Mamlaka iliyoanzisha Kozi hii ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro.
Sioni nafasi zikitangazwa kutoka Serikalini ingali kila mwaka wanachuo wanazidi kuhitimu na kurundikana mtaani pila kujua hatima yao wapi watatumia elimu yao waliyoipata...
Habari wakuu nilikuwa na uliza hivi Kwa haya matokeo ya physics-S, chemistry -D na biology -C a level anaweza soma banchelor of science in nursing Uganda na akirudi Tanzania akatambuliwa na TCU degree yake,naomba msaada kwa wenye uzoefu na hayo mambo
Ukiswasikiliza wanasiasa wetu unagundua uwezo wa kuwaza mambo ni mdogo sana .
Ikiwa mmeamua kutoa Scholarship kwanini mnatoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya science tu ?
Ebu tuwe serious wakuu kwakuwa mambo mengine yanafikirisha Sana . na ni ubaguzi usio na sababu .
Acheni siasa katika...
Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu .
Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda .
Nina mashaka Makubwa na Elimu yake.
Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi.
Hatuwezi...
Nilipokuwa form One baadhi ya maneno nilikuwa naya-assume (najitengenezea) maana zake katika fikra zangu kwa sababu kiingereza lilikuwa hakipandi. Yafuatayo ni baadhi ya maneno ya kiingereza na maana nilizokuwa nilizoziunda kwa Kiswahili.
Let - Lete.
Pudenda - mpira unadunda.
Cook - kuku.
Sex...
Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja.
Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara...
Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
Habari wakubwa bila shaka mpo salama, nawahitaji wote mliosomo hiyo kozi au mnaendelea na masomo kozi hiyo hapo juu. Naomba uzoefu wenu katika hiyo kozi kuanzia uzuri wa kozi yenyewe katika nyaja zifuatazo:
1. Kwa maendeleo ya mtu binafsi yaa baadae kuanzia ajira na hata kujiajiri.
2...
Salaam wakuu.
Waliosoma Cuba level za PHD washanielewa. Upi msemo at least unatia moyo.
NB: please usitaje jina lolote, kwenye comment majibu ya jicho la 3D yatapendeza sana
Nawasilisha.
Salaam wakuu.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Tunaomba ufafanuzi kidogo tu juu ya hali ya Hallucination na mambo ya Imani zetu zote, Je Hallucination ni tendo la kiimani au ni tendo la kitabibu.
Ahsante:
NB: Hii mada kama huelewi please wewe soma tu comment upate kujifunza kama mimi, Usije...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply.
Mfano wa kijana wa...
Nina ajira tayari lakini sioni nikifika mbali, 1.6x million take home baada ya makato
Kwa nchi kama Marekani wamarekani weusi wengi hawajaelimika, fursa hizi zinawapita, wameharibika na utamaduni wa kutukuza uhalifu, shortcuts, victim mentality, n.k. wengi wanaishia kuona ujanja ni kujiunga...
habari wakuu naomba kufahamu wenye uzoefu na waliosoma open university course ya procument bachelor level au inayoendana na hio changamoto ipo wapi na ugumu upo wapi
Hata mimi mwenyewe nimesoma shule za private lakini nina marafiki wengi waliosoma serikali, so nayaongea haya nikiwa nawajua wahusika.
Binafsi kwenye shule za msingi na o leve nimesoma za private, msingi nimesoma day ada ilikuwa laki 2 mwaka 2003 (kwa sasa ni milioni 1), o level sekondari ada...
Ndugu yangu anatakiwa kuverify cheti TCU alisoma nje miaka kadhaa nyuma, nchi na chuo vinajuliakana na wamesoma wengi tu huko. Amewasilisha vitu vyote vinavyohitajika anasubiri wampe majibu. Sasa kuna sehemu wanahitaji hiko cheti cha TCU haraka, ili apate ajira, tunaomba msaada kwa anayemjua mtu...
Habari,
Naomba mwenye kujua course ya foundation kiundani anisaidie maana naona juhudi zangu zinafikia mwisho maana nilimaliza chuo mwaka 2016. Ninapotarajia kwenda kujiendeleza, niliomba AVN nikajikuta nina gpa ya 2.9.
Mwenye kuijua foundation course aniambie ili nijue najipangaje,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.