wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uganda: Wanafunzi wasingizia wazazi wamefariki ili wapate mikopo ya elimu

    Serikali imefuta mikopo kwa wanafunzi 47 nchini Uganda baada ya kubainika kudanganya kuwa wazazi wao wamefariki Wanafunzi hao walibainika kujitaja kuwa yatima au wanaolelewa na mzazi mmoja ilhali wazazi wao wako hai. Wanafunzi 10 kati ya 47 walijitaja kuwa watu wenye ulemavu Bodi ya Mikopo ya...
  2. Urusi: Wanafunzi washambuliwa kwa risasi chuoni

    Ripoti za awali zinasema angalau watu nane wameuawa baada ya Mtu mwenye silaha kufyatua risasi katika Chuo kilichopo Mji wa Perm. Baadhi ya Wanafunzi na Walimu walionekana kujificha, huku wengine wakiruka madirishani. Bado haipo wazi watu wangapi wamejeruhiwa. Polisi wanasema Mshambuliaji ni...
  3. B

    University of Dar es salaam: Mnavyowafanyia wanafunzi wa masters na PhD mnakiua chuo, badilikeni

    Mtoto want amesoma masters mwaka Sasa hata proposal ya masters haijavuka kwa supervisor, kila akimcheki supervisor hakuna email reply Wala wala apokei simu. Nikafunga safari kwenda naye chuo kuuliza tatizo ni nini? Watu tuliowakuta academic block walichosema unajua Hawa ma senior lecture na...
  4. TCU inavikanganya vyuo na wanafunzi

    Vyuo vinachagua/dahiri wanafunzi wenye sifa kwenye vyuo vyao kwa idadi waliyopewa na TCU, lakini wanafunzi waliochaguliwa nao wana hiari ya kuukubali/confirm udahiri wa chuo kwa kutumia mtandao hadi dakika ya mwisho. Mkanganyiko kwa vyuo uko hivi, vyuo havina uhakika ni wanafunzi wangapi...
  5. Serikali ina matumizi gani na wanafunzi walionaliza kidato cha 4 kabla ya 2020?

    BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) NA MKANGANYIKO WA UDAHILI WA WANAFUNZI WA MKUPUO WA MACHI, 2021. JE, WATENDAJI WAKE WANAPINGANA NA MAONO YA RAIS WA NCHI ? Kwako Waziri Pro. Joyce Ndalichako! Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge...
  6. HESLB: Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100

    Bodi ya Mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) wamesema Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100 mwaka huu. Chanzo cha habari: Mwananchi. My take: Hivi hii number ni sahihi kuwa bodi ndio imetoa? Au mwananchi wamejichanganya kwenye kuandika number maana idadi hiyo ni sawa na idadi ya kozi moja kwenye...
  7. M

    SoC01 Vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vijavyo vinaangamia kwakushindwa kuelewa maana halisi ya neno "Elimu"

    Nawasalimu wana jamiiforums, haswa jukwaa hili pendwa la "stories of change" naimani nyote ni wazima. Ujumbe huu unalenga kusaidia jamii yote hususani vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vinavyo kuja.Ili kujua maana halisi ya neno "elimu" na kuacha upotoshwaji mkubwa unao toka kwa wazazi...
  8. Shule nyingi za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zadaiwa kufungwa kwa kukosa wanafunzi

    Shule za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zimeanza kufungwa na kubaki kuwa mazalia ya wadudu, baada ya wananchi kwa umoja wao kuzigomea kupeleka watoto kusoma humo. Hii ni baada ya wananchi hao kufahamu kwamba chanzo cha umasikini na dhuluma dhidi yao Kwa miaka yote ni CCM ...
  9. SoC01 Tatizo la wanafunzi kubeba madaftari mengi

    Kwa muda mrefu sana watoto wetu wamekuwa ikiwalazimu kubeba mzigo mkubwa wa madaftari wakati wa kwenda shuleni. Na kwa watu wengi imeshachukuliwa kana kwamba ni hali ya kawaida kumuona wanafunzi akiwa amebeba begi kubwa na zito lililojaa madaftari mengi, na wengi wamekuwa na dhana potofu ya...
  10. SoC01 Tatizo la unyanyasaji wa wanafunzi katika vyombo vya usafiri

    Kama umepata nafasi ya kuzaliwa , kusoma au kuishi katika mkoa wa Dar es Salaam, utakubaliana na Mimi ya kwamba wanafunzi hupata wakati mgumu Sana wakiwa wanaenda mashuleni siku za wiki hasa hasa kwenye magari ambayo yaanaelekea safari za Kariakoo,mnazi mmoja na Muhimbili. Shule nyingi hapa...
  11. C

    SoC01 Umuhimu wa Wanafunzi wa Vyuo vya Kati kupata mkopo

    Habarini wana jamii. Katika kada ya Elimu hususani vyuoni Kuna umuhimu mkubwa wa wanafunzi wa vyuo vya Kati kuwekwa katika bajeti ya kupata mkopo. Jumla ya wanafunzi katika vyuo vya kati au vyuo vya ufundi hujitegemea kwa kiwango kikubwa katika kujihudumia kuanzia malazi, makazi hata malipo ya...
  12. T

    RC Homera anawatakia mtihani mwema wanafunzi wote wa darasa la 7-Mbeya

    "Niwatakie kila la kheri Wanafunzi wote wa darasa la saba mkoani Mbeya katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi." Mhe Juma Zuberi Homera, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
  13. M

    Naishauri Serikali ije na Programu Maalum kwa Wanafunzi wanaomaliza Darasa la Saba Kipindi kirefu wakisubiria Matokeo yao

    Wanafunzi kumaliza Mitihani yao ya Darasa la Saba Mwezi Septemba na Kuwaacha tu wanarandaranda Mitaani hadi Mwezi Disemba majibu yao yakitoka ni Hatari mno Kwao. Nitoe Kongole kwa baadhi ya Shule ambazo zilishaiona hii Hatari na kwamba Wanafunzi wao wakimaliza tu Darasa la Saba kuna Program...
  14. B

    CCM inawatakia kila la heri kwenye mitihani yao wanafunzi wote wa darasa la 7

    CCM inawatakia heri wanafunzi wote wa darasa la 7 wanaoanza mitihani yao leo
  15. Afghanistan: Wanafunzi Wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia madarasani

    Wanafunzi nchini Afghanistan wamerudi vyuoni na kupata mabadiliko chini ya utawala wa Taliban. Wanafunzi wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia au mbao madarasani. Aidha wanawake wanapaswa kuondoka dakika tano kabla ya wale wa kiume ilikuzuia wasitangamane. =========================...
  16. Nigeria: Mamlaka yakosolewa baada ya kisa cha utekaji nyara wa Wanafunzi 70

    Jitihada zinaendelea kujaribu kuwaachilia zaidi ya wanafunzi 70 wa shule ya upili waliotekwa nyara Jumatano katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. Kisa hiki cha utekaji nyara wa wanafunzi 73 kutoka shule ya upili ya Kaya na watu wenye silaha ni miongoni mwa mlolongo wa visa...
  17. M

    SoC01 Ushauri: Kupunguza miaka ambayo Wanafunzi hutumia katika masomo ili kukuza Uchumi

    Kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na mabadiliko ya jamii kiujumla nilazima kuwepo na namna ya kubadili mfumo mzima wa elimu hasa katika kupunguza idadi ya miaka ambayo wanafunzi hutumia katika masomo. Kwa mwanafunzi kufikia chuo kikuu mwaka wa tatu itakuwa imemchukua zaidi ya miaka 15...
  18. TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kuondoa VRF ya 6% kwenye HESLB pamoja na mkopo wa bilioni 106 kwa wanafunzi elfu 10 walionyimwa

    Ndugu Wananchi wenzetu, Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo, Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21 hadi 570BL FY2021/22 Kwa Sasa,kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupatiwa mkopo...
  19. Kwa wanafunzi kuanzia form 1 - form 4 mnaweza kufanya online examination

    NOTE: THIS EXAM IS NOT NECTA. ITS EXAM FOR SELF-TESTING ONLY. Our Online examination systeam is conducting exam online to measure the knowledge of the students from primary to secondary level with their own device, regardless of where they live. You only need a browser and an internet...
  20. N

    Ushauri kwa bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu

    1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA. Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo watume maombi ya mikopo kwa njia ya Posta ikhali bado waombaji wameshawatumia kwa njia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…