wamiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. astalavista

    Ujumbe MUHIMU kwa wamiliki wa shule.

    Nafahamu uwepo wa mapumziko mafupi kwa wanafunzi wenu, hivyo basi nimeona nikiwapa namna bora ya kufikisha taarifa kwa wazazi na walezi kwa haraka na ufanisi mno. Suluhisho ni mfumo wa BULK SMS ambao utakurahisishia kutuma ukumbusho wa ada kwa wazazi wote hata wakiwa elfu 50 kwa dakika Moja...
  2. Pdidy

    Wamiliki wa hospitali binafsi wanajua kweli gharama wanazokutana nazo wagonjwa?

    Dah, nipongeze utaratibu wa baadhi ya kampuni zinazotoa huduma za kadi Zaidi wewe uliyelipia hela ndefu kupata kadi hiyo. Ukweli nimewaza sana, hivi hawa wamiliki wanakufaga kweli? Ama ndugu zao wanakufaga? Mbona gharama kubwa sana aisee, kama vile hawaoni pepo. Embu kaeni chini mjadiliane...
  3. M

    Kununua gari kwa mbongo ni mtihani, wauzaji wengi wanaficha matatizo yaliyowashinda, mnunuzi anaachiwa apambane nalo.

    Hata ukienda na fundi ni ngumu kukagua matatizo yote. Gari inaweza kukazwa vizuri unapoenda kuinunua na ukaitesti ukajisifu umevuta chuma ila kuna matatizo hutaweza kuyaona kwa muda huo, utayajua baadae Gari kunywa sana mafuta Enhine kumaliza oili haraka kila miezi mitatu unabadili Gari...
  4. Bawabu wa pili

    Wamiliki wa IST Dar wafikiwa

    Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Jiji hilo Ndugu Elihuruma Mabelya amesema, wameandaa tamasha la IST ambalo limelenga kukutanisha vijana wa vyuo mbalimbali kwa lengo la upimaji wa afya bure na kutengeneza fursa tofauti. Soma pia: Wanaosema ist sio gari...
  5. Poker

    Ni kwanini wamiliki wa lodge na hotels ni wagumu sana kufanya marekebisho ya biashara zao?

    Unakuta mtu kajenga lodge au hotel yake nzuri kabisa, ila sasa kufanya marekebisho au renovation inakuwa mtihani sana. Kuna mkoa nilienda mwaka 2022, nikafikia lodge X, ilikuwa nzuri kabisa ila vitanda na shower zake zilikuwa zishachoka. Nilirudi tena mwaka 2025 na nikakuta shower na vitanda...
  6. kagoshima

    PostGE2025 Ninacho kiona ni CCM kuamini wao ndio wamiliki wa Tanzania

    Hii inchi ilikuwepo kabla ya ccm na TANU hivyo itaendelea kuwepo hata ccm itakapokua imekufa kabisa, maana sasa iko ICU ikishikiliwa na vyombo vya dola. Hivyo, ni kosa kwa ccm kuamini kwamba wao ndio wamiliki wa Tanzania na vyote vilivyomo. Na hivyo kujifanyia wanavyotaka hadi kuvuruga...
  7. DuaZaMama

    Kesi ya wamiliki jengo la Kariakoo yapigwa Kalenda hadi Oktoba 9, 2025

    Kesi ya jinai iliyofunguliwa na Jamhuri dhidi ya waliokuwa wamiliki wa jengo la ghorofa la Kariakoo, jijini Dar es Salaam lililoporomoka Novemba 16.2024 imeendelea leo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu Godfrey Mhini leo, Alhamisi...
  8. Mshana Jr

    Wamiliki silaha kinyume na sheria kusamehewa

    Jeshi la Polisi kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015, Sura ya 223 na marejeo ya mwaka 2023 ametoa msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume...
  9. ndege JOHN

    Wamiliki wa bar tufungieni WiFi hata tatu

    Mmeshindwaje trick ndogo ya kututeka.funga WiFi hata tatu hapo bar mtu uzidi kukaa ukiendelea kula life bar yako itajza maana hata maofisini siku hizi hatutoki kwa sababu hio dunia ya sasa videos/reels ndo kila kitu.
  10. Harvey Specter

    Siku 7 zatolewa kwa wamiliki wa viwanja Kigamboni kuvifanyia usafi au kutozwa faini, utaifishaji au umiliki wa viwanja husika kufutwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
  11. KENGE 01

    Kwa Wamiliki wa Maduka ya Spare za Magari, Mafundi, Wamiliki wa Gereji, Wapenda Habari za Magari Hii ni Yetu Sote

    Ndugu Wajumbe, Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini! Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
  12. Travis 1

    Kwa wamiliki na wapangaji wa nyumba, je, ni nini ungependa kuona au unapendekeza kiwemo kwenye nyumba za kupangisha?

    Habari zenu wakuu, Nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha, lakini napenda ujenzi huu uwe wa kisasa na wa kuvutia. Kwa hiyo, nataka kupata maoni na mawazo tofauti kutoka kwa wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wamiliki wa nyumba za makazi ya Biashara na wapangaji. Kwa mfano, ninafikiria...
  13. H

    Wamiliki wa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) - Kupata mafunzo Bure ya Usimamizi wa biashara

    Je, unamiliki duka au biashara na ungependa kuisimamia kwa ufanisi zaidi? SmartBusiness inatoa MAFUNZO YA BURE ya usimamizi wa biashara kwa watumiaji wake wote kupitia kundi la WhatsApp! Mafunzo haya yatakusaidia kukuza biashara yako kwa kukupa ujuzi katika maeneo yafuatayo: 📌 Kanuni za...
  14. JOHNGERVAS

    Mameneja wa bar, wamiliki wa majiko DSM muna shida gani?

    SHALLOM. Nipo Dar kwa muda Kidogo ila kuna kitu kinanishangaza sana hasa kwa Dar maeneo ya wilaya ya Ubungo na maeneo mengine kuhusiana na suala zima la Uuzaji wa Vyakula hasa nyakati za asubuhi. Ukipita Maeneo mengi wanayouzia KIfungua Kinywa kama Supu au mtori na n.k unakutana na Vituko sana...
  15. A

    UJIO WA MABASI YA SHABIBY LINE DAR-TANGA WAZUA HEKAHEKA, WAMILIKI WENGINE WAKUNA VICHWA!

    Wakati Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ikiwa kwenye maandalizi ya kuanza safari zake za Dar -Tanga, Tanga-Dar kila siku, tayari baadhi ya wamiliki wa mabasi wenyeji wameanza 'kukuna vichwa' wakipanga mikakati ya kuongeza mabasi ya kisasa ili kumudu ushindani. Habari kutoka mtandao mmoja wa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema ataunda timu ya wataalamu kufanya utafiti kuwabaini wamiliki wa mashamba ikiwa ni jitihada za kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto pamoja na mgogoro wa mpaka kati ya wilaya hiyo na Wilaya ya Chemba. Kupata matukio...
  17. Valencia_UPV

    Wamiliki wa Mabasi jiungeni mtengeneze Kampuni Kubwa ya Mabasi Tanzania

    Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional). NB: uswahili umezidi
  18. Yoda

    Wamiliki mbwa mijini huwa wanawapeleka wapi wanapozeeka?

    Wamiliki mbwa hasa wa mjini wanaofuga mbwa kama pets au kwa ajili ya ulinzi ndani ya mageti katika nyumba zao huwa wanawapeleka wapi hao mbwa wanapozeeka? Huwa sioni mbwa wazee katika nyumba za watu!
  19. Lycaon pictus

    Changamoto za monetization kwa wamiliki wa app

    Unamiliki app? Unafanyaje monetization? Changamoto gani unakutana nazo na unatatuaje?
  20. T

    Hotel zinazohudumia abiria haswa usiku zingatieni usafi

    Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za kijamii. Aisee mazingira ya maliwato ni mabovu. Kuchafu na maji hakuna kabisa. Nikajiuliza ni day...
Back
Top Bottom