walimu

  1. JamiiForums Tanzania Walimu 1333 Kinondoni kupandishwa cheo

    Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Wilaya ya Kinondoni ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha zoezi la kupandisha vyeo/madaraja walimu 1,333 wa shule za msingi na sekondari wa Manispaa ya Kinondoni ambao wana sifa za kupanda vyeo kwa mujibu wa miongozo na taratibu za Serikali. Hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Ajira Serikali: Kwa tafsiri ya Serikali, ajira ni za walimu na watu wa afya pekee au?

    Habari zenu wadau. Tangu nimeanza kusikia ishu ya kuwepo na tatizo la ajira nchi hii mara zote wanaozungumziwa kukosa ajira inaonekana ni watu wa sekta ya Elimu na afya. Hii dhana miongoni mwa viongozi wa serikali inashangaza Sana, kwamba hata wanapotangaza kwamba wataajiri watu kadhaa basi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza ajira za walimu 6,949 wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa Afya 2,726 Nafasi hizi ni kujaza nafasi wazi kutokana na vifo, kustaafu, kuacha kazi au kuhamia sekta nyingine. Waombaji wanatakiwa kuomba kupitia tovuti...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Mkuu wa Mkoa Katavi apiga marufuku Walimu wa kujitolea?

    Ikiwa serikali inasema kipaumbele kwenye ajira 6000 zilizotangazwa na Rais, Samia kuwa ni walimu waliojitolea, mkuu wa mkoa wa Katavi bw. Juma Homera, amewahi kupiga marufuku walimu hao kufundisha katika mkoa wake na kudai Serikali inaajiri walimu kila siku. Msikilize kwenye video hapa chini...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji walimu wa kujitolea: Nataka kufungua NGO inayohusika na maswala ya elimu tufanye kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojielezea nipo njiani kufungua NGO yangu ambayo itakuwa ina deal na maswala ya ELIMU YA TANZANIA Kazi tutakazokuwa tunafanya ni kama ifuatavyo: 1. Kufundisha mashuleni kwa mfumo wa club 2. Kuandaa matamasha mbali mbali ya kielimu mashuleni 3. Kutoa mafunzo kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ina maana katika hii Serikali ajira ni kwa walimu na watu wa afya tu?

    Ndugu zangu naomba kuuliza katika hii. Ili tuache utani katika swala la ajira. Swali langu ni kwamba: Inamaana ajira zote serikalini huwa ni kwa walimu na watu wa afya tu. Vipi kuhusu fani zingine?
  7. JamiiForums Tanzania Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani nafasi hizo hazitatangazwa na Serikali bali zitatolewa kisirisiri. Waziri Ummy ameyasema hayo mapema...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kutotaka Bodi ya kitaalam ya Walimu

    Habari! CWT = Chama cha Walimu Tanzania, Press yao imenishangaza sana eti hawaungi kuwepo kwa bodi ya kitaaluma ya Walimu (Teachers' professional board). Tena kwa madai kuwa walimu watabebeshwa mzigo mkubwa wa makato ya tsh.50000/= kwa mwaka yakihusisha lesseni ya ufundishaji, semina kwa walimu...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaokula mnofu wa Tanzania

    WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA Na Thadei Ole Mushi. Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000 Kwa mwaka atapokea 132,000,000 Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000 Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri...
  10. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi, Walimu tunaomba Rais Samia Suluhu uunde tume ya kuichunguza CWT

    Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi(mei mosi), walimu tunakuomba mheshimiwa Rais uunde tume ya elimu kukichunguza chama cha walimu (CWT) kwakuwa kimeshindwa kutimiza wajibu wake wa kututetea na kutuhudumia. Mbali na kushindwa kutimiza wajibu wake wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu: Kuna uhaba wa walimu lakini hamtaki kuajiri

    Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo mitaani, Serikali imekuwa haitoi Ajira Amesema, "Mimi nafikiri Mtaala wa Ualimu ufutwe katika Vyuo Vikuu kwasababu watu wanapelekwa kusomea Ualimu lakini wanaendelea...
  12. JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari yenye Walimu wawili Mkoani Geita yaililia Serikali

    Shule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu. Wakizungumza na kituo cha ITV, wanafunzi katika shule hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Je, wakati umefika tuikubali Bodi ya Kitaaluma ya Walimu?

    Wadau habari, Napenda ifikie wakati tufungua mjadala mpana wa uwepo au kutakuwepo kwa Bodi ya Kitaalamu ya Walimu Tanzania (Tanzania Teachers' Professional Board) TTPB. Tumekuwa na sintofahamu kadhaa hasa kwa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kuona TTPB itaongeza utitiri wa vyombo...
  14. JamiiForums Tanzania TAMISEMI mjitahidi kutenda haki kwa Walimu wanaojitolea mashuleni

    Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa Tamisemi. Baada ya Mh. Rais kuiagiza Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kuajiri walimu 6000 kutokana na uhitaji ulio sababishwa na vifo na kuacha/kufukuzwa kazi kwa baadhi ya walimu, natarajia zoezi linalo fuata ni...
  15. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Acheni kuajiri kimya kimya, mchakato wa ajira 6000 za walimu ufanyike kwa uwazi

    Hivi karibuni mmebuni utaratibu wa hovyo wa kuajiri walimu kimya kimya kupitia mawasiliano ya simu za mkononi. Huu utaratibu sio rafiki hasa katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia ambapo utapeli wa mitandaoni umeongezeka, hivyo matapeli wanaweza kutumia mwanya huo kutapeli watu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataka nafasi 6,000 za walimu kujazwa

    Ni nafasi za zilizoachwa na Walimu waliostaafu,walioacha kazi Serikalini na waliofariki. Rais Samia Suluhu amesema haya.... "Natambua kuna Walimu wengi tu karibu Elfu 6 au zaidi ambao wamestaafu, wamefariki n.k na kunahitajika wa kuziba nafasi hawa sio ajira mpya ni wa kuziba nafasi, Utumishi...
  17. JamiiForums Tanzania Mwalimu Shukia: Elimu Bora ni zao la Walimu bora

    Nimesoma hii kitu ya Mwalimu Richard Yesaya Shukia, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu Dar es Salaam imenitafakarisha sana 1. Niungane na watanzania wenzangu kwanza; kukupa pole kwa kuondokewa na mpendwa wetu, Hayati Rais John Pombe Magufuli; pili NIKUPONGEZE kwa kuwa Rais wa Tanzania wa awamu...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan wakumbuke walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Tangu utawala wa Mh. Hayati Dr. John Magufuli uingie mwaka 2015 huo ndio ukawa mwisho wa ajira kwa walimu wa Arts. Kwa heshima kubwa na taadhima ninakuomba Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan uwaajiri. Idadi yao ni kubwa kwa sababu walitengwa kwenye mfumo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuhusu malipo kwa walimu wastaafu

    Kwema wakuu? Mwenye ufahamu kuhusu malipo ya walimu wastaafu yanavyofanyika naomba anipe ujuzi, je hela wanaingiza yote au wanaingiza kidogo kidogo au wanaipiga pini hadi muda fulani upite. Maana beki hazikabi uchumi umekaa tenge nataka nirudishe mpira kwa kipa kwa mtu fulani nasikia mpunga...
  20. JamiiForums Tanzania Mshahara wa March

    Nahisi utachelewa sana kutokana na janga zito lililotukumba mlio serikalini kuweni wavumilivu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…