wakwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. livewise1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtalaka anatishia kuvunja ndoa mpya ya rafiki yangu

    Habari wakuu! Kuna jamaa yangu amenipa kisa kilichomtokea nibaab-kubwa, na anaomba mawazo mbadala au kama yeye yuko sahihi pia aendelee. Mwaka juzi alikuwa mkoa wa Mara akifanya kazi kama msaidizi wa familia ya mama mwenye kampuni ya utalii. Huyo mama alimuamini ikafika hatua amemuelekeza...
  2. roselina john

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nimewakosea sana wanaoenda kuwa wakwe zangu kutokana na mkanganyiko wa familia yangu/Sikutokea siku ya Send off

    Jamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa, Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kina dada mnapofiwa na wakwe zenu huwa mnahuzunika kweli?

    Wadau ni wazi kuwa katika maisha yetu ya kisasa, kina dada wengi huwa wanawachukia wakwe zao wa kike na wifi zao, hasa pale Mama wa Mume anapoona kachoka na hivyo angehitaji kuishi kwa mwanawe wa kiume ili kupata matunzo na uangalizi wa karibu lakini pia kufurahia matunda ya jasho lake katika...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Kuna umuhimu kuridhisha wakwe wa siku hizi?

    Salam sana, naandika hapa nikiwa sina ujuzi wowote wa kiuandishi, kwenye makosa mtanisamehe. Ninachotaka kuelezea hapa na kuomba ushauri wenu ni experience yangu binafsi ambayo nadhani sijapata mtu sahihi bado wa kuongea nae vizuri akanielewa. Mimi ni kijana fulani wa makamo, katika miaka ya...
Back
Top Bottom