wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa vyama visivyo vya ukombozi waliodumu muda mrefu zaidi madarakani

    Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana. 1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba. 2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore. 3.Viktor Orban-Miaka 28...
  2. JamiiForums Tanzania Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

    Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period. Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of delivery, field na mengineyo. Nawasilisha.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naombeni ushauri kuhusu matumizi ya mouth spray

    Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
  5. JamiiForums Tanzania Tuendelee kutafuta pesa wakuu

    Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu kwa hili:

    Kijana wangu kamaliza form four Mwaka jana 2023. Kafanya vizuri Masomo yake yote ana div one B 6 na C 1. Alikuwa ana chukua Masomo ya science. Kachaguliwa kwenda kusoma tahasusi ya PCB. Yeye hataki anataka akasome EGM, je ina wezekana wakati hakusoma commerce wala accounts O level? Naomba...
  7. JamiiForums Tanzania Wapi wanauza artificial plants/ maua kwa jumla Mwanza?

    Nimekua napenda kufanya hii mambo! Mtandaoni naona maduka mengi yapo Dar. Na napata shaka kuagiza kupitia mtandao kwani matapeli na uongo uongo ni mwingi. Je, napata wap kwa mwanza ambako wanauza hii bidhaa kwa bei ya jumla?
  8. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, punyeto inaweza kuwa sababu ya kuchoka kwa mwili?

    Wakuu samahani Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na usaliti alioufanya, ikawa mchezo wangu ni ule wa kidronedake..je hili linaweza sababisha uchovu huu...
  10. JamiiForums Tanzania Akina Makonda Wanatulazimisha Tuendelee Kutafakari Nafasi za Wakuu wa Wilaya, Mikoa: Tunawahitaji Kweli?

    Watanzania hawawahitaji wakuu wa mikoa na wilaya, na walilisema hili hadharani wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba, maarufu kama Tume ya Warioba, ilipotembea nchi nzima kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mfumo wa kiutawala wanaoutaka, na tume hiyo ikayaheshimu mawazo hayo kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri wenu.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kulingana kipato changu na maisha ninayoishi

    Maisha ya kujitegemea nimeyaanza january mwaka huu na kipato changu kwa mwezi kina range 400k mpaka 600k. Nimepanga chumba kimoja na choo ndani kodi nalipia 80k kwa mwezi, Usafiri natumia 2k kwa siku, Kula natumia 6k mpaka 10k So nikipiga hesabu pesa ya usafiri na kodi pamoja kula nakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wote wangefanya kama anachofanya Makonda tungekuwa mbali

    Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana na kadhia ya watendaji wa serikali kwenye maofisi. Wengine hawajawah kufanya kazi za tender...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiachwa achika

    Mwaka jana kuna binti aliniacha ghafla kupitia sms nanukuu "D nimefikiria nimeona hatuwezi fika mbali naomba tuachane" hapo ni baada ya dk kadhaa za kuambiana tunapendana akanipiga block kuanzia kwenye simu mpaka kwenye mitandao yake ya kijamii nikawa sina direct access ya kuwasiliana naye siku...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ndiye Mkuu wa Mkoa anayependwa zaidi kuliko Wakuu wote wa Mikoa kwa sasa

    Nawashauri sana viongozi wa serikali, mimi ninaishi Songea, ninasoma mitandao ya kijamii lakini nasikiliza maoni ya watu mitaani, vijiweni na hata kwenye viwanja vya mpira. Paul Makonda anapendwa sana kwa namna anavyotumia kipawa chake kutatua kero za wananchi, kwa namna anavyosikiliza na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu kuhusu Soko la Madaktari wa Mifugo (BVM) nataka kutuma maombi

    Wakuu naomba nipewe Elimu kuhusu Soko la madaktari wa mifugo (BVM) Maana nataka kuapply hiyo
  17. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakuu wa Mikoa ambao wananchi wanateseka na kero na hawasikilizi kero za wananchi

    Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo. 1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi. 2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

    Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
  19. JamiiForums Tanzania Hii sheri kandamizi ya kikoloni ya kuweka watu wasio na hatia ndani masaa 24 ndiyo inayofanya wakuu wa mikoa na wilaya wajione miungu, iondolewe

    Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi huo ujinga ungefutuliwa mbali Hii inamfanya mkuu wa mkoa ajione yeye ni mungu maana anaweza fanya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mnanitenga sana wakuu

    Acheni kunitenga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…