Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wake huko Mashariki huku Hali ya Usalama ikiwa tete
Bado haijajulikana vikosi hivyo vya wanajeshi wake vinaenda kusaidia upande upi, kwa malengo gani na kwa Idadi ipi.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
US...
Mwanajeshi mstaafu ni askari wa akiba mpaka kifo, ana kiapo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi, muda wowote anaweza kupewa amri afanye shughuli za kijeshi. Vinginevyo anahesabika muasi.
Nimeona wanajeshi wenye mafunzo maalum waliofukuzwa au kustaafu Jeshi wanajihusisha na hicho chama...
Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine....
Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard warriors...mnapigwa kote, mpaka sasa pale Gaza idadi ya mizoga yenu inasoma zaidi ya 40,000
Mlilianzisha...
Wanakumbi,
⚡️‘Asubuhi ngumu’ nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike mjini Rafah jana.
9 kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na majeraha makubwa
Katika mashambulizi mawili tofauti hapo jana huko Gaza...
Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda.
Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua waziri mpya wa ulinzi Juvenal Marizamunda, mkuu mpya wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Mubarak Muganga...
Rais Kagame amewafuta kazi Amiri Jeshi Mkuu, Kanali, na maofisa wa ngazi za juu19 wa jeshi na akivunja mikataba ya maafisa 195 wa ngazi za chini, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) Agosti 30, 2024.
Mabadiliko haya yametokea baada ya kuteuliwa kwa Waziri mpya...
Rais wa Rwanda Pul Kagame amewafukuza kazi wanajeshi kwa kutia saini miongoni mwao akiwemo Meja Jenerali Martin Nzaramba, Kanali DKT Atienne Uwimana na maafisa wengine 19 ambao hawakutajwa majina yao kwasababu ambazo hazijawekwa wazi .
Hatua hiyo imechukuliwa na Rais Kagame baada ya alhamis ya...
Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii.
Kwanini tusifanye hivyo pia kwa watumishi wengine kama vile Madaktari, Manesi, watendaji wa kata na vijiji, maafisa wengine na walimu...
Jina: Kaid Farhan al-Qudi,
Baba wa watoto 11
Dini: Muislamu
Alitekwa October 7 mwaka jana
Uraia: Israel
Asili:Muarabu
Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Mama yetu na Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anastahili kabisa kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sijawahi kuona Binadamu wa namna hii aina ya Rais Samia ambaye kila mtu anatamani walau hata kugusa tu picha...
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.
Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye...
Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja
Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi...
Wanaukumbi,
Angalia hizo video
Marekani na
IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo.
Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor. Akieleza kilichotokea huko Yemen.
Video ingine ni Maiti za Wanajeshi wa Marekani na Israel zikiwa...
Hilo tukio lina zaidi ya wiki sasa ila sijasikia polisi ikitoa taarifa za kuwafikisha mahakamani watuhumiwa hao zaidi nimesikia mtu mmoja aliyeshikiliwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uzushi juu ya binti aliyefanyiwa ukatili huo.
hii kitu haijengi taswira nzuri kwa vyombo vyetu vya usalama na...
Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa.
Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu katika kambi ya marekani iliyopo Iraq lakini inadaiwa huenda makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na...
Habari za asubuhi ndugu huwa nasikia wanajeshi wa UN wanakwenda mission mfano labda congo au sudan kulinda amani kwamba aao hawahusiki na vita ila kazi yao ni kulinda amani sasa nataka nijue kwa lugha nyepesi tu kulinda aman huko ndo kukoje yaani majukumu gani haswa wanayofanya kwa mfano waasi...
Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia.
Asanteni Maafande.
UN: Vikosi vya Rwanda vyasaidiana na M23 kupigana Kongo
Ripoti moja ya wataalam wa Umoja wa Mataifa iliyoonekana na shirika la habari la Ufaransa AFP inasema, kati ya wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo.
Ripoti hiyo inasema...
Wanajeshi 25 wamehukumiwa adhabu ya Kifo baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia Mapigano kati ya Jeshi la nchi hiyo na Waasi wa Kundi la M23
Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi, Wanajeshi hao pia wamekutwa na hatia ya Wizi kwenye maduka ya Wafanyabiashara kwenye maeneo ya karibu ya Vijiji walivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.