wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnanitenga sana wakuu

    Acheni kunitenga
  2. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu? Yaani unakutana na demu faragha ila ili umwage unaanza kumfikiria demu mwingine

    Imeshanitokea mara nyingi hii kitu na inapeleka mahusiano yangu mengi nayavunjika sana. Yaani upo na mwenzako faragha ila ili ufike mshindo unaanza kufumba macho na kuvuta hisia ya demu mwingine mimi sielewi. Kuna mademu hawana stim jamani ni bure kabisa.
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dkt Yonazi aongoza kikao cha makatibu wakuu

    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu Tathmini ya Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoadhimishwa Jijini Dar es Salaam Aprili 26, 2024 pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku). Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke. Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke. Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
  7. JamiiForums Tanzania Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

    Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu za kila siku- yule mtoto hazidi miaka 24, hazidi hapo kwa uzoefu wangu wa kuwajua wanawake, imagine...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naumwa wakuu, nina fangasi sehemu za Siri

    Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani. Sasa selewiii tiba ni nini.
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Nataka nidownload nizijaze kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wakati nafanya home workout. Msaada tafadhali waungwana!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  12. JamiiForums Tanzania Zawadi imesababisha ugomvi na wife, leo nimenasa wakuu

    Wakuu..... Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa. Ipo hivi..... Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi. Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya ndoa na mke wake, so kuna mambo kadhaa nilijifunza pale nami nikaondoka nayo. Sasa skumoja nikiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira za kibarua, nipo Mbeya

    Habarini wakuu, Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnieleweshe concept ya Mungu katika ukristo

    Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wale wataalamu wa simu

    Kati ya hizi simu ipi itafaa Nokia G20_128gb 6 ram Vivo v20_ 128 GB 6 ram Redmi pocco X3 _128GB 6 ram Redmi note 12 5g_ 128gb 6 ram N.B zote nimeangalia features zake zaidi ipi iko vizuri wataalamu. Chief-Mkwawa
  16. JamiiForums Tanzania Huenda wasanii/watu maarufu wetu ndio wakawa ‘ombaomba’ wakuu ama ‘the most state-priviledged’ hapa nchini

    Amani iwe nanyi! Kwa ufupi tu, nimejaribu kuwaza jinsi tabaka hili la watu maarufu, wakiwemo wasanii, linavyoishi kwa kututegemea sisi wananchi na kodi zetu. Msanii akiwa ana-rise to fame, ataomba support ya mashabiki (sisi) na hata serikali (kupitia mamlaka zinazowahusu) ili afike...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

    Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya. Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
  18. JamiiForums Tanzania Hili Battle la Kendrick Lamar na Drake mnalionaje wakuu sio kwamba litaishia kubaya?

    Picha: Kushoto ni Kendrick Lamar, kulia ni Drake (Credit: Getty images) Baada ya gumzo kubwa kutokea pale metro na future kumshirikisha KENDRICK LAMAR kwenye track yao ya LIKE THAT na Kendrick Lamar kutema shit kubwa sana kuhusu BIG 3 na kuwa yupo BIG mwenyewe , ilimuumiza kichwa sana Drake na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada kwenye tuta: PC yangu inanyonya sana MB nini tatizo ?

    KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta. Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna setting nimejichanganya nisaifieni wakuu. Nawsasilisa swali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…