Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima yako. Ni vizuri kuishia hapahapa. Usiendelee kusoma. Kwa kuendelea kusoma ni kuonyesha kuwa unajiweza na...
WAMAMA PUNGUZENI KAULI HIZI KWA WAUME ZENU 🙏
Kila mzazi ana haki ya kumlea mtoto wake.
Malezi si jukumu la mama peke yake wala baba peke yake… ni ushirikiano 🤝
Lakini kuna kauli ambazo zinaumiza, zinadhoofisha mamlaka ya baba, na zina changanya watoto😔
Epuka kauli hizi mbele ya watoto👇...
Mwamba wa dunia naambiwa yuko middleeast hukooo
kumbukumbu zangu jamaa anapenda sana kudaka ama.kupiga wenzie
Ijumaa
Jmosi
Jpili
Ijumaa imepita
jmosi ndio hii
Yetu machoooo
Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nawaslaimu raia wenzangu.Waziri wa afya mchengerwa tunaomba majibu juu ya huduma kwa awajawazito mkoa wa Kigoma GUNGU hospitali ya kikungu.
Hivi huduma ya kujifungua ni bure au? kwani nimepeleka mke wangu kujifungua kwa bahati mbaya hakufanikiwa...
Tetesi, kuna baadhi ya video mtandaoni wamama wafiwa wa vijana walio uwawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi.
Maandamano hayptokuwa tu ya Gen z kwenye round hii tutakuwa na wazazi nchi nzima tutakinukisha.
===
Rais Samia atoa TZS83bn ikiwa ni 10% kwa Vijana 4%, Wanawake4% na wenye Ulemavu 2%. Wakati Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni TZS22.3bn.
Vikundi vya wanawake walipata 4%, vijana 4% na watu wenye ulemavu walipata 2%...
SIO VIKOBA TUU
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuchangamka ni hatari, hii ndiyo ile hamsini kwa hamsini hakuna kuacha gap, nilijua ni kwenye Vikoba tu kumbe ni muendelezo wa kukaba maisha yaendelee
Mtaani hakuna kupoa
WTF ! Wanawake siku hizi pasua unakuta mdada analea mtoto muda wote busy na simu ku chart online hana muda wakuweka umakini kwa mtoto matoke yake mtoto anapata madhara kwa uzembe wa mama kuendekeza mitandao zaidi
Jana nilipoenda Hospitali ya Jitimai Zanzibar kumuangalia mjamzito nimekutana na changamoto wanayoikumba wakina Wamama baada ya kujifungua.
Kitanda kimoja wanalala Wazazi watatu na watoto wao sasa tatizo sijui ni nini licha ya kuwa kila wilaya sasa hivi Zanzibar wana hospitali yao.
Wadau habari za muda
Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu.
Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuwa ananizidi kama miaka 20 hivi sasa toka kipindi hicho naona kama...
Tajiri hasalimii.
Kuna hawa wamama wakikuona umezubaa zubaa tu mtaani huna hili wala lile, yaani hawasikii siku umeng'oa demu wala skendo yoyote mbovu basi wanaamua kukublesi na kipisi Chao kimoja.
Siku mnakutana tu utasikia "Tajiri Magreth anakuulizia anasema sikuhizi umepotea sana mtaani"...
HAYA MAOMBI SIRUDII TENA
MAANA NIMEOMBA TOKA JAN
MUNGU ATUSAIDIE SANA
NDOA NYINGI ZINATESEKA
SHIDA KUNYIMANA
UNYUMBA
YAAN WANAUME WALEVI WANALEWA USIKU HAWAWEZI HATA KUSHUGHULIKA
WANAWAKE WANANYIMWA PESA ZA MSOSI USIKU WANANZISHA MAPAMBANO YA KUNYIMANA UNYUMBA
YAAN
USIKU UNAKUWA...
Niulize mimi na wanawake wa jamvini chochote kuhusu masuala ya wanawake, afya zao, mienendo n.k na tutakujibu kwa uwazi bila kupindisha pindisha maneno.
Feel free kuaddress swali lako directly kwa mwanamke wa JF kwa kumtag
Nakatiza pande za mtaa wa Kongo.
Nyomi la hapa si la mchezo.
Watu tunatembea kwa kusukumana. Jua la utosi. Afu katikati ya msongamano unamkuta mama akiwa na mtoto mgongoni.
Daah unaishiwa pozi.
Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
https://youtu.be/LGCNOc6eG_w?si=gbdLTmuHV9065Hfm
Nakumbuka Magufuli aliwahi kuongea matusi ya ajabu kwenye Tv nikiwa naamgalia Tv na wanangu hadi nikakosa pozi
Alikuwa kwenye ziara na wananchi waliomba kupanuliwa kwa barabara, bahati mbaya au nzuri ni mama ndiye aliyefikisha ombi hilo, basi...
Erick Kabendera anasema mama yake alikuwa mwalimu wa enzi za ukoloni na ndiye aliyemfundisha yeye na kumpa ujuzi mwingi wa Kingereza, Historia na Uandishi. Anasema nyumbani kwao kulikuwa na maktaba kubwa ambapo walikuwa wanasoma vitabu vingi sana pamoja na mama yake.
Kabendera anasema hata...
Ipo hivi nina dada yangu ambaye ni mjane mumewe alikufaga 2010 akamuachia watoto wawili wadogo sasa hawa watoto kwao waligawana kumsaidia mama kulea watoto mmoja alimchukua shemeji yake mdogo mwingine akachukuliwa na shemeji yake mkubwa huyu mmoja anaitwa E ndio mkubwa na wa pili J
Sasa huyu J...
Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh yeah binti ananipa kila kitu pesa,nguo na mapenzi wakuu mimi mtoto wa kimakonde nitake nini? Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.