walimu

  1. JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia Walimu na Watumishi wa Serikali waliopangiwa vijijini wakaacha kazi au kuhama kwasababu ya ushirikina uliokothiri mwaga hapa ushuhuda

    Sina namna yoyote ya kukatisha watu tamaa lakini kiukweli kuna maeneo bila kuwa mtu wa dini au kuwa na kinga ni ngumu sana kuvumilia mikiki mikiki ya Sayansi ya Kitamaduni. Nakumbuka huku Mbeya wilaya ya Songwe kuna dada alipangiwa huko, sasa alivyokuwa anaadhibu wanafunzi kwa viboko kuna...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

    Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni Mdau wa ELIMU Naiomba Ofisi yako iweze kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya majina ya waajiriwa wa Kada...
  3. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ndumbaro umejichanganya sana kuhusu ajira 13,000 za walimu

    Badala ya kutoa majibu yanayo eleweka umeishia kujichanganya huku ukijibu kisiasa zaidi kwa kujikanyaga kanyaga Umesema mmetii agizo la mheshimiwa Rais la kuajiri walimu 13000 hapo hapo unasema mmeajiri walimu 8000 katika awamu ya kwanza. Hata hao elfu 8 hawajafika. wengine wapatao 5000...
  4. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imerudia kuajiri walimu wa UPE?

    Katika muendelezo wa kubaini uozo uliopo kwenye ajira za walimu hatimaye nimekutana na walimu ambao elimu zao za kidato cha nne zinaacha maswali mengi kutokana na namba zao za kidato cha nne kutotambulika na baraza la mitihani (NECTA). 1. SHAFII MOHAMED NAMKURUNG'UNDU Mtajwa hapo juu...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi walioajiriwa ni elfu nane pekee

    Serikali imesema idadi ya walimu wa shule za msingi na sekondari walioajiriwa ni 8,000 pekee tofauti na 13,000 inayolalamikiwa na wadau. Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt Laurean Ndumbalo amefafanua kuwa katika kibali cha ajira za walimu elfu 13 alichotoa Rais...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  7. JamiiForums Tanzania Walimu tuliomaliza 2018 tunatengwa sana kwenye ajira

    Sijui kwanini yaani! Jamani,Lol! Ajira za mwaka jana(2019) tuliambiwa tusiombe kabisa! Mwisho ilikuwa walomaliza 2017! Mwaka huu(2020) tuliambiwa tuombe! Ajira zimetoka lakini waloajiriwa wengi ni physics/mathematics na wachache sana wa masomo mengine! Chuo chetu sidhani kama yupo ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania Idadi iliyosomwa na katibu na idadi ya walimu walioajiriwa ni tofauti ni

    Nimemsikiliza kwa umakini katibu mkuu alivyokuwa akitangaza ajira za walimu waliopangiwa vituo Katika maelezo yake amekumbushia ahadi iliyotolewa na Rais Magufuri ya kuajiri walimu zaidi ya elfu kumi na tatu. Katika press conference, mhe. Katibu mkuu amekiri kuajiri walimu hao elfu kumi na...
  9. JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  10. JamiiForums Tanzania Walimu waliotajwa kuhusika na udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba wapelekwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU)

    Walimu waliotajwa kuhusika na udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba katika jiji la Arusha na Wilaya ya Kiteto, mashauri yao wamepelekwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru). Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde akitangaza matokeo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Walimu wa 'Driving Schools' wasiwe ni Askari wa Usalama Barabarani?

    Husika na title hapo juu hivi kwa nini shule za udereva wale walimu wasiwe ma trafic (vihicle) maana kuna pamoja na shule kuwa nyingi kila kona lakini bado kuna ajali zinatokea kwa uzembe kabisa na bado unakuta dereva alisomea u driving shule kabisa. Hii itasaidia angalau uelewa zaidi kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Walimu tukutane hapa

    Walimu huu ndio muda wa kupeleka CV mashuleni mwisho wa mwaka mikataba inaisha na mwaka mpya wa masomo unaanza mwezi wakwanza huo. Fedhea imezidi tukaze
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini TAMISEMI itaweka hadharani Orodha ya majina ya Walimu waliopangwa Vituo vya Kazi?

    Najisikia vibaya Sana kama Kada wa CCM kila nikiona Vijana Wenzangu wakiulizia hili jambo na wengine kuongea Maneno ya Kebehi Kuhusu Serikali yetu. Naombeni Wahusika huko TAMISEMI mtoe tamko angalau kushusha presha ya Vijana ambao Tokea Mwezi wa tisa mwishoni wanasuburi majibu yao. Nawasilisha!
  14. JamiiForums Tanzania Walimu wafanyiwe haya kama motisha na fidia yao katika utumishi huu wa Miaka Mitano

    Wakuu habari zenu, Niwapongezeni kwa kuchagua Tanzania kuwa kijani kibichi, hakika sasa tutegemee maendeleo ya kasi ya 5G maana wale waliokuwa wanapinga maendeleo sasa hawapo tena! bila shaka sasa hakuna tena visingizio! mishahara kwa watumishi itapanda! madaraja watapanda pengine kuanzia mwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Walimu wa Field msiwalazimishe mapenzi wanafunzi

    Habari ya asubuhi wataalam mbalimbali,chap kwa haraka ngoja niende straight kwenye mada. Nikiwa zangu kwenye daladala nimepanda zangu nikakaa kwenye siti ya nyuma na wadada wawili wanaonekana form 4 leaves wa Tamisemi wamechaguliwa straight kuanza certificate. Nikavutiwa na confidence yao...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo kama DIT wanashindwa kulipa walimu wataweza ufadhili wa wanafunzi?

    Leo nimeona Waziri wetu mpendwa Mhe. Jaffo katoa wito kwa vyuo kuangalia utaratibu wa kufadhili wanafunzi wanaofanya vizuri masomo ya sekondari ili kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Ni wazo zuri sana na ikiwezekana iwe lazima kila chuo kila mwaka kitoe ufadhili. Ila pamoja na hayo bado...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Wilaya ya Chamwino ampiga makofi mwalimu hadharani kwa kuchelewa semina

    Hivi walimu mbona serikali ya CCM inawachezea Sana? Kila baada ya miaka kumi mnadhalipishwa kwa kunaswa makofi. Mishahara hamuongezewi, mikutano ya CCM mnalazimishwa kuhudhuria, makofi mnapigwa kwa kisingizio cha 'hapa kazi tu.' Kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nyote kwa pamoja semeni NO to CCM
  18. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

    Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania. Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Walimu waijia juu Serikali, wasema Kikokotoo bado kipo kinasubiri kuwaliza watumishi

    Chama cha kutetea haki na maslahi ya walimu Tanzania CHAKAMWATA kimelia kilio cha uchungu mkubwa sana kwamba kuna uonevu mkubwa sana unaofanywa na serikali ya awamu ya 5. Kimedai kwamba serikali iliwadanganya kusitishwa KIKOKOTOO na FAO LA KUJITOA. Kwamba hivi vitu bado vipo na vinasubiri muda...
  20. JamiiForums Tanzania Mkitoa ajira za Waalimu Kabla ya uchaguzi mtampunguzia kura mgombea wa CCM

    Walioomba ajira ni zaidi ya laki. Alafu wachaguliwe hao watu 13000. Mini matokeo yake. 1: Kwanza wakuochaguliwa wote hawatapiga kura maana watakuwa maeneo yao ya KAZI. 2: Waliobaki wote zaidi ya 87,000 hawatampigia mgombea wa CCM kwa hasira ya kukosa ajira wakati enzi za JK wote walikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…