wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  2. A

    KERO Kagera: Serikali iingilie kati, Wanafunzi wa Rubafu Secondary School wanapewa adhabu kali sana

    Kuna shule mpya ya Serikali Mkoani Kagera, Halmashauri ya Bukoba Vijijini inaitwa Rubafu Secondary School ipo Kata Rubafu. Ilifunguliwa ili kuwapunguzia mwendo Wanafunzi wanaotokea Vijiji vya Kyamalange na Rubafu ambao walikuwa wanatembea mwendo mrefu kwenda Katale Secondary School. Mkuu wa...
  3. A

    KERO Shule ya Secondary KIUTU haina Maabara, Wanafunzi wanafundishwa kwa nadharia tu

    Mkoani Arusha, Shule ya Secondary KIUTU haina maabara mpaka sasa Machi 2026, form four wanatarajia kuhitimu na shule haina maabara. Haina Walimu wa kutosha, wapo Walimu 10 wa 11 ni Mkuu wa Shule! Hii imekuwa changamoto kubwa sana na ukiangalia form 3 wapo wanafunzi 315, hapo bado form four...
  4. A

    KERO Wanafunzi wa UDOM tukibaki hosteli wakati wa likizo tunalipishwa japo tumeshalipa hela ya makazi

    Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost. Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye...
  5. E

    Stadi za maisha: Elimu muhimu inayokosekana kwa wanafunzi shuleni

    Mara nyingi wazazi wanapochagua shule kwa ajili ya watoto wao, kigezo kikuu huwa ni ufaulu wa kitaaluma. Siku hizi, baadhi ya wazazi wako tayari kulipa ada kubwa ili kuhakikisha watoto wao wanasoma katika mazingira bora, huku wakiachia jukumu la malezi kwa walimu. Kwa upande mwingine, shule...
  6. M

    Madaktari, msiwaache wanafunzi kuona wagonjwa wakiwa peke yao, afya ya mtu haijaribiwi wakikosea inaweza gharimu uhai

    Kuna jambo ambalo halizungumzwi sana ila linatendeka sana, hili la wanafunzi madaktari wanapokuwa wapo kwenye mazoezi ni muhimu sana wakawa wanaambatana na madaktari wazoefu au walimu wao ili kuepusha hatari ya wao kufanya makosa kwenye mwili wa mtu. Nakumbuka kuna siku nilipeleka mtoto wangu...
  7. A

    KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

    Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya. Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
  8. Think2

    Mwanza University yafungiwa na TCU, wanafunzi wahamishiwa CUHAS

    Serikali imekifungia chuo cha Mwanza university wanafunzi wadai pesa za takribani million 73 ambapo uongozi ulidai zitahamishiwa Bugando.. Kama mnavojua Watanzania njaa sana hiki chuo kuna wanafunzi wamepachikwa tu not qualified to study medicine hukoo Bugando watapokelewa na nani? It's...
  9. Kipenzi Changu

    Dress Code ya wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma kwanini isiigwe?

    Mwaka jana nilimtimua ofisini binti wa field aliyekuja na sketi fupi iliyokuwa inabada mpaka mistari ya chupi zake zinaonekana. Nikamwambia akabadilishe ndio arudi ofisini. Januari nilienda ofisi moja ya umma kufanya kazi, moja ya afisa aliyetuletea nyaraka alikuwa amevaa jinsi ya kubana mpaka...
  10. A

    KERO Changamoto zinazowakabili Wanafunzi SUA kipindi hiki cha Mitihani

    Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka. Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
  11. W

    KERO Shinyanga: Wanafunzi walia na daraja la mpito la Butengwa lililowekwa na Mkandarasi ni hatarishi kwa usalama wao

    Wanafunzi wa maeneo ya Butengwa waomba Mkandarasi akamilishe ujenzi wa daraja mapema kwani lililopo ambalo ni la mpito ni hatarishi si kwao tu bali kwa makundi mengine pia. Chanzo Kusaga TV
  12. E

    Masauni awataka wanafunzi kuulinda Muungano

    Unguja. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Zanzibar kuwa mstari wa mbele kulinda, kuuenzi na kuutetea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ili kuendeleza amani, umoja na mshikamano wa Taifa...
  13. A

    KERO Changamoto ya kutosajiliwa ERB wanafunzi ambao tumesoma course za Technical Education Mbeya University

    Wanafunzi ambao tumesoma Bachelor of Technical Education in Mechanical Engineering, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) tumeshindwa kusajiliwa na Engineers Registration Board(ERB) baada kuhitimu chuo na wakati tuna sifa zote. Na kipindi tukiwa chuoni tuliambiwa tumekubaliwa...
  14. A

    KERO Wanafunzi wa MASTERS na Ph.D Hosteli za Ubungo - UDSM tunanunua maji ndoo moja Tsh. 1,000

    Kumekuwepo na ukosefu wa maji katika Hostel za Ubungo za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunapoishi Wanafunzi wa Uzamili (Postgraduate Students) ambao tunasoma Master's Degrees na Ph.D! Kipindi hiki hali imekuwa mbaya zaidi na tunalazimika kununua dumu moja la Lita 20 kwa Tsh. 1,000 ambayo ni sawa...
  15. Roving Journalist

    RC Chalamila: Uwa nashangaa kuona Wanafunzi Dar wanakaa chini wakati kuna DC na Ma-DED

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa anashangaa kuona taarifa zinazohusu wanafunzi katika baadhi ya shule zilizopo mkoani Dar es Salaam wakikaa chini, licha ya kuwepo kwa viongozi kama Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya na Maafisa Elimu. Amesema kuwa changamoto hiyo siyo matokeo...
  16. A

    KERO Chuo cha City College jijini Mwanza kinanyanyasa Wanafunzi

    Kuna chuo cha afya kinaitwa City College Mwanza kinawanyanyasa sana Wanafunzi na Wazazi, Wanafunzi wanafukuzwa hovyohovyo kisa hawakamilisha michango. Mfano chuo kimefunguliwa mwezi Novemba tarehe 23, 2025. Wanawafukuza wanafunzi wote ambao hawajakamilisha malipo ya awamu ya pili. Sasa...
  17. W

    KERO Shule ya Sekondari Kisungu-Dar, Wanafunzi wanapewa adhabu ya kuleta tofali za kujenga uzio

    Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni...
  18. R

    Prof. Mbarawa: Serikali kuanzisha Mwendokasi Maalum kwa ajili ya wanafunzi

    Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi imetangaza hatua mbalimbali za kuboresha usafiri wa wanafunzi katika maeneo ya mijini, kufuatia malalamiko ya wanafunzi kuhusu kunyanyaswa na baadhi ya wahudumu wa mabasi ya daladala. Akizungumza na vyombo vya habari, Jijini Dodoma Tarehe 04 Februari, Waziri...
  19. Roving Journalist

    Prof. Riziki Shemdoe: Bajeti za Miundombinu ya Elimu zitengwe kujiandaa na mapokezi ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2028

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
  20. A

    KERO Chuo cha Mipango Dodoma: Refund za wanafunzi waliomaliza Bachelor Degree mwaka 2025

    Wanafunzi tuliomaliza Chuo cha Mipango Dodoma mwaka jana (2025) mpaka leo hatujalipwa refunds zetu kwa waliozidisha ada na taratibu zote za kuhakiki account na majina tayari tangu tarehe 9 Januari 2026 lakini cha ajabu mpaka leo hakuna malipo. Tukiuliza kuhusu hizo refunds, hatupewi taarifa ya...
Back
Top Bottom