wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghana yaanza kupokea wanafunzi wao waliokimbia Ukraine

    Kundi la kwanza la raia wa Ghana wakiwemo wanafunzi limewasili Accra Nchini Ghana wakitokea Ukraine ambapo kuna machafuko kwa taifa hilo kushambuliwa na Urusi. Serikali ya Ghana kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekuwa wakifanya jitihada za kuwatoa raia wake Ukraine ambapo bado hali ya...
  2. UDART umefika muda sasa mtenge mabasi kwa ajili ya wanafunzi pekee

    Nimekuwa nikiona hawa wanafunzi wanapo pandaga haya mabasi kuna kuwa na kabuguza fulani hasa hasa vile kituo cha kivukoni, Nyerere square, Kisutu, Fire na Magomeni Mapipa wanafunzi huwa na fujo za kusukumana punde wapandapo mabasi haya kiukweli huwa ni kero kubwaa sanaa, sasa Juzi pale...
  3. Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Imekaaje hii? Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani, Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi? Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani? Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria...
  4. Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education. Kenya wazazi, walimu na wanafunzi hawaitaki

    Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education kenya wazazi,walimu na wanafunzi hawautaki Baadhi ya vyama vimeweka kama Agenda ya uchaguzi kuwa wakishika madaraka hup mfumo wa Competent based wataufuta sababu walimu hawautaki,wazazi hawautaki na wanafunzi hawautaki na wanashangiliwa...
  5. One dead, 13 students injured as bandits attack school buses in Elgeyo Marakwet

    The school bus that was attacked by bandits in Marakwet West (left). Some of the injured students admitted at Kapsowar hospital in Elgeyo Marakwet (right) A driver died and 13 students along with two teachers were injured on Thursday night after bandits attacked a convoy of school buses in...
  6. Kigoma: Wanafunzi wajisaidia vichakani, vyoo vya shule vyatitia

    Wanafunzi katika Shule ya Msingi Kasaba, Kata ya Kidahwe, Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wako hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na kujisaidia msituni kufuatia shule hiyo kutokuwa na huduma ya vyoo tangu mwaka 2020 baada ya kutitia. Wakielezea adha hiyo wanafunzi wamesema kwanza...
  7. J

    Prof. Mkenda: Wanafunzi watakaopata mimba hawataruhusiwa kurejea madarasani na Vichanga wao

    Waziri wa Elimu Profesa Mkenda amesema wanafunzi wa kike watakaopata mimba hawataruhusiwa kuingia darasani na watoto (vichanga) vyao baada ya kujifungua. Mkenda amesema Watoto wana haki zao ambazo ni lazima ziheshimiwe hivyo watakaojifungua itawapasa kunyonyesha kwanza watoto wao kabla...
  8. Malalamiko ya wanafunzi kozi za Afya; Barua ya wazi kwa Waziri Afya na Elimu

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA AFYA. NAKALA: OFISI YA WAZIRI MKUU...
  9. Utawala wa Taliban umetangaza wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo endapo tu watatenganishwa na wa kiume

    Baadhi ya vyuo vikuu vya umma nchini Afghanistan vimenguliwa tena kwa mara ya kwanza tangu kundi la Taliban lilipochokua madarakani mwezi Agosti. Utawala wa Taliban umetangaza kuwa wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo. Lakini endapo tu watatenganishwa na wanafunzi wa kiume na...
  10. Tunakamata wanaowapa ujauzito wanafunzi huku tukibariki na kuruhusu wanafunzi kushiriki ngono. This is nonsense!

    Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi. Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule. Sasa kama...
  11. Waziri wa Elimu, kuna shule zinawachapa viboko wanafunzi kwa kukosa mahitaji ya shule, watoto wanahusikaje?

    Waziri wa elimu hebu litupie macho hili la walimu kuwaadhibu wanafunzi kukosa michango na mahitaji ya shule,kama hao watoto ndio watafutaji wa hayo mahitaji. Kwanini usimuite mzazi ukamuadhibu kwa hilo kosa la kutomtimizia mtoto wake mahitaji, unamchapa viboko mtoto ana kosa gani? Pili hiyo...
  12. F

    Wanafunzi wajawazito kuendelea na shule je, wale walioko jela nao waendelee na masomo?

    Waraka wa Mhe. Waziri wa Elimu unaotoa ruhusa kwa wanafunzi wajawazito kurudi shule kuendelea na masomo baada ya kujifungua haujatoa majibu kuhusu haki ya elimu kwa wanafunzi/watoto wadogo walioko jela za watoto nao waendelee na masomo wanapotumikia vifungo vyao au hatima za maisha yao ndiyo...
  13. F

    Wanafunzi wanaotia mimba walimu nao waendelee na masomo?

    Kumekuwa na mkanganyiko kuhusu mimba mashuleni ambapo tafsiri na mitazamo huelemea wanafunzi wa kike wanaopewa mimba na watu (wakiwemo Walimu) huku wanafunzi wa kiume wanaotia mimba Walimu wao wa kike wakiachwa nje ya tafsiri na mitazamo hiyo. Zipo jamii katika nchi za Tanzania na Kenya ambapo...
  14. C

    Kwanini wanafunzi wengi wa Pharmacy ngazi ya diploma wanafeli sana?

    Je, walimu sio mahiri? Je, wanafunzi ni vilaza?Je masomo ni magumu? au je mitihani ndiyo migumu? Mazingira ya ujifunzaji yanaridhisha? Je, kuna vitabu vya kutosha? Mitaala inakidhi viwango? Au ni ili mradi watu wamalize?Uwiano wa walimu na wanafunzi uko sawa? Je, mfumo unaotumika ni upi? Ni...
  15. Jinsi ya kupata API ya NECTA kuverify index number za wanafunzi

    Habari, Naitaji kufaham jinsi ya kupata access ya API ya NECTA ili kuweza kuverify index number ya mwanafunzi au utaratibu wowote au mwenye nazo anaweza kushare. Asante!
  16. J

    Serikali: Kwa jiji la Dar es Salaam sasa darasa moja wanakaa Wanafunzi 35 - 40 tofauti na awamu iliyopita ambapo walikaa 70 - 80

    Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Jumanne Shauri amesema katika jiji lake kwa sasa darasa moja wanakaa wanafunzi kati ya 35 hadi 40 ndio maximum. Shauri amesema katika awamu iliyopita darasa moja lilichukua kati ya wanafunzi 70 hadi 80. Shauri amemshukuru sana Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa...
  17. J

    DC Jokate Mwegelo aweka mkakati wa kuboresha elimu na ufaulu Wilayani Temeke

    DC JOKATE MWEGELO AWEKA MKAKATI WA KUBORESHA ELIMU NA UFAULU WILAYANI TEMEKE Leo hii Mkuu wa Wilaya Mh. Jokate Mwegelo amefanya kikao maalumu cha wataalamu wa elimu wakiwamo viongozi na kutoka Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), wasimamizi na maafisa Elimu ya Temeke. Dhima ya kikao...
  18. J

    DC Jokate kuongoza mapokezi ya kidato cha kwanza leo Temeke. Kwa mara ya kwanza hakuna aliyekosa darasa

    Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako. Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya habari!!!! Kazi Iendelee 🇹🇿
  19. University of Nairobi students join historic mission flying world leaders to space

    Entrance to the University of Nairobi (left) and a spacecraft taking off. University of Nairobi (UoN) students are now part of a historic space mission targeting world leaders including wealthy billionaires. Namira Salim, a Dubai-based diplomat is working towards sending a peace mission to...
  20. Kupima wanafunzi wa kidato cha pili kwa kutumia division ni kuharibu mfumo wa elimu

    Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…