wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ni vyema shule zenye wanafunzi zaidi ya 1000 zivunjwe ili shule zisiwe na zaidi 600

    Ushauri wangu kwa serikali ifikie wakati na kugawanya shule zenye wanafunzi wengi kuwa shule ndogo ndogo zinazojitegemea, fikiria shule moja kubwa unakuwa na wanafunzi 400 ambao wamepata zero. Kama tunataka ufanisi ni wazi kuwa tunatakiwa kuwa na shule ambazo hazitakiwa kuwa na wanafunzi zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

    Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate. Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali...
  3. JamiiForums Tanzania Watahiniwa 63,583 wa Kidato cha 4 wamefeli kwa kupata Division 0

    Jumla ya Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 walikuwa 534,753 lakini waliofanya Mtihani huo ni 522,217 ambapo Wasichana walikuwa 280,251 na Wavulana 241,966. Tafsiri ya haraka ni kuwa zaidi ya wanafunzi 12,000 hawakufanya Mtihani wa kumaliza Kidato cha 4. Kiwango...
  4. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Hoja za NECTA kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora hazina mantiki kwa 100%

    Siku ya leo, Baraza la Taifa la Mitihani Nchini Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kufuta utaratibu wa muda mrefu wa kutoa orodha na mtiririko wa ubora wa shule kulingana na kiwango cha ufaulu na pia limefuta utaratibu wa kutangaza wanafunzi bora wa mitihani hiyo. NECTA...
  5. JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu inayoandaliwa haishiriki Wadau Muhimu (Walimu, Wazazi, wanafunzi)

    Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma, 1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje. Mfano, Mwaka jana 2022...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani.Idadi ya wanafunzi walioshindwa kuendelea na sekondari inapatikanaje

    Salamu na kazi iendelee. Kichwa Cha habari kinasomeka. Kwa lugha ambayo sio pendwa ni wale wanafunzi waliofeli.Nikitaka kujua idadi yao nafanyaje wapendwa. Msaada wandugu.Msije mkasema nina NGO ya kuwapeleka hapana mahitaji kujua tu. Takwimu za 22/23 itakuwa vizuri. Nawasilisha.
  7. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 12,536 hawakufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022

    Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge Ditopile atoa msaada kwa wanafunzi 1,000

    Wanafunzi 1,000 wanufaika na msaada wa vifaa vya shule vyenye thamani ya tsh. milioni 32 kutoka kwa Mariam Ditopile Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Dodoma. Mbunge viti Maalum Mkoa wa Dodoma anayetokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mariam Ditopile amewawezesha wanafunzi wenye...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari Uraki Halmashauri ya Meru mkoani Arusha yenye wanafunzi chini ya 400 ina walimu kama 50

    Shule tajwa hapo juu ina wanafunzi chini ya 400 lakini ina walimu wanaofikia 50 kiasi wengine wanakosa vipindi vya kufundisha. Mkurugenzi yupo anafahamu yote haya walimu wako busy na biashara zao maeneo ya Arusha mjini, ktk miji midogo ya Usa-River na Tengeru. Wakati hali ikiwa hivi ktkt shule...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali za Mtaa zifanye jambo kuhusu usalama wa wanafunzi katika shule ambazo zina vichaka pembeni

    Huku mtaani kwetu kuna shule nyingi ambazo hazina uzio na mazingira yake pembeni yamekuwa na mitimiti ambayo ikifika mida ya jioni kunakuwa na mazingira flani ambayo ni hatarishi kwa wanafunzi. Sisi wenyewe ndio tumesoma kwenye shule nyingi za aina hiyo lakini sasa hivi tumekuwa nimegundua kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania 92% ya Wanafunzi nchini wanatembea kwa Miguu kwenda Shule

    Jiji la Dar es salaam linaongoza kwa kuwa na Wanafunzi wengi wanaotumia Mabasi ya Shule kulinganisha na sehemu nyingine yoyote Tanzania. Wanaotembea mpaka Shule - 92.6% Wanaotumia Usafiri wa Umma - 3.7% Wanaotumia Basi la shule - 1.5% Wanaotumia Baiskeli - 1.1% Wanaotumia Magari binafsi - 0.6%...
  12. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wazazi 763 wakamatwa kwa kutopeleka Wanafunzi waliofaulu Shuleni

    Idadi hiyo imefikiwa baada ya msako wa nyumba kwa nyumba uliofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro, kutokana Wanafunzi wengi wa Darasa la Kwanza na Kidato cha Kwanza kutoripoti Shuleni. Maeneo mengi Nchini yamekuwa na mwitikio wa kusuasua kwa Wanafunzi waliofaulu kuripoti Shuleni...
  13. JamiiForums Tanzania Madereva Pemba wakerwa tabia ya Wanafunzi kupuuzia honi barabarani

    Madereva wa vyombo vya moto Kisiwani Pemba, wamewataka wanafunzi kutodharau honi wanazowapigia au miungurumo maalum ya mashine, ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika. Wamesema, wanafunzi wengi wamekuwa na tabia ya kudharau honi au mivumo isiyokuwa na kawaida, wanayoifanya ili wakae pembeni...
  14. JamiiForums Tanzania Wanafunzi zaidi ya 21,930 shule za Msingi Mwanza hawajui kusoma, kuandika, kuhesabu

    Zaidi ya wanafunzi 21,930 wa Shule za Msingi Mkoani Mwanza bado hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu hivyo walimu kutakiwa kuongeza jitihada na mbinu zitakazofanikisha wanafunzi kumaliza darasa la kwanza wakiwa na stadi hizo za KKK tatu. Akizungumza na Walimu na wasimamizi wa masuala ya elimu...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini hasa? Madarasa tayari Wanafunzi hawataki Shule

    Haya ni maajabu ya Tanzania ya CCM, Sasa hivi inajisifu kujenga madarasa mengi na ya kisasa kwa shule za msingi na sekondari kwa pesa nyingi sana za kukopa, tozo na kodi za kawaida. Pia sasa hivi elimu inasemekana ni bure kote huko yaani msingi na sekondari. Tunawapongeza. Ajabu ni kuwa kuna...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wenzhou, Zhejiang China: Wanafunzi wa kigeni wajifunza kuandika neno "Fu" ili kusherehekea mwaka mpya wa jadi wa China

    Januari 19, huko Wenzhou, mkoa wa Zhejiang, China, katika makazi ya Luyuan, Wilaya ya Lucheng, wakazi waliwafundisha wanafunzi wa kigeni kuandika neno "Fu" (linamaanisha "baraka" katika lugha ya Kichina) ili kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China.
  17. JamiiForums Tanzania Kocha asimamishwa kazi baada ya kulazimisha wanafunzi kupiga Push-ups 400

    Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali. Kocha wa Rockwall-Heath, John Harrell. anashutumiwa kwa kuongoza darasa la riadha Januari 6 ambapo...
  18. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 716,664 Kidato cha Kwanza hawajaripoti shuleni hadi sasa

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili Januari 15, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msingwa, wanafunzi 354,277 wakiwemo wenye ulemavu 697, ndiyo walioripoti hadi sasa kati ya wanafunzi 1,070,941 wanaotarajiwa kuingia kidato cha kwanza sawa na asilimia 33 ya matarajio. Aidha amesema...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti katika shule mkoani humo. Uamuzi wa Serikali unatokana na gazeti moja nchini kuripoti uwepo wa shule inayofundisha masuala hayo mkoani humo kitendo...
  20. JamiiForums Tanzania Tanga: Wanafunzi 27,867 hawajaripoti Kidato cha Kwanza hadi sasa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa #TAMISEMI, Angellah Kairuki ameagiza Uongozi wa Mkoa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha Wanafunzi hao wanaripoti Shule mapema iwezekanavyo. Idadi hiyo ambayo ni sawa na 55.2% ya Wanafunzi waliotakiwa kuwa Darasani mpaka sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…