Kwa hali tuliyonayo na international outlook on us, wenye akili timamu tulitegemea kupata hakikisho kuwa maridhiano yako njiani.
Kwa kauli ya kuwaita wapinzania na wanaharakati magaidi, tujiandae kwa mauti makubwa mbele yetu! Yaliyotokea 29.10.2025 ni cha mtoto kwa tone kama hii ya kuwaita...
"Ile ile kauli ya Rais ambaye sisi hatutambui uchaguzi wake ya kusema kwamba wanaharakati wanafanya ugaidi. Ni kauli hatari sana ikiachwa ilivyo na watetezi wa haki kote nchini. Na mimi nasema haya kwa sababu kutokana na taarifa za maandamano ya tarehe 7 mwezi wa 7 yaliyotangazwa huko mitandao...
Unaweza kujiuliza nini kinasababisha tabaka tawala kushambulia na kuchukia sana wanaharakati. Jibu ni rahisi sana, wanaharakati wanatishia "status quo" ya watawala, popote pale Dunia katika Karne ya 20 na 21 hakuna mabadiliko makubwa ya kubadilisha au mageuzi ya utawala yaliyowezekana bila...
Nyerere, Amani Karume wote walikuwa wanaharakati na ndio Mababa wa Taifa letu, tunaanzaje kushetanisha uwanaharakati wakati Taifa letu limejengwa na wanaharakati." Askofu Bagonza akichangia kwenye kongamano la Demokrasia linaloendelea muda huu Zanzibar.
Wakili Jebra Kambole amesema kuwa wanaharakati waache kuhukumiwa kwa namna wanavyotumia lugha kuwasilisha maoni yao, kwani watu tunatofautiniana namna tulivyolelewa, kuzwa na maeneo tulioishi.
Ameeleza kuwa Mfano namna anavyowasilisha maoni Sativa asihukumiwe kwani hatujui huko alikokuwa...
Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Askofu Benson Bagonza leo Julai 09, 2026 amehoji kuwa Mwalimu JK Nyerere na Karume walikuwa wanaharakati au si wanaharakati.
"Naomba niwaulize kwa unyenyekevu, Nyerere alikuwa Mwanaharakati au si Mwanaharakati?, Karume alikuwa mwanaharakati au si...
Wakuu,
Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo.
Pia Soma:
Mwigulu: Sina heshima na wanaharakati hata kidogo na sijali, ni...
Ndani ya week hii Kuna tuhuma zimeibuka nzito sana juu ya kiongozi mkubwa wa chama - John Heche akituhumiwa kula pesa za tone tone jambo ambalo sisi wananchi bado hatuna uhakika nalo kama ni kweli au ni uongo.
Ila kinachoumiza zaidi ni kuona viongozi wetu wakuu wa chama akiwemo God bless lema...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta habari ili wachapishe kwenye kurasa zao za mitandao ili kuleta taharuki na uchonganishi.
Ni Katika...
Leo, tarehe 7 Julai 2026, Jiji la Dar es Salaam limeshuhudia mtihani mzito wa kisaikolojia baada ya barabara kuu kuwa tupu na maduka mengi kufungwa, kufuatia hofu ya maandamano yaliyohamasishwa na wanaharakati lakini yakapigwa marufuku na serikali. Hatua hii ya serikali ililenga kuzuia ghasia na...
Mie nawashauri kwamba kesho msiandamane. Hakuna haja ya kukabili askari wauaji ambao wanaamriwa na watu wasio na akili timamu wa-shoot waandamanji hadi kuua. Mkiuwawa haimtaisaidia hii nchi na familia zenu zitabaki na shida sana.
Sasa, baada ya kuona uchaguzi wa kidemokrasia haiwezekani hapa...
"Unajua inasikitisha sana. Kuna muda inabidi tucheke japo havichekeshi. Watu wanajiita wanaharakati, wanajiita wakombozi wa taifa japo taifa letu limeshakombolewa toka mwaka 1961, tukapata uhuru tukawa taifa huru. Kuna watu wanajiita wanaharakati wanataka kulikomboa taifa.
Lakini nataka...
Hamjambo wote!
Kwa wale waliosoma Jiografia hasa kwenye masuala ya Spatial and settlements distribution mtakubaliana na mimi kuhusu jambo hili.
Kila sehemu, Mahali Ina style yake ya ujenzi, kuanzia madirisha, uezekaji wa bati, ndani kwenye silingboard,
Pia kila Zama Zina styles zake za ujenzi...
Mwigulu ni waziri mkuu anazunguka kuwananga wanaharakati baada ya kueleza serikali yake imefanya nini ? Imepunguza kero za wananchi maskini kwa kiasi gani? . Yeye yuko busy na wanaharakati cha ajabu wanaharakati hawana time na Mwigulu...
Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu kuandamana muda mrefu zaidi kuliko waandamaji wenyewe jambo ambalo linachosha vyombo vyetu .
Kama wataamua kuahirisha hiyo tarehe na kutangaza tarehe nyingine wataendelea kuleta mzigo mkubwa na uchovu Kwa vyombo vyetu kwakweli
Maandamano yanaruhusiwa...
Tangu yalipotokea machafuko ya Oktoba 29, 2025, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesikika mara kadhaa akiwalaumu wanaharakati hasa wanaoishi nje ya nchi, akidai kuwa wao ndio waliochochea na wanafanya hivyo kwa kuwa wanalipwa fedha na mataifa waliyokimbilia.
Miongoni mwa kauli hizo ni ile aliyoitoa...
Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia Francis Fran ceo anaeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametekwa na wanaharakati hivyo wamekosa Msimamo;
Chama ambacho "kimetekwa na wanaharakati". Inadaiwa kuwa wanaharakati hawa wamejiingiza ndani ya chama na sasa wanatumia "mgongo wa...
Maandamano yanayopangwa hiyo 7/7 hayatofanikiwa! Psychology ya watu haipo kabisa huko.
Afadhali wanaharakati wangewaacha CDM waendelee na mikutano yao na kuendelea kushawishi pressure kutoka nje.
Zaidizaidi yataishia kudhoofisha harakati kwa "kuipa kiburi" serikali na kuiaminisha kuwa watu...
CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti
Anachoongea kwenye video Kenan Kihongosi leo, Juni 13 2026
"Lakini jambo lingine ninalopenda kulisema ni kwamba CHADEMA kimetoka kuwa chama cha siasa, limekuwa ni kundi la wanaharakati. Wanaendeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.