waliokuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Viongozi wa CHADEMA waliokuwa mahabusu waachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya...
  2. ELI COHEN

    VIDEO: Trump akielezea kwa kina namna alivyokabiliana na walinzi waki-cuba waliokuwa wanamlinda Maduro ikulu

    MCHEKE BASI KIDOGO NA NYIE.. 🤣🤣
  3. S

    Kuna shaka na walakini (conspiracy theory) katika kila kifo cha waliokuwa marais wa Tanzania isipokuwa Mwinyi peke yake

    1. Julius Nyerere Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
  4. Agent-47

    PostGE2025 Msimamo wa vijana waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini

    Huu hapa Msimamo wa waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini siku na baada ya uchaguzi mkuu.
  5. mshale21

    PostGE2025 Kwanini Mwigulu anakomalia "waandamanaji walikuwa na silaha"? Je, anabumba maneno hayo ili kutoa mwanya wa mauaji ya raia mpaka majumbani?

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiongea na wahariri pamoja na waandishi wa habari, leo Jijini Dar es Salaam, amesema maandamano ambayo waandamanaji wanaenda na silaha (kuwa ‘full armed’) sio maandamano, huku akibainisha kuwa idadi kubwa ya walishiriki...
  6. Mlalamikaji daily

    PostGE2025 Orodha ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kupoteza heshima yao mwishoni kabisa

    Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza.. Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye jua kali 10. Mzee Butiku.. huyu tulidhani angekuwa msaada kabisa lakini kuna tetesi huyu ndio...
  7. figganigga

    Waliokuwa naropoka eti haziwahusu, baada ya maandamano wamejua kwamba siasa inawahusu

    Kuna watu unawambia tetea Demokrasia au katiba mpya, Aanajibu Siasa hazimhusu. Eti "NISHINDWE KWENDA KUTAFUTA HELA NIPOTEZE MUDA KWE NYE SIASA?. Sasa siasa ilicchemka kidogo hakuna alliyetoka nje wala kuingia.. Kila mtu amepambana kivyake. Sasa nadhani tukisema siasa ni ubai siasa ni...
  8. M

    Waliokuwa wanaua watu mtaani ni Wanajeshi wa Uganda au Janjaweed wa Zanzibar ?

    Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano. Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko...
  9. Black Opal

    GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  10. Scared

    GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

  11. M

    Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  12. K

    Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha

    Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha 1. Kwamba CCM hawawezi kushindana 2. Kwamba kura zinaibiwa 3. Watu wa Mama ndiyo watekaji 4. Nchi imeuzwa kwa wana mtandao 5. CCM ni chama cha kifamilia Kama hukubaliani na hayo elewa kwamba wewe ni kilaza. Bila reform...
  13. R

    Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliotekwa nyara

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Mamlaka Agosti 23, 2025, Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wakiwemo wanawake na watoto, baada ya kufanya shambulio la angani kwa usahihi kwenye ngome ya majambazi katika jimbo la Katsina Kaskazini Magharibi. Operesheni...
  14. A

    KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  15. Idugunde

    GE2025 Mpina tambua kuwa Watanzania wa leo sio wale 1995 waliokuwa wanasukuma gari la Marehemu Lyatonga Mrema

    Unadhani watu bado mambumbu? Acha maigizo ya kisiasa ================== Mgombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ameapa kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi nchini, akisisitiza kuwa hatapumzika hadi Watanzania wote wanufaike na rasilimali za taifa, na chama hicho kipo makini...
  16. M

    GE2025 Waliokuwa wabunge wa CHADEMA (Covid 19) waliohamia CCM na kubwagwa kura za maoni Ubunge

    Nadhani wote tunawakumbuka wale wabunge 19 walioingizwa bungeni kinyemela kwa tiketi ya CHADEMA huku chama kikiwa hakitambui uwakili wao. Yaliongelewa mengi sana, kesi ikaenda mahakamani, danadana mpaka sasa, wakakingiwa kifua na Spika na mifumo mingine ya maamuzi, kumbe ilikuwa ajenga tu...
  17. Yoda

    Wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu wakati wa gharika walikuwa wanakula nini?

    Hii story ya Nuhu inayopatikana katika dini zote kubwa mbili inafikrisha sana, ni kisa ambacho kimekuwa na maswali mengi sana, mojawapo ni ya chakula kwa wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu. Hawa wanyama wote Simba, Chui, Fisi, Chatu n.k walikuwa wanakula nini ndani ya safina ya Nuhu kwa...
  18. Yoda

    Ushauri kwa watakaomfuatia Polepole wanapojitenga na yanayoendelea sasa.

    Mtakapotoka hadharani kabla kwanza ya kueleza malalamiko yenu na kutokuridhishwa kwa yanayotokea sasa ni vyema kwanza mkatubu na kuomba radhi wote walioteseka na wanaondelea kuuguza maumivu na vidonda kutokana na ukatili waliopitishwa katika awamu yenu. Wahanga watafarijika sana wakisikia...
  19. Powell Gonzalez

    Naipongeza mamlaka kwa kuwafungia waandishi wa habari waliokuwa wakimhoji dogo pateni

    Kiukweli ukiangalia wale waandishi wa habari unaona kama sasa industry ya habari nchini imevamiwa, moja wanaonyesha hasira za wazi baada ya dogo pateni kuonyesha wazi kujali privacy zake. Jinsi wanavyoongea na maneno yao yanaonyesha kabisa hawatumii professional yao vilivyo. Mimi naunga mkono...
  20. H

    Kila Aliyekuwa Mbunge Aulizwe Alifanya Nini Kuhusiana Na Watu Waliokuwa Wakimkosoa Rais, Kutekwa Na Kuuawa?

    Kimsingi kila mbunge ana wajibu wa kitaifa na wa kijimbo, lakini katika majukumu yake yote hayo mawili, yeye anastahili kuwa mwakilishi wa maslahi ya wananchi. Tumeshuhudia mambo ya ajabu katika Bunge hili la Tulia, ambapo wabunge wote, kazi yao kubwa ilikuwa kumsifia Rais na Serikali dhidi ya...
Back
Top Bottom