Katika nyakati za giza la kiutawala, ambapo siasa imegeuka kuwa uwanja wa majeraha ya nafsi na miili ya raia, tunalazimika kuuliza kwa sauti ya juu: Ni kwa kiasi gani utu wetu unadhalilishwa kwa kisingizio cha uongozi?
Utekaji wa watu wasio na hatia, kuuawa kwa siri, na kutoweka kwa sauti za...