walevi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati... Nini hutokea? Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma? Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

    SOURCE: The Chanzo 1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6 2.🍻Bia- Bilioni 609 3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320 4.📲Simu- Bilioni 320 5.🚬Sigara- Bilioni 275 6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188 7.🧋Sukari- Bilioni 89.6 8.🧱Saruji- Bilioni 75 9.🥤Maji ya chupa- Bilioni 72 10.🏭Gesi asili matumizi viwandani- Bilioni 54
  3. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Mada Maalum ya Vituko vya Walevi na Ulevi

    Ulevi ni janga na Changamoto inayokabili watu wengi sana.Ulevi huwa unaathiri familia na maisha ya watu. Katika kukabiliana na Changamoto hii ninakusudia kuanzisha Jumuia za Walevi wanaotaka kuacha ulevi.Walevi hawa watkutana katika maeneo fulani na kujadili changamoto zao bila kuwepo na kilevi...
  4. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Kweli walevi wa madaraka wamejaa sana CCM

    Ebu msikikizeni tena huyu mwanaccm anavyomwaga sifa za CCM kwenye chaguzi. Najiuliza hivi ule utaratibu wa kuwapeleka viongozi kwenye chuo cha uongozi watarajiwa haupo tena? Ipo wapi nguvu ya vetting kwa viongozi?
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye walevi wengi Afrika. Nini kifanyike?

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pombe nchini yameongezeka kwa kiasi kikubwa (WHO, 2023) kutokana na sababu kadhaa: 1. Sababu za Kijamii na Kiuchumi Kuongezeka kwa kipato kinachopatikana mikononi mwa watu, hasa katika tabaka la kati, kumefanya pombe iweze kupatikana kwa urahisi zaidi...
  6. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Leo nimepata tiba ya mning'inio (hang anxiety) hasa kwa walevi...

    Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania wanaoshtua yaani kutumia kilevi ( pombe) ili kuchangamka Na kuongeza confidence, nilikuwa nikitumia pombe kwa kiasi kikubwa kesho yake Basi naamka Na huzuni au mapigo ya moyo muda mwingine yanakuwa yanapiga kwa Kasi sana..ukiniona huwezi kujua kama...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwanzo nilidhani wanapendana, urafiki wa walevi ni wa mashaka tele!!

    Salaam, Shalom!! Usishangazwe na salamu, Kuna Wana wa Mungu wamenitoroka, nawatafuta niwarudishe nyumbani. Turudi kwenye mada. Katika kuishi kwangu nimewahi kuona aina mbalimbali za walevi, Kwa nje unaweza kudhani wanapendana sana, Mlevi mmoja alisafiri Kwa pikipiki karibia kilometa Tano...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mbona walevi wanapata pata hela kuliko wasiokunywa

    Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili. Nilichokigundua kwetu sisi wanywaji tunakuwa na bahati sana ya kupata hela yaani mlevi hakai siku tatu au nne bila ya kupata hela na...
  9. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Biblia na Quran vinachangia kiasi gani kwenye Pato la taifa? Watumiaji wa vitabu hivi acheni kuwasakama walevi, wao ndio wanajenga taifa letu

    Inasikitisha sana. Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana. Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu. Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei. Cha...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Usione watu wanakunywa pombe hivi, hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama walevi

    Nachokisema Nina uzoefu nacho sana nataka ujue ukweli kwanini mtu anafikia hatua anakunywa pombe kila siku na mtu wa hivyo usimdharau jua anakumbwa sana na changamoto ya kukosa usingizi usiku anakumbana na sleep paralysis inayomtesa sana kuacha pombe inahitaji msaada sio wote wanakunywa ukaona...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: 50% ya Wanakijiji wa Utiriri wadaiwa kuwa Walevi

    Asilimia 50 ya wakazi 1,200 wa kijiji cha Utiriri kilichopo kata ya Lupanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamedaiwa kuwa ni walevi hali ambayo inasababisha watoto wao kukosa lishe bora. Afisa lishe halmashauri ya wilaya ya Ludewa John Kiusa ametoa taarifa hiyo kwenye kampeni ya lishe wilayani...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanywaji (Walevi)

    Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini?
  13. Fallback

    JamiiForums Tanzania Kutoka kua Mfagiaji, Mdeki Choo cha kunuka cha walevi, Mlinzi binafsi mpaka Cheo kikubwa Ofisi kubwa yenye kiyoyozi

    Coming Soon Mods tuheshimiane msifute.. Mimi sio mwandishi na msimuliaji mzuri tuvumiliane,
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania 99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema...
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wakristo, waislam, walevi, maDJ na wezi muwe watulivu wakati NEMC wakifanya kazi yao halali

    Nimefurahi sana kusikia NEMC wameanza kuwashughulikia wapiga kelele wanaosababisha zogo mtaani na kuwafanya raia wengine wakose raha na utulivu. Kipekee kabisa naomba NEMC wamulike zaidi makanisa, misikiti, vigodoro na wauza muziki (wezi wa kazi za wasanii) kwani hawa ndio wamekithiri kwenye...
  16. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania SBS nao wamekuja na Eneryg drinks zao kabambe. Walevi wa Energy kazi mnayo

    Energy kwenye chupa ya soda safi kabisa, inaitwa SUPA KOMANDO, 300Mls bei sh 5,00 /= halafu ni tamu ajabu. Wanywa energy poleni kwa huo moto mnao pelekewa.
  17. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kama tunamuomba Mungu atuepushe na majaribu ni kwanini aliruhusu unywaji wa pombe ambao umefanya wengi kuwa walevi?

    Wasabato mkae pembeni hili haliwahusu Sijawahi kuelewa hata kidog haya mambo ya unywaji na ulevi, huwa naonaga ni kama tiketi tu ya kuhalalisha ulevi. Kama ni mlevi ama uliwahi kuwa mlevi wa sigara, bangi, pombe, ngono zembe, kamali, n.k. basi unajua fika kwamba siku ya kwanza huwa ni kujaribu...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Hawa walevi wanaotwangana ngumi hadharani ndio tegemeo la pro-Putin

    Hawa ndio mumekaa mkisubiri wafanye maajabu ya kuiteka Kyev....
  19. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe atoa onyo kali kwa Madereva walevi, Wananchi Wazo waomba Barabara itanuliwe

    Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Godwin Gondwe ametoa onyo kali kwa madereva wanaondesha magari huku wakiwa wamelewa. DC Gondwe ameyasema hayo wakati alipokuwa akiongea na wananchi wanaoishi eneo la Wazo Hill na Madale alipotembelea eneo hilo kutokana na ajali mbaya iliyotokea jana asubuhi na...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya wasabato kujizolea sifa ya kutokuwa walevi tofauti na madhehebu mengine ya wakristo?

    huko mitandaoni ishakua kawaida kukutana na memes zikionyesha picha yenye mtu ananaekunywa maji mengi au soda kuwa ni msabato, unaweza kutana na picha mtu anakunywa maji au soda nyingi yanaandikwa maneno "pale msabato anapoenda bar kuondoa stress" Hii sifa waliyojizolea wasabato nini chanzo...
Back
Top Bottom