wamachinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Halima Mdee: Imekuwa utamaduni wa Serikali kufukuza wamachinga

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara. Amesema, "Kuthibitisha Serikali haijali kundi hili la Wafanyabiashara wadogo hata kwenye Mpango...
  2. B

    Machinga: Jeshi kubwa lenye uwezo wa kuamua Mustakabali wetu kisiasa

    Neno Machinga linasimama hapa kwa niaba ya kada yote ya chini, yaani wavuja jasho. Humo kuna Boda boda, wapiga debe, mama lishe, makuli, vibarua, nk, wakiwamo pia machinga wenyewe. Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi? Agenda #1: (Si maneno yangu)...
  3. Kutimuliwa kwa wamachinga uchumi utapaa sana, hongera Rais Samia kwa kutumia akili

    Poleni wamachinga wote. Nawapa pole lakini nawalaumu pia,mlijisahau sana, Mlibweteka. Ukiacha kulisha familia yako una faida gani kwa nchi? Je, wewe mmachinga unataka maendeleo kweli huku hutaki kulipa kodi? Unataka mwanao aje asome shule nzuri,apate mkopo, serikali itatoa wapi pesa kama...
  4. Maeneo ya wamachinga lazima yawe na kikomo cha umachinga

    Kwakuwa serikali haiwezi kuwa na maeneo kwa machinga woote nchini hivyo Maeneo wanayopewa wamachinga ni kwaajili ya wafanyabiashara wadogo wasiokuwa na mitaji mikubwa ya kufanya biashara kubwa. Sio sawa kwa machinga kufanya biashara yake eneo hilo milele, ni lazima mmachinga apewe muda maalum...
  5. Akamatwa akiwarecord wanaowafukuza Machinga

    Kijana mmoja eneo la Gerezani karibu na kituo cha mwendokasi cha gerezani, amekamatwa na Askari Polisi sababu alikuwa anarecord tukio la wanaobomoa vibanda vya machinga asubuhi hii. Asubuhi hii watu takriban 20 walikuwa wanapita Gerezani huku wakiwafukuza wafanyabiashara wadogo na kubomoa...
  6. CHADEMA nendeni na wamachinga na bodaboda mtanikumbuka baadaye

    Ndilo kundi linalonyanyasika sana kipindi hiki. Nyinyi msijali walikuwaje bali jalini mailage ya kisiasa.Hawa ndiwo watu wanaotegemewa hadi na wajomba zao huko kijijini kuwatumia elfu 5 kila wapatapo sasa wakiikosa ya kuwatumia huko kijijini lazima nao huko waelewe mchawi wa elfu 5 yao ni...
  7. Karata ya Wamachinga imeokotwa

    Ukiwa Dar es Salaam au Mwanza Jiji na baadhi ya Maeneo ya Kabwe na Mwanjelwa Mbeya, pamoja na Jiji la Dodoma utaona Machinga wamepungua sana wamejaribu kutii na kuondoka na bidhaa zao Pamoja na mafanikio haya, kumeibuka ongezeko la Parking mpaka milangoni pa hayo Maduka ya Wale wanaolipa Kodi...
  8. M

    Kwenye suala la Wamachinga, Rais Samia umevunja ahadi na umewasaliti Wamachinga

    Mheshimiwa rais, Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao nitaeleza. 1. Serikali yenu wewe na Hayati Magufuli mliwatengenezea wamachinga utaratibu wa sasa...
  9. Tatizo la wajenga mabanda holela na kujiita Wamachinga Suluhu yake haitapatikana kirahisi

    Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
  10. Kuhamisha Wamachinga kwa kuvunja miundombinu yao na kupora mali zao ni uhalifu kwa DSM na Mwanza

    Ni takribani wiki mbili sasa wafanyabiashara ndogo-ndogo (wajasiriamali au wamachinga) waliagizwa na serikali za mikoa mbalimbali kuhama kutoka katikati ya miji mikubwa na ama kuelekezwa wapi waende au bila kupewa eneo mbadala na rafiki kwa biashara. Wamachinga walitoa mawazo yao ili...
  11. Mapendekezo: Shule ya za Sekondari Benjamin, Msingi Uhuru na Kiwanda cha Bia zihamishwe Kariakoo waachiwe wamachinga hilo eneo

    Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa. Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara. Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
  12. S

    Nguvu ya Umma - hisia zilichomokea kwa sakata la Wamachinga na Serikali

    Kweli Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga, kama mlifuatilia fumuko la mvutano kati ya Serikali na wananchi (Wamachinga), Kuna kitu ikiwa ni wenye akili mmekisoma na faida zilizopatikana ni serikali kurudi na kunywea na kuwasikia viongozi wao wakisema....endeleeni...bakieni....malizeni kuorodhesha...
  13. J

    DC Jokate: Mikopo kwa wamachinga

    DC JOKATE: MIKOPO KWA WAMACHINGA "Kuhusu Machinga tunashukuru tumeendelea kushirikiana vizuri na Viongozi wetu wakaeleza maeneo fulanifulani ambao walikuwa wanahitaji tuangalie kwa jicho la tatu, zoezi linaenda vizuri tumefufua masoko ambayo yalikufa" "Tumeielekeza Manispaa kwamba walioingia...
  14. Upanuzi wa Ubungo na TAZARA sasa Ilala na Mbagala wameondoka bila malalamiko, kwanini Kariakoo na Posta

    Wana JF, Kama kuna kitu kinakera ni kuangushiana jumba bovu. Katika upanuzi za barabara za mwendokasi na madaraka, tumeshuhudia wafanyabiashara wengi wakipisha ujenzi bila shuruti kwa kuwa wanajua ni suala la muda tu wataondoka. Watu hawa unatafuta sehemu ya kuamishia biashara zao bila...
  15. M

    Poleni Wamachinga lakini hongera Rais Samia kwa uamuzi mgumu uliochukua

    Machinga wameondolewa nini kitafuata? Kwanza niipongeze serikali kwa zoezi hili zuri. Kwa kweli ilikuwa kero na sijui tungefika wapi na wababe hawa, maana walijaa barabarani kama magari, mitaroni kama maji taka. Haikuwa nzuri hata kidogo. Waliowaruhusu waliwaita wanyonge na mkakubari kuuitwa...
  16. W

    Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi

    Wamachinga, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi. Lugha yao ni Kimachinga. Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini. Wamachinga katika biashara. Kwa kipindi cha karne ya 20...
  17. S

    Wamachinga walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo

    Makelele ya kwamba wanaonewa sio kweli, serikali ipo makini sana na inajua inachokifanya na kwa faida yao hao wanaojulikana kama wamachinga. Ukweli mchungu na unauma, wafanya biashara hawa kwanza ni wakwepa tozo wakubwa, japo wana vibali lukuki, vingi ni feki na wanapobanwa hutoa chochote ili...
  18. M

    Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

    My take 1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa 2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa...
  19. J

    Mtetezi wa Wamachinga ni nani?

    Yatima hadeki ndipo sasa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani? Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)? Kwani kura walimpa nani?
  20. W

    Rais Samia, hili la wamachinga litawapa umaarufu wanasiasa waliopoteza mvuto. Watasema "umepiga mchache"

    Ndugu zangu wanaJF! Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au fulana kwani tulizomewa na baadhi waliambulia vipigo.Siasa za manispaa na majiji makubwa zilitekwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…