walimu

  1. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa serikali kupitia fasihi juu ya changamoto za walimu by John Woka & Mkoloni - Walimu

    CHANGAMOTO ZA WALIMU KATIKA TAIFA LETU LA TANZANIA.. "kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:- 1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na serikali na wananchi kutotilia mkazo katika swala...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu Shule ya Sekondari ya Meta, wagoma kufundisha kudai mishahara

    Walimu na wafanyakazi Shule ya Sekondari ya Meta, iliyopo mkoani Mbeya, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, wamegoma kuendelea kufundisha na kuwasimamia mitihani inayoendelea katika shule hiyo wakishinikiza kulipwa malimbikizo yao ya mishara ambayo hawajalipwa kwa zaidi ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Walimu, haswa wa vijijini, tutapewa lini motisha kwa kupandisha kiwango cha ufaulu? Mbona Taifa Stars wanamwagiwa mahela kila leo?

    Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu. Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida. Ajabu ni kuwa hakuna...
  4. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu tu; Bachelor of education in special needs vs Bachelor of education in policy planning and management ipi inamfaa mdogo wangu?

    I salute you kinsmen. Mdogo wangu kutoka kijijini alichaguliwa chuo huku mjini na ndio vile alipata ualimu kama mnavyojua maskini yeye ni ualimu ndiyo unamfaa ameona. Alichaguliwa hiyo Bachelor of education in policy planning and management lakini aliomba Bachelor of education in special...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?

    Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane. Tukio la kwanza ni la ulawiti na udhalilishaji wa kingono ambalo limefanywa na Mkuu wa Shule hiyo...
  6. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ilaa kuharibiana majina kwingine, walimu muongeze umakini.

  7. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana huwa nawaona walimu wenzangu wanatembea na mikeka kama 20 barabarani. Madeni yanaleta stress

    Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu. Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni. Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.
  8. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Walimu wa primary kazi hiyo!

    Nimeona sehemu hilo tangazo. Vijana jobless changamkieni. Kila la heri.
  9. Soul21

    JamiiForums Tanzania Walimu tusitumie madhaifu ya wazazi kutukana watoto pale wanapokosea

    Picha: Pinterest Upendo wa mwalimu si kumfundisha mtoto tu bali hata kulinda heshima na hisia za mtoto kwa kuweka siri au faragha za wazazi wake. Usitumie makosa ya mtoto na kufananisha na matendo ya mzazi au wazazi wake hasa yale ambayo si chanya kwenye jamii kwani kwa picha yake na jinsi...
  10. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa mchakato wa usaili wa Walimu Sekretariate ya ajira: je, nini kinaendelea?

    MWELEKEO WA MCHAKATO WA USAILI WA WALIMU SEKRETARIATE YA AJIRA: JE, NINI KINAENDELEA? Na Josephat H Interview And Carrer Coach +255656480968 Dar Es Salaaam, Tanzania 👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na Katibu Mkuu wa...
  11. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Walimu wa primary kazi mnayo aisee

    Wadau niaje, mimi ni mwalimu wa sekondari wa hesabu na physics, sasa hapa katikati nilihamia mikoa ya kusini, ikabidi nianze upya process za kutafuta kazi. Asee kwa kuwa maisha hayasubiri nikasema nisichague kazi , nilitonywa na mwana kuwepo kwa nafasi ya ualimu english medium shule moja...
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

    Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kusitisha usaili wa Walimu: Tunashauri utaratibu wa zamani utumike kwa kupangwa vituo na TAMISEMI

    Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa usaili haufai kabisa kwa taaluma ya ualimu na afya. Utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kuwapangia walimu na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Group la WhatsApp, kwa walimu wa kemia na biologia kwa maandalizi ya usaili.

    Link hii hapa https://chat.whatsapp.com/K6A6IZtd9yBEWTpoyGZRHu
  15. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Vituo vya usaili kwa walimu ni bado?

    Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna taarifa yoyote. Shida ni nini hapa wakuu? Au majina ya vituo bado?
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mzee Kikwete aliwezaje kuajiri Walimu na Madakatari wote waliohitimu mwaka husika?

    Kipindi cha Mzee Jakaya Kikwete haijawahi kutokea aliywsomea Ualimua au Udaktari akakosa ajira. Tulikuwa tunaajiriwa tena bila kuomba unashtukia tu umepangwa mkoa husika. Sasa hii mbinu ya jk ilikuwaje ikamshinda jpm na kwa nini hakupa lecture kw mwamba huyu ambaye ki ukweli ndo rais mwenye...
  17. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Walimu wakatazwa kubet

    HABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi wa umma.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Walimu 300 wa Sekondari nchini kupatiwa mafunzo ya TEHAMA

    Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia inaendelea kuhakikisha inaziba pengo la kidijitali kwa kuwapatia walimu wa shule za Sekondari mafunzo ya TEHAMA kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, hususan shule za vijijini ili kuboresha elimu kupitia teknolojia. Waziri wa Habari, Mawasiliano...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Adolf Mkenda: Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Walimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Oktoba 05, 2024 katika Siku ya Walimu Duniani ametoa salam za heri ya Siku ya Walimu Duniani akiwa Mkoani Njombe. Katika Salam zake alizotoa akiwa pamoja na baadhi ya Walimu wa Mkoa wa wa Njombe Prof. Mkenda amesema Serikali inatambua...
Back
Top Bottom