walimu

  1. JamiiForums Tanzania DR Congo: Wanafunzi walivamia Bunge wakitaka Walimu wao waongezewe mshahara

    Mamia ya wanafunzi wamelivamia bunge nchini DRC wakitaka walimu wao waongezewe mshahara. Wanafunzi hao walikuwa wanapeperusha matawi na kuimba "tunataka kusoma" na "ikiwa hatutasoma, tutatumia dawa za kulevya". Maandamano ya aina hiyohiyo yalitokea katika mji wa Beni kaskazini mwa Kivu ,kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Handeni: Walimu wanaoga vichakani kwa kukosa bafu

    Walimu wanaofundisha Shule ya Msingi Gole iliyopo Kata ya Kang’ata wilayani Handeni mkoani Tanga, wameiomba Serikali kuwasaidia ujenzi wa vyoo vya walimu kwa kuwa wanajisaidia na kuoga kwenye vichaka kwa kukosa vyoo bora. Wakizungumza shuleni hapo juzi walisema kuna muda inabidi waingie...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

    Nawasalimu sana kwa jina la JMT yetu pendwa! Baada ya mheshimiwa raisi kuagiza fedha za IMF kwenda kwenye elimu na kujenga madarasa ili watoto wa kidato cha kwanza mwakani wasipate tabu ya kusubiri, na TAMISEMI kazipangia bajeti na kuzigawa, kazi imeanza huku chini (wilayani). Viongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Rwanda kuomba walimu Zimbabwe, hii ipoje? Hatuoni sisi nduguze?

    Rais wa Rwanda, Mh Paul Kagame ameomba walimu wengi kutoka Zimbabwe kwenda kuziba nafasi nyingi za walimu wa msingi na sekondari nchini mwake! Hatua hii kiukweli kama wewe ni mwana East Africa lazima uishangae!! Kulikoni walimu wa nchi wanachama waachwe? Kuna Uganda, Kenya and the Giant...
  5. JamiiForums Tanzania Idadi ya madarasa vs idadi ya walimu

    Itifaki imezingatiwa! Moja kwa moja kwenye maada. Nimekutana na nyuzi nyingi humu jamii forum zikionyesha juhudi za Mama yaani raisi SSH juu ya uagizaji wa kujengwa kwa madarasa manne manne kila shule. Hizi ni juhudi za makusudi kabisa anazozifanya rais wetu mpendwa ili kutatua changamoto ya...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Sitaongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sanaa

    Rais Yoweri Museveni wa #Uganda ametangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sayansi kwa madai kuwa ndio wanaochangia maendeleo ya jamii Hatua hiyo imetajwa kwenda kinyume na Makubaliano ya 2018 ambayo yanataka mishahara kupanda kwa usawa kwa walimu wote Rais Museveni amesema...
  7. JamiiForums Tanzania Elimu nje ya darasa mbali na walimu

    Ni jambo jema sana kujisomea. Kipengele muhimu sana cha elimu Ni kujisomea baada ya kumaliza shule Nje ya darasa Mbali na walimu Bila kutarajia cheti Bali kwa 'interest' tu Sawasawa na apendavyo mtu. Kuna wanaopenda hadithi Kuna wanaopenda biashara Kuna wanaopenda teknolijia Kuna wanaopenda...
  8. JamiiForums Tanzania Walimu: Rais Samia atatuponya madonda

    Walimu wenzangu, tujipongeze kwa kuelimisha Taifa leo tunaposherehekea Siku ya Walimu. Ndugu zangu, tuko na madonda mengi, mengi yakihusiana na Serikali yetu. Nani hajui kuhusu madeni tunayodai? Nani anajiweka nje ya ukweli kwamba sisis ni miongoni mwa wafanyakazi wa Tiafa hili ambao kwa miaka...
  9. JamiiForums Tanzania Siku ya Waalimu duniani: Ni jambo gani unalikumbuka ambalo Mwalimu alifanya juu yako

    Habarini Wadau Leo ni siku ya WALIMU DUNIANI. Je ni jambo gani unalikumbuka ambalo Mwalimu alifanya juu yako iwe kukupatia elimu nzuri na bora, ama iwe chochote alichokifanya juu yako mpk uko hivyo ulivyo. Wadau tiririkeni mambo mnayokumbuka pindi mlipokuwa shuleni/vyuoni au pindi mlipo sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa nyumba za Waalimu Igunga, Mbenge atia neno

    Tazama clip/video kuhusu Nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Maweni, Kata ya Nguvumoja Wilaya ya Igunga. Inadaiwa kuna ukosefu wa nyumba za Walimu katika shule ya msingi Maweni na kuwafanya walimu kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushindani huru kwa walimu wa serikalini

    Kulingana na ongezeko la walimu wengi kuwepo mtaani serikali ingechukua hatua stahiki katika kuendeleza sekta ya elimu hapa nchini. Kwa kuja na mikakati Bora zaidi ya kukuza sekta hiyo hii inatokana uzembe uliopo kwa baadhi ya wa walimu hasahasa shule za sekondari. Kwani imekua Kama mazoea...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho na matumizi ya fedha za Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    SERIKALI IWE MACHO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA Nimekua nikifuatilia yanayoendelea katika mitandao ya kijamii, na vikao mbalimbali ya vyama vya wafanyakazi nchini, leo nitajikita kuongelea Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Chama cha walimu Tanzania ni chama wafanyakazi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

    Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'. Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Chama cha Walimu (CWT) Bi. Leah Ulaya, asimamishwa kwa tuhuma nzito

    Dodoma. Baraza Kuu la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) limemsimamisha rais wa chama hicho, Leah Ulaya kwa madai kuwa ameshindwa kuwaunganisha walimu na kueleza changamoto zinazowakabili. Kwa uamuzi huo, Leah atasubiri hatima yake katika mkutano mkuu wa CWT utakaofanyika mwaka 2022 ili kujua...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Je, viboko hujenga au hubomoa?

    Kama umekua katika familia ya Kiafrika hasa ya kitanzania kupigwa pale unapofanya kosa kumekuwa ni Jambo la kawaida. Mzazi anaweza kutumia fimbo, mikanda, au kukurushia kikombe, sufuria au chochote kilichokuwa karibu yake. Lakini je tulishachukua muda na kujiuliza hivi hivi viboko tunavyowachapa...
  16. JamiiForums Tanzania Ajira za Walimu 10,000

    Tanzania Kwenu!!!!!! Nimepanda hili swala la serikali kuajiri walimu 10,000 kabla ya December 2021 Kilichonifurahisha ni kuchukuliwa kwa 20% ya walimu wote kutoka katika maeneo waliyopo (wanakojitolea) Hii inasaidia sana kupata walimu wanaojua mazingira lakini itasaidia walimu walioko...
  17. JamiiForums Tanzania Walimu 10, 000 kuajiriwa kabla ya disemba, zoezi hilo kufanywa na tume ya utumishi wa walimu badala ya wizara

    WAZIRI Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo inasubiri kibali cha kuajiri walimu 10,000 kabla ya Desemba, mwaka huu. Akizungumza mjini Dodoma jana, Ummy alisema itakuwa mara ya kwanza Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) itahusika kuajiri...
  18. JamiiForums Tanzania Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini tozo za miamala zisitumike kuajiri walimu?

    Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha. Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko...
  20. U

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Tume ya Utumishi wa Walimu, fanyeni msawazo wa walimu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano

    Waziri Ummy - Fanyeni msawazo wa waalimu nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameielekeza Tume ya Utumishi wa waalimu nchini kuhakikisha wanafanya msawazo wa waalinu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano sawa wa waalimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…