Nimeona vijana wanaoenda kusoma huko nchi za ulaya wakirudi wana kuwa na moto mkali wa kufanya biashara, hata wakiajiriwa basi kuna biashara pembeni, watu hawa nimeona biashara zao huwa zinafanikiwa sana japo simaanishi ni wote ila wengi, nimeona vijana wa kundi hili wanajituma zaidi na wana...
Kuna midigree inatisha ukisikia mpaka unajiuliza huyu mtu kweli namvyomjua ni kilaza hivi amewezaje kuviweka kichwani. Kumbe ukianza kuongea naye hamna kitu ila Cheti chake kinatisha.
Mfano banking na financial services, sijui highway engineering sijui educational policies and planing etc...
Kutokana na mazingira nayofanyia kazi zangu kuwa karibu na taasisi flani inayo husika na walengwa, nimeweza kujuana na baadhi yao waliosoma majuu sanasana wale wa ulaya ambao kwa sasa wapo Bongo.
Wengi wana mengi ya kushare hasa kwenye suala zima la elimu jinsi walivyoweza kupata sponsorship...
Iko hivi. Kama ulisoma O-Level na Alevel au moja wapo private basi kupata mkopo toka Loarn board ni shida. Private secondary school zilikua zinasaidia kupunguza mzigo wa kuendsha elimu kwa serikali. The same vyuo vikuu.
Ujue serikali inafadhiri shule zake kwa idadi ya wanafunzi shuleni. Wazazi...
Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana.
Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali.
Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
Kama mada inavyojieleza hapo wakuu, naomba kufahamu uzoefu walopata wale waliopitia mfumo huo wa elimu kupata shahada zenu. Hiyo ikihusisha namna ya kusoma ugumu na wepesi na pia baada ya kumaliza kusoma.
Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia?
Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria...
Wakuu,
Kuna thread nimeona inaeleza usawa kati ya waliosoma gvt na pvt katika kupata mkopo
Hapana kabisa, najua watu wanaolipia watoto wao kwa mwaka mmoja 2m-m5 kuanzia nursery had advance ndo uje kusema wana haki ya kupata mkopo wa 1.2 -2.0mil ya chuo kikuu? How comes
Wale yatima na kaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.