wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea Vikwazo Viongozi wakuu wa serikali ya Zimbabwe

    Waliowekewa vikwazo hivyo ni pamoja na Rais wa Nchi hiyo, Makamu wa Rais , Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu wa chama cha ZANU PF . Viongozi hao wanakabiliwa na tuhuma za ufisadi , kukomba mali ya umma , ukiukwaji mkubwa wa Haki za binadamu, unyanyasaji uliopitiliza , utekaji na Mauaji ...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu hii ndiyo Galaxy yenyewe wastaafu?

    Nimeshtuka..! Huyu si kariba na makamo ya Dr mwigulu na Majaliwa kabisa wajameni? Sasa wachezaji wenyewe ndiyo kama Hawa mtu unashindwaje kufunga hata kumi kwa bila wakuu? Kwa kuwa simba mbovu na Hawa wastaafu waliokuja kutalii ndiyo mahututi basi ikaonekana wamecheza sana? Nimeumia sana kwa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani?

    Ningependa kujua kama kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani? Na inawapa magari mapya ambayo kila baada ya miaka mitano wanapewa mengine mapya ( sijui tamati ya yale ya awali). Uhuru amepewa nyumba? Amandla...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua mfumo wa serikali unaotumiwa na serikali kuchagua waajiriwa

    Wakuu habari, Naomba msaada kwa yeyote anae jua ni mfumo upi( software program) inayotumiwa na serikali kuchagua majina ya watu kwa ajira baada ya graduate kufanya maombi pale nafasi zinapo tangwaza. Naombeni hivi sasa, babu yangu wa Tanga anahitaji afanye mambo kidogo( system manipulation).
  5. P

    JamiiForums Tanzania Naomba mada nzuri ya Utafiti wa Kisayansi itakayotikisa Duniani

    Hope ni wazima. Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla. Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
  6. JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze wakuu fridge za hisense znakuaga na rangi 2

    naomba kuuliza wakuu nmenunua fridge hisense rd 20 lakn naona mbele kwenye milango kuna rangi ya silver na pembeni kuna rangi flani ya kqma kijivu flan je ndo yanakuag hvo au nimepgwa hapa wakuu
  7. JamiiForums Tanzania Kazi ya Wakuu wa Mikoa ni nyepesi sana

    Heshima sana wanajamvi, Inafahamika Jumanne yatakuwepo maandamano hapa Jijini Arusha. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha imekuwa katika harakati kubwa za kutaka kuyazuia maandamano hayo kwa kutumia njia haramu na zinazo kiuka misingi ya katiba yetu yenye mapungufu mengi. Mosi kamtumia mwenyekiti...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aagiza Wakuu wa Mikoa kusimamia usambazaji wa sukari

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  9. JamiiForums Tanzania Usambazaji wa Sukari nchini kusimamiwa na Wakuu wa Mikoa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu, nitumie mbinu gani hichi kikombe cha majukumu kinikimbie?

    Kuna mchepuko wangu wa zamani (shepu matata) alinipigia simu mwezi uliopita, na kunijulisha nimpokee rafiki yake anakuja mkoa niliopo kwa ajili ya kushughulikia mambo yake. Ingawa alinisii, nisimsaliti kwa sababu huyo rafiki yake ni pisi kali; mi nikamwambia haina shida, mi sina madhara kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu, mlishakutana na hii hali?

    Mambo yamebadilika wakuu Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba. Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?

    Jana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi AU, ETHIOPIA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu hebu tumalize utata hapa, INDUCTION COOKER vs MULTICOOKER nani ni mkombozi wa mapishi kwa umeme

    Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme. Induction cooker Multi Cooker
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii chachua ya wahindi irudishwe tu.

    Nmeona watu wana kumbushia experience yao na hii kitu huko X,sisi tuliyo ikuta inapotea mpk leo tuna experience na huu ugolo wa wamasai. Wanasema ni kali kuliko ugoro wa kawaida sasa wahindi wanaweza kumudu vipi na sisi tukashindwa.
  16. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu habari za muda huu

    Naomba software ya Ms word 2019 au 2021,2023 iliyo free amba syo y kulipia au kma mtanielekeza pia website pakwenda kuipakua nitashukuru wandugu
  17. P

    JamiiForums Tanzania Nimepokea simu na email ambazo zinanipa wasiwasi na hofu

    Wakuu mdogo wenu nipo njia panda, Jana usiku sasa tatu kamili nime pigiwa simu na mwanamke aliejitambulisha kuwa ni mkurugenzi wa shule moja binafsi hapo jijini Arusha (jina nimelitunza O level hadi A level), lengo la simu yake amenambia kuwa wananihitaji katika shule yao mara baada ya kumaliza...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Lowassa: Mimi nilijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa ya wengine

  19. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema. 1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka. 2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi...
  20. JamiiForums Tanzania Monduli imetoa mawaziri wakuu wawili wenye kudhubutu na kufanya, CCM inajifunza nini.

    Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila. Wamasai ni moto wa kuotea mbali. 1. Sokoine - Monduli 2. Lowassa - Monduli Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro. Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…