wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mnyika: Wanaharakati waanzishe chama chao wasitutegemee CHADEMA

  2. M

    JamiiForums Tanzania Iran imetufunza jambo kama taifa

    Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaharakati. Masharti anayopewa Iran kama Tanzanian watayakubali?

    Asiwe na silaha Asiwe na nyuklia Asiwe na rafiki Huku wao vyote wakiwa navyo na wanataka waviongeze zaidi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wengi wa Tanzania hawajitambui

    Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanganyika itahitaji wanaharakati wao

    Wenzetu zanzabar wamefanikiwa kubadili katiba yao, wamefanikiwa kuondoa vifungu ambavyo vipo kwenye katiba ya muungano ambavyo hawavipendi lakini hakuna mtu au watu wanaopigania Tanganyika kwenye Muungano huu. Hadi mkuu wa majeshi Tanzania naye kawa chawa tu yaani Watanganyika ukiacha majembe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania wanashangaza sana. Wana chembe ya udini katika harakati zao

    Leo wanasherehekea Isreal na Marekani kuishambulia Iran. Hawaoni watoto wadogo wanaouliwa Hawaoni Isreal na marekani uhuru wa wananchi wao una binywa. Leo ukipost picha ya jengo la Isreal limeshambuliwa, raia huyo anaweza kupotezwa. Hawaoni jinsi gani nchi hizi zinavyovuka mipaka ya...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hamna akili msiwe wabishi. Kila kukicha wanaharakati wenu wajinga wanazusha mambo halafu mnataka serikali itoe majibu

    Hakuna serikali ya kijinga namna hiyo. Mange Kimambi anazusha Mafwele kabakwa halafu anasema serikali ikanushe na Mafwele ajitokeze. Kigogo 2014 anazusha Rais kafa, mnafurahi na kujifariji. Mkiona kimya anatokea Lema na Maria Sarungi mjaa laana wanasema serikali iseme Rais yuko wapi. Anatokea...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere aomba radhi viongozi wa CHADEMA na Wanaharakati aliowatuhumu kuhongwa na Amnesty International

    Ni baada ya wahanga kutishia kumpeleka mahakamani. Yericko Nyerere: IMEDHIHIRIKA TAARIFA HII HAIKUWA SAHIHI. Kwa msingi huo, Naomba nitumie nafasi hii kuomba radhi juu ya maoni yangu kwenye post ya juzi kuhusu nyaraka hii ambayo imethibitika ilikuwa ni ya uzush wa mitandaoni, maoni yangu kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukimya wa Feminists (wafeminia) juu ya ukatili wa Samia unafikirisha sana

    NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mbaya zaidi huko mitandandaoni tulikuwa hatupumui tena walikuwa hadi na majukwaa na mikutano ya...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Wanaharakati wajipange na wawe makini na taarifa za kuuzwa kwa hazina ya dhahabu

    Baada ya MO29, Wanaharakati na CHADEMA walisisitiza kwamba lazima haki ipatikane na kuwe na uwajibikaji kutokana na matukio yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Kampeni zikaanza ikiwemo za kukusanya vielelezo, kupinga tume feki ya Chande na kupeleka vielelezo vya kufungua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mirija ya wanaharakati ilipokatwa na Hayati Magufuli wakaanza kumtukana, alipoingia Samia wakadhani ni mteremko

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema wanaharakati wanapinga sana sababu mirija yao imekatwa na Serikali ya Mapinduzi
  12. Chura

    JamiiForums Tanzania KIAMA CHA WANAHARAKATI JANJA JANJA: Jinsi Hatua ya Rais Trump Inavyoweza Kukata Mirija ya Fedha kwa Kina Maria Sarungi

    Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
  13. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Angalia usanii wa wanaojiita wanaharakati

    Polepole hakua mjinga atoke cuba na kuja nchini kuhamasisha UKOMBOZI ilihali akijua usalama wake upo rehani, hii ni mbinu ya UKOMBOZI lazima uwe tayari kuwa sadaka ili wengine waone dhamira ya dhati huwezi waambia watu tupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yetu wewe upo abroad nje ya nchi unaishi...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kusikia hawa wanaharakati wetu kikinuka wanakimbilia Uganda, wote ni Kenya tu

    Nachoka mimi babu yake mwandambo! Kuna kikundi gan kenya kila sku wanakimbilia uko
  15. Soul21

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati acheni uwongo sasa.

    Tunajua mnapambania ugali wenu ila hii vita yenu na serikali ni ya hovyo. Kwa sasa mnasema waliouwawa ni 10,000 kutoka elfu moja ( 1000) mnadhani binadamu ni sisimizi. Idadi hii hata kwa kiziwi tayari ni siasa chafu. Pili, Tanzania ni wazi sana tunaomba watu waliopigwa risasi nyumbani kwao...
  16. Soul21

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati acheni uwongo sasa.

    Tunajua mnapambania ugali wenu ila hii vita yenu na serikali ni ya hovyo. Kwa sasa mnasema waliouwawa ni 10,000 kutoka elfu moja ( 1000) mnadhani binadamu ni sisimizi. Idadi hii hata kwa kiziwi tayari ni siasa chafu. Pili, Tanzania ni wazi sana tunaomba watu waliopigwa risasi nyumbani kwao...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

    Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi? Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Njia Rais ya kuwa relevant ni kuongea ukweli haijalishi watu watauopokeaje.!

    Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft Ila ongea ukweli tu. Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement Don't play someone's game Na wanaharakati anzeni...
  19. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaharakati wanajali usalama wao bila kuthamini usalama wetu?

    Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ? Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ

    Wanaukumbi. Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ.. Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia wanaharakati wenu meseji DM 😁😁😁 Wanaharakati wenu hawanaga akili kabisa !.. Ila leo wameelewa nini maana ya...
Back
Top Bottom