walimu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Walimu ombeni kazi.

    Walimu wa Biashara
  2. G

    JamiiForums Tanzania Walimu muda wowete kuitwa kazi

    Walimu Foeni mabegi yenu kwani Mda wowote mtaitwa (ku) zini. 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
  3. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu waangaliwe suala la interview Yao 2024 ukweli inaleta sintofahamu kwao, Ajira Portal wanachelewa mno

    Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine? Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Walimu wa kiswahili wa shule za sekondari kuna mahali mnafeli pakubwa

    Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l" "Karibu" mtoto anaandika " kalibu" 👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na athari za kimakabila/kilugha Lakini swala zima la maandishi imekuwa ni changamoto sana 👉Matumizi...
  5. Shanily

    JamiiForums Tanzania Walimu wa kiswahili chukueni hatua kabla hatujaondoa ladha ya kiswahili chetu

    Binafsi sio Mwalimu kwa taaluma lakini Huwa nafundisha wanafunzi Masomo ya ziada baadhi ya nyakati. Katika wanafunzi nilonao wengi hawajui matumizi sahihi ya herufi na matamshi yake. Mtu yupo darasa la 4 , la 5 na kuendelea , unajiuliza inamaana shuleni hawafundishwi na walimu wa kiswahili...
  6. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Tarehe kumi walimu wakuu wote watakuwa dodoma, Ole wenu mkawe wapambe

    Tunajua akili za TAHOSSA zinakuwa kama zimewaruka, mwezi huu wakuu WA shule wa msingi na sekondary watakwenda dodoma wana ajenda zao zilezile hawana jipya Ila ninawapa tu tahadhari Waache kutumika na mbogamboga Watumie hiyo siku kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwa walimu, wajenge hoja kuendana na...
  7. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Walimu mpo wengi mkiamua kuandamana hakuna wakuwashinda, jitambueni

    Sijui uoga wa nini ilihali mnaishi maisha mabovu, hivi mnashindwa kukiwasha ani, hata ccm watume mapolisi laki moja hawatawaweza nyinyi mpo wengi mnashinda Sasa mnaishi maisha ya kutupwa jalalani afu mnakuwa waoga kudai nyongeza ya mishahara, maisha yanapanda, vitu bei juu lkn mpaka leo...
  8. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa serikali kupitia fasihi juu ya changamoto za walimu by John Woka & Mkoloni - Walimu

    CHANGAMOTO ZA WALIMU KATIKA TAIFA LETU LA TANZANIA.. "kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:- 1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na serikali na wananchi kutotilia mkazo katika swala...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu Shule ya Sekondari ya Meta, wagoma kufundisha kudai mishahara

    Walimu na wafanyakazi Shule ya Sekondari ya Meta, iliyopo mkoani Mbeya, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, wamegoma kuendelea kufundisha na kuwasimamia mitihani inayoendelea katika shule hiyo wakishinikiza kulipwa malimbikizo yao ya mishara ambayo hawajalipwa kwa zaidi ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Walimu, haswa wa vijijini, tutapewa lini motisha kwa kupandisha kiwango cha ufaulu? Mbona Taifa Stars wanamwagiwa mahela kila leo?

    Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu. Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida. Ajabu ni kuwa hakuna...
  11. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu tu; Bachelor of education in special needs vs Bachelor of education in policy planning and management ipi inamfaa mdogo wangu?

    I salute you kinsmen. Mdogo wangu kutoka kijijini alichaguliwa chuo huku mjini na ndio vile alipata ualimu kama mnavyojua maskini yeye ni ualimu ndiyo unamfaa ameona. Alichaguliwa hiyo Bachelor of education in policy planning and management lakini aliomba Bachelor of education in special...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?

    Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane. Tukio la kwanza ni la ulawiti na udhalilishaji wa kingono ambalo limefanywa na Mkuu wa Shule hiyo...
  13. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ilaa kuharibiana majina kwingine, walimu muongeze umakini.

  14. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana huwa nawaona walimu wenzangu wanatembea na mikeka kama 20 barabarani. Madeni yanaleta stress

    Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu. Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni. Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.
  15. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Walimu wa primary kazi hiyo!

    Nimeona sehemu hilo tangazo. Vijana jobless changamkieni. Kila la heri.
  16. Soul21

    JamiiForums Tanzania Walimu tusitumie madhaifu ya wazazi kutukana watoto pale wanapokosea

    Picha: Pinterest Upendo wa mwalimu si kumfundisha mtoto tu bali hata kulinda heshima na hisia za mtoto kwa kuweka siri au faragha za wazazi wake. Usitumie makosa ya mtoto na kufananisha na matendo ya mzazi au wazazi wake hasa yale ambayo si chanya kwenye jamii kwani kwa picha yake na jinsi...
  17. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa mchakato wa usaili wa Walimu Sekretariate ya ajira: je, nini kinaendelea?

    MWELEKEO WA MCHAKATO WA USAILI WA WALIMU SEKRETARIATE YA AJIRA: JE, NINI KINAENDELEA? Na Josephat H Interview And Carrer Coach +255656480968 Dar Es Salaaam, Tanzania 👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na Katibu Mkuu wa...
  18. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Walimu wa primary kazi mnayo aisee

    Wadau niaje, mimi ni mwalimu wa sekondari wa hesabu na physics, sasa hapa katikati nilihamia mikoa ya kusini, ikabidi nianze upya process za kutafuta kazi. Asee kwa kuwa maisha hayasubiri nikasema nisichague kazi , nilitonywa na mwana kuwepo kwa nafasi ya ualimu english medium shule moja...
  19. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

    Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye...
Back
Top Bottom