Huu msemo Waliosoma Cuba una maana gani?

Na wewe ukienda cuba ukarudi na ujuzi wala hautashangaa.
Lakini for now, subiria zamu yako
 
Waliosoma cuba wanaelewa nini maana ya msemo wa TULIOSOMA CUBA TUNAELEWA.
 
Ni msemo wa majuaji yan unaeza geuzia chupi halafu mtu akakuuliza,kwanini umegeuzia chupi we mjibu KWA WATU TULIOSOMA CUBA TUNAELEWA
 
Weed ni sehemu ya maisha mkuu hasa asubui hii,unakandamiza kete zako 4,unamalizia na konyagi ya jana usiku,unawasha tractor unaingia harakati
Nilijua ni utani kumbe ni kweli bana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sema weed kuna vichwa na vichwa vyake aiseeeeee
 
maana yake ni wale wanaoelewa mambo yalivyo au yanayoendelea haata kama yamefichwa au yamegeuzwa maana yake, so ni ile hali tu ya kuelewa jambo ambalo wengine hawawez kulielewa kwa haraka, ni kama kujua puzzle au kufungua code.... wana jf wote tumesoma kubwa ndio mana ni home of G.THINKERS
mfano, stori za mgao wa umeme ni visingizio kama sijui service, sijui ukame, sijui bwawa la nyerere, zote hz ni fix, tuliosoma cuba kama kina magu tunajua tatizo lilipo, na sio fix zinazobadilika kila siku.
 
Imetrend sana hasa pale mtu anapopost kitu cha mafumbo alafu kuna watu wakaelewa au clip imeonyesha kitu trick baadhi wakaelewa hao ndo waliosoma cuba, mfano unamwona mshkaji katoka kuamka alafu mkono kaweka mfukoni apo tuliosoma cuba tushaelewa
 
Maana yake wamepiga bangi sana ko Kila kitu kwao wanaona wanajua,kumbe ni wavuta bangi tu hamna wanachokijua zaidi ya bangi.
 
Back
Top Bottom