walimu

  1. JamiiForums Tanzania Riziki Shahari: Hakuna Elimu Bila Walimu, Serikali Imalize Ukosefu wa Walimu

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA ELIMU ACT WAZALENDO NDG. RIZIKI S. MNGWALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi: Ndugu Waandishi wa Habari, Jana tarehe 10 Mei 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipokea na kuanza...
  2. JamiiForums Tanzania TWAWEZA yawasilisha Matokeo ya Mpango wa 'KiuFunza' ambao umesaidia Wanafunzi 26,000

    Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
  3. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mfumo umeruhusu wasio walimu kuomba ajira

    Kwenu watendaji wa Tamisemi. Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
  4. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania mnadanganywa na kuridhika kwa vitu vidogo sana

    Mnakomalia vyakula kama vile huwa hamli makwenu
  5. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yabaini rushwa ya ngono kutawala katika upangaji wa vituo vya kazi vya walimu

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imebaini kughubikwa na vitendo vya rushwa ya ngono katika upangaji wa vituo vya kazi kwa waajiriwa wa idara ya elimu. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, Sosthness Kibwengo akitoa taarifa kuhusu utendaji wa taasisi hiyo, amesema...
  6. JamiiForums Tanzania SONGWE: TAKUKURU yatoa mafunzo kwa Walimu na Walezi wa Skauti

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Songwe imetoa elimu kwa walimu na walezi wa Skauti wa shule za msingi na sekondari ikiwa ni mkakati wa kupambana na rushwa kuanzia ngazi ya chini.
  7. M

    JamiiForums Tanzania AJIRA ZA WALIMU: Safari hii hatutavumilia figisu figisu kwenye ajira ya walimu kama nyakati nyingine

    Imekuwa ni kawaida kuona figisu figisu ikitawala katika ajira za walimu. Baadhi ya figisu figisu hizo ni kama ifuatavyo. 1. Kutangazwa kwa nafasi za walimu wa Physics na Hesabu lakini wakachaguliwa baadhi ya walimu wa biology na chemistr. Walimu wa chemistry na biology ambao hawakuomba wakaona...
  8. JamiiForums Tanzania Hai: DED aagiza walimu wote kwenda kumpokea Rais Samia uwanja wa KIA

    Ujumbe wenyewe huo hapo Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa kia saa kumi na mbili kamili asubuhi.
  9. JamiiForums Tanzania Walimu wa Hisabati, hii inaweza kutusaidia kufaulisha Wanafunzi na kulipenda somo hili

    Habarini za humu JF Elimu, Leo nimekuja kutoa nami mawazo na mitazamo ni namna gani tunaweza kuwasaidia hawa watoto katika hili somo rahisi kabisa! MAMBO YA MSINGI KWA MWANAFUNZI NA KWA MWALIMU 1. Lugha adhimu ya kiingereza iwe mikononi mwa wanafunzi kwa vyovyote vile hasahasa grammatical and...
  10. A

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu na TAMISEMI kwa nini mnawatenga walimu wa Computer Studies?

    Ndugu wanna jamvi kuna changamoto inatokea kwa baadhi ya walimu kutokupewa vipaumbele kabsa. Kuna vijana wamehitimu udom 2015 wakiwa wamesoma computer studies na masomo ya sanaa ila wamebaguliwa kila ajira. Serikali inatoa kipaumbele kwa Chinese language unaacha computer studies? Je, mbona...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi waheshimuni Walimu la sivyo mtalaaniwa

    Niende kwenye hoja moja kwa moja. Kuna baadhi ya viongozi tena wa juu kabisa hawawapi heshima walimu na sababu ya wazi kwao kuwatendea uhalifu tena wakiwa nao ni walimu ni madaraka. Siku zote madaraka ni upofu. Madaraka yamekuwa yakiwatoa ufahamu viongozi wa juu mawizarani na kuwaona...
  13. JamiiForums Tanzania Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

    Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa. Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Walimu na Wazazi wa Shule za Makongo Juu ( zamani Londa Secondary ) na Tegeta Secondary timizeni Wajibu wenu wa Kimaadili kwa hawa Wanafunzi

    Mabinti wa Shule ya Makongo Juu Secondary ( zamani Londa Secondary ) kama Wewe ni Mzazi au Mdau tu wa Maadili na Maendeleo ya Elimu ukibahatika kukutana Barabarani kuanzia Saa 9 Alasiri wanapotoka unaweza ama ukalia kwa Uchungu au hata Hasira Kukupanda na ukawachapa na Kuwaadhibu vikali...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Walimu waiomba Serikali kuruhusu wanafunzi wachapwe shuleni, wadai nidhamu imeshuka

    Baadhi ya walimu Nchini Kenya wanataka adhabu ya viboko kurudishwa shuleni, ili kuwaadhibu wanafunzi wasiokuwa na nidhamu. Adhabu ya viboko ilipigwa marufuku katika shule za Kenya mwaka 2001 na sheria inawalinda watoto dhidi ya manyanyaso ya aina yoyote. Lakini baadhi ya walimu wakuu wa shule...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

    Salaam! Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10, Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini. Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali...
  17. JamiiForums Tanzania Katavi : Shule ya Msingi ina walimu sita tu, Mawimbi ya Radio hayafiki .

    Shule ya msingi Ilangu. Iliyopo katika kata ya Ilangu wilayani Tanganyika inakabiliwa na upungufu wa walimu pamoja na vyumba vya madarasa. Siyajali Odasi ambae ni Makamu Mwenyekiti wa kijiji hicho amesema kuwa shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya mia tisa (900) iliyopo kijijini kwake ina walimu...
  18. JamiiForums Tanzania Nilikula hela ya ada form 3 nikatumia njia hii mpaka wazazi na walimu hawakugundua kama nimetafuna

    Habari wakuu! Leo nimekaa nikakumbuka matukio kipindi nipo o level,jinsi nilivyoharibikiwa kwa kujiingiza kwenye makundi ya wahuni shulen na nilivyoweza kuCHANGE fasta nakufanya vizuri kwenye matokeo yangu ya 4m 4 necta Kwanza ilianza nikiwa form 2 nikiwa shule ambayo ipo njee kidogo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

    Walimu 250 kutoka Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wameandamana hadi ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza kudai posho zao za kazi ya kuweka alama za anwani za makazi waliyoifanya kwa siku tano. Watumishi hao waliandamana jioni ya Aprili 8, 2022 ambapo malipo hayo ni Sh 100,000 kwa siku tano...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…