wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Taratibu wanaharakati wanakata pumzi

    Jana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kufubaza wapinzani, wakosoaji na wanaharakati Tanganyika kumeibua kundi hatari zaidi

    Maono mafupi kimo cha mbilikimo ni jambo hatari sana.. Maono ya kuona mwisho wa macho yako ambayo ni sawa na sekunde 15 mbele! Hakuna mmea hatari majini kama gugumaji.. Kuliangamiza hili gugu hakuhitaji nguvu bali akili kubwa muda na uwekezaji wa kueleweka.. Maana unapoliona limechomoza juu jua...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kuchanganyikiwa na kutokuwa na akili kwa wanaojiita wanaharakati

    Wanaukumbi. HUKU SASA NI KUCHANGANYIKIWA NA KUTOKUWA NA AKILI KWA WANAOJIITA WANAHARAKATI... Moja ya sifa za hovyo sana za wanaojiita wanaharakati ni kuwa watu wasiotaka kila kitu na hawataki kusikia mambo tofauti na wanavyowaza wao na kufikiri wao. Mheshimiwa Rais Samia amehutubia bunge jana...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo yawe ni ya viongozi wa kisiasa/uponzani na wanaharakati na familia zao

    Hakuna kiongozi wa serikali na kisiasa aliyepoteza ndugu wa familia au mtoto ktk vurugu zilizopita sasa iwe zamu yao kuandamana/kufanya vurugu wakati ujao. Za kuambiwa changanya na za kwako
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

    Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote. Kwenye maandamano ya wiki iliyopita...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  7. Kiranga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?

    Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura? Tuna siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Uchaguzi huu umegubikwa lindi la kukosa uhalali pengine kuliko uchaguzi mwingine wowote Tanzania. Hata mgombea wa CCM ameshutumiwa na mpaka kufunguliwa kesi kuwa kajipitisha bila...
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Boniface Jacob asema 'Sakata la Polepole ni mradi wa kutengeneza hofu unaoratibiwa na wanaharakati uchwara nchini'

  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Zitto Kabwe asema 'Hatutakubali kuvurugwa na kelele za wanaharakati nje'

  10. Mafyangula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi ya Kiraia Kenya yaitaka Uganda kuachia Huru Wanaharakati Bon Njagi na Nicholas Oyoo waliotekwa

    Makundi ya kiraia nchini Kenya pamoja na ndugu wa wanaharakati wawili waliopotea nchini Uganda wametaka wale wanaowashikilia kuwaachia huru. Bon Njagi na Nicholas Oyoo walitekwa nyara na vikosi vya usalama vya Uganda wiki iliyopita baada ya kuhudhuria mkutano wa kampeni wa kiongozi wa upinzani...
  11. covid 19

    JamiiForums Tanzania Watu majasiri na hodari huwa hawakimbii nchi zao upambana humo humo na hata kufa kishujaa katika nchi zao

    Hii ni mifano tu Saddam Hussein, Muhammad Kadafi, kina Polepole hawa ni watu majasiri sana na upambana kwenye ardhi zao hata kukubali kufa katika ardhi zao. Hakika Mungu uinua watu wake hakuna wa kuzuia.
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wawili kutoka Kenya watekwa Uganda wakiwa katika Kampeni za Bobi Wine

    Wanaharakati wawili kutoka Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, walidaiwa kutekwa nyara Oktoba 1, 2025 mchana na wanaume wanne wenye silaha wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama. Wawili hao walikuwa wameungana na mgombea urais wa National Unity Platform (NUP), Bobi Wine, katika kampeni zake nchini...
  13. canular

    JamiiForums Tanzania Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote

    Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati mgumu ambapo ufisadi na rushwa vimezidi kuathiri maisha yetu ya kila siku. Miundombinu yetu ambayo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko. Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mwabukusi awalipua haya kuhusu wanaharakati na CHADEMA

    Wakuu, nimekiona hiki kipeperushi je, kina ukweli kwa haya yaliyoandikwa kwa kurejelea mahojiano aliyoyafanya Mwabukusi na kituo cha Clouds TV?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumlaumu Mbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana

    Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea. Siwezi kumlaumuMbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana. Wanaharakati wana 20% tu, lakini raia wana 80% ya mageuzi...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kamwe usiache kazi zako na kujiita mwanaharakati katikati ya jamii hii ya watanzania Ambao furaha yao ni kula na kunywa basi

    Hii nchi haihitaji kutetewa kwa namna yeyote sisi bado tuna akili za kitwana !! Kamwe usiache kazi zako na kujiita mwanaharakati katikati ya jamii hii ya watanzania Ambao furaha yao ni kula na kunywa basi !! Watanzania walishaelekea kibra tangu enzi za mkoloni !! Niseme sisi ni washamba ni sawa...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Afrika yalaani vikali unyanyasaji wa wapinzani na Wanaharakati Tanzania, yataka haki za binadamu uhuru wa Habari na Mitandao kipindi Uchaguzi

    Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025. Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  19. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kesi ya ya Lissu wanasheria na wanaharakati waipeleke mahakama za kimataifa

    Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo. Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa. Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania Mimi sio...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA imeponzwa na ujinga wa wanaharakati

    Wanaukumbi. CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI .. Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia. Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la...
Back
Top Bottom