼 𝘀𝗲𝗻𝗱 𝘁𝗿𝗼𝗼𝗽𝘀 𝘁𝗼 𝗳𝗶𝗴𝗵𝘁 𝗨𝗸𝗿𝗮𝗶𝗻𝗲… 𝗡𝗼𝗿𝘁𝗵 𝗞𝗼𝗿𝗲𝗮 has reportedly offered to send 𝗥𝘂𝘀𝘀𝗶𝗮 up to 𝟭𝟬𝟬,𝟬𝟬𝟬 troops to 𝗳𝗶𝗴𝗵𝘁 𝗨𝗸𝗿𝗮𝗶𝗻𝗲. Early reports indicate 𝗡𝗼𝗿𝘁𝗵 𝗞𝗼𝗿𝗲𝗮...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini imesema itatuma wanajeshi wake nchini Ukraine kuisaidia Urusi

    Wanaukumbi. 🇰🇵 🇷🇺 Korea Kaskazini kutuma wanajeshi Ukraine kupigana pamoja na Urusi. Mkataba wa ulinzi uliotiwa saini kati ya Urusi na Korea Kaskazini mnamo Juni 19, 2024, unajumuisha kifungu cha usaidizi wa kijeshi wa pande zote katika tukio la vita. Muda mfupi baada ya mkataba huo kutiwa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Uingereza watuhumiwa kubaka na kutelekeza Watoto Kenya

    KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia Watoto bila msaada wowote Kwa mujibu wa ripoti ya CNN, mamia ya Wanawake wameandika malalamiko hayo...
  4. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Hofu imetanda, Marekani imedeploy ndege wanajeshi Miami Beach

    Baada ya Urusi kupeleka Nyambizi na Meli za Kivita Marekani wameingiwa na uwoga na kuamua kupeleka ndege za Kivita Miami na zinashinda hewani ziki zunguka kwa hofu 🤣🤣🤣🤣🤣 #BREAKING -🚨⚡🇺🇸 The deployment of US navy in Miami due to Russian Warships, 6/12
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Rasmi wanajeshi wa Israel waingia Rafah mjini kati

    Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu. Shukrani sana IDF, malizeni hii shughuli tuwaze mengine, wawahisheni kwa mabikira... ================== Several Israeli tanks have...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

    Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv. Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Vilio vya Wastaafu wa majeshi vitatuliwe haraka, kinachoendelea ipo siku kitatengeneza ‘matunda yasiyofaa’

    Hivi karibuni kumekuwa na vilio kadhaa vya Wastaafu wa Majeshi yetu mbalimbali kuhusu viwango vya fedha ambavyo wanavipata. Awali ilikuwa ni nadra kuona Mstaafu wa Jeshi lolote lile akilalamika hadharani, lakini kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo ambavyo vilio vimeendelea kusikika mdogomdogo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali anaituhumu Serikali yake mbele ya wananchi . Nadhani angefanya vile Mbunge au Diwani ndio ingekuwa...
  9. LINGWAMBA

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Russia waingia kambi ya wanajeshi wa Marekani nchini Niger

    Wanajeshi wa Russia wameingia katika kambi ya Jeshi la Anga la Niger ambayo pia ina wanajeshi wa Marekani baada ya serikali ya Niger kuamuru vikosi vya jeshi la Marekani kuondoka nchini humo. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amethibitisha tukio hilo leo Ijumaa huku akisema kuwa hakuna...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa na Israel

    Wanakumbi ⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa : Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Yemen: Vikosi vya Wanajeshi...
  11. mamsindo

    JamiiForums Tanzania KERO Usumbufu kwa wananchi kutoka kwa Wanajeshi Chuo cha Jeshi CTC Mapinga ni kero kubwa, TPDF shughulikieni hili

    Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Wanajeshi kushtakiwa kwa Kuua raia 85 Kimakosa

    Wanajeshi Wawili wanatarajiwa kushtakiwa kufuatia shambulizi la anga lililosababisha vifo vya raia 85, Desemba 3, 2023 katika jimbo la Kaduna, Kaskazini-Magharibi mwa nchi hiyo Shambulizi hilo linatajwa lilitokea wakati wa maadhimisho ya Kidini ambapo ndege ya Kijeshi isiyo na rubani iliyokuwa...
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
  14. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Tokea october 7 wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel wameuliwa na Hezbollah

    Tokea October 07 Mashambulizi ya Hezbollah kaskazini mwa Israel yamewaangamiza wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel na kuwaacha maelfu wakiwa vilema Hezbollah wamefanya zaidi ya operesheni 1650 dhidi ya Israel https://twitter.com/PressTV/status/1783463849414295849?s=19 Hezbollah wenyewe...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yakubali kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger

    Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa Marekani imekubali kuwaondoa wanajeshi wake zaidi ya elfu moja nchini Niger kufuatia agizo la serikali ya mpito ya nchi hiyo. Mjumbe maalum wa zamani wa Marekani katika eneo la Sahel J. Peter Pham alisema, "Marekani na washirika wake wamepoteza mali...
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 18 wa Israel wauliwa na Hezbollah leo

    Naona maji yanazidi kuzidi unga huko Middle East Shambulizi la Hezbollah limeondoka na roho za wanajeshi 18 wa Israel papo hapo na huku makumi wakiwa majeruhi Hii inaitwa kujitumbukiza kwenye kinamasi cha vita. 🚨🇱🇧🇮🇱 HEZBOLLAH statement on ISRAEL BOMBINGS: “After careful monitoring and...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi atoa pole vifo na majeruhi ya wanajeshi wa tanzania, drc

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (Mb), atoa salamu za pole Kufuatia Vifo na Majeruhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Walioko DRC.
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  19. kibarango

    JamiiForums Tanzania M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Majina hayajatajwa. Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao. Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC. ===== Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yakusanya wanajeshi kwa ajili ya kuingia Rafah

    Defense Minister Yoav Gallant said on Sunday that the IDF withdrew from Khan Yunis after Hamas ceased to function in the area, adding that the troops left in preparation for a coming Rafah operation. While speaking at the IDF's Southern Command base, he stated, "The withdrawal of the troops...
Back
Top Bottom