Mtetezi wa Wamachinga ni nani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Yatima hadeki ndipo sasa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?

Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)?

Kwani kura walimpa nani?
 
Yatima hadeki ndiposa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?

Ni kile Chama cha Wakulima na Wafanyakazi ( CCM ) au ni hiki Chama cha Wafanyabiashara ( Chadema )?

Kwani kura walimpa nani?
CCM sio chama cha wakulima wala wafanyakazi tena

Wakati huo kilipoanzishwa kulikuwa wafanyabiashara wengi wenye asili ya Kihindi, Wahindi wao walikuwa daraja la pili toka kwa mkoloni mzungu

Leo hii wafanyabiashara weusi ni wengi sana

Kwa sasa CCM sio chama cha siasa bali ni Serikali inayosubiri kuapishwa kila baada ya miaka mitano.

CCM ni kivuli tu kuhalarisha vyama vingi, Kiuhalisia CCM ndio Serikali

CCM ilishashinda kabla hata ya uchaguzi penda au usipende

Kama kuna kuwa na Fair play na uwanja sawa wa mapambano mikoa kama Dar, Mbeya au Arusha ccm haiwezi kuchomoka

CCM sio chama cha wakulima wala wafanyakazi kwa sasa CCM ni Serikali kamili iliyojificha nyuma ya demokrasia za uchaguzi na vyama vingi, Labda katiba ibadilike na ccm ianze upya na ruzuku zitolewe kwa usawa

Kwa hali hii na kwa njaa hizi na matumbo Haya yetu yana njaa, Tegemea kila mwaka ccm kushinda

Kila mtu anataka pesa na maisha safi,

Thubutu, Nani anataka kila wakati mara TRA mara uhujumu Uchumi, Ni lazima uunge mkono juhudi za kila mwenyekiti
 
Yatima hadeki ndiposa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?

Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)?

Kwani kura walimpa nani?
Ni the pabapabaptist pekee, kama hana maslahi kwao
 
Hao machinga wasubirie kipindi cha uchaguzi tu ndo thamani yao itapanda
 
Thread Kama Hizi Walahi Teuzi Utazisikia Kwenye Bomba
Mpaka Utakapotubu Wewe, Huwezi Kuwa Ndumilakuwili
 
Watetezi watoke wapi wakati machinga wanabadirika kama kinyonga, machinga wa zamani alikuwa na duka la vitu vidogo anatembeza na mtaji wake ni wa laki, hawa wachuuzi wanaokaba maduka ya wenye haki na kuweka vibanda unawahitaje machinga wakati banda tu kulijenga ni laki tisa. Bado wanauza vinywaji vikal bila Kibali, bado mamantilie wamebeba hotel kabisa.
 
Yatima hadeki ndiposa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?

Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)?

Kwani kura walimpa nani?
Ile video ulitazama? Ya kipindi kile?
 
Yatima hadeki ndiposa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?

Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)?

Kwani kura walimpa nani?
Mnataka kutetea Ujinga? MNA dhambi sana nyie watu
 
Wa kutetewa ni Machinga ?

Kilicho wapata machinga ni kitu kilicho zoeleka sana nchi yetu, kwamba unavunja sheria kwa kuwekewa mgongo na baadhi ya viongozi serikalini na kujisahau kwamba hutakuja kuwajibishwa lakini baada ya muda kupita au awamu za uongozi kubadilika, basi unajikuta umeingia kwenye mtego tayari na huo uongozi mpya unapotaka kutenda haki wewe unageuka kama mnyonge au unaonewa lakini kiuhalisia sio kweli.

Ufanyaji biashara wa machinga haupo kisheria na inatakiwa waondelewe katika maeneo au katika mfumo wao huo wanao utumia sasa kwa faida ya umma
 
Ilifikia mahala pale Jangwani kunatokea mafuriko na athari zake lakini bado tu baadhi ya WANASIASA walikuwa wanawakingia kifua wapiga kura wao wasihamie MABWEPANDE.....

#Kutofuata Utaratibu Huwa Ni Vurugu Na Ghasia Tu

#Siempre JMT
 
Kabaki Polepole na Msukuma tu ndo watetezi wa Machinga kwasasa japo wanashambuliwa ile mbaya wanaonekana ni Sukuma Gang
 
Yatima hadeki ndiposa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?

Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)?

Kwani kura walimpa nani?
CCM ni chama cha mafisadi! Tafadhali rekebisha hapo!
 
Back
Top Bottom