Timu na wachezaji waliokosa penati nyingi Ligi Kuu msimu huu, Simba waongoza

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
Orodha ya timu na wachezaji waliokosa mapigo ya penati katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 mpaka sasa Machi 6, 2022 kabla ya mchezo wa Geita Gold dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Source: Bodi ya Ligi

TIMU.jpg


Wachezaji.jpg
 
Kwenye wafungaji wenye idadi kubwa ya magoli, naona hali ni tete kweli kwa wachezaji wa simba! Sijui tatizo ni fatique, au ni umri!

Yaani unakuta mchezaji kama Kagere ana tuvigoli tu nne tu mpaka sasa! 😁😁 Hakuna tena zile mbwembwe za MK14nnnnn!!! za kuficha kijicho 😁😁
 
Mimi Namtafuta Yule Mchambuzi Uchwara Wa Soka Mwanzoni Mwa Ligi Alisema Mayele Inabidi Ajifunze Kwa MK14, MK14 Wa Nyokoo!
 
Back
Top Bottom