Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani.
https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282
Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais .
Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi.
Raisi ataendelea kuwa na mamlaka kwenye vyombo vya usalama lakini sio kwa maslahi yake binafsi.
Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima
Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au nifanye chaguzi zingine budget yangu ni 300k
Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000.
lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza...
Naomba kujua haswa kisheria zaidi
Hipo hivi.. sisi tumezaliwa wa 5 kiujumla watatu wa baba na mama mmoja wawili tumeshare mama.. ambao ni wakubwa kwetu.. yaani mama aliolewa na mzee akiwa tayari na watoto wawili
Mzee wangu alikuwa na wake wa 3 mama yangu ndio alikuwa bi mkubwa.. kuna ndugu...
Wakuu tafadhalini sana naombeni mnifundishe jinsi ya kutongoza wakuu maana kuna pisi moja ya kwenda wakuu na ni pisi ni unsubmissive woman na pia hii pisi nimelengeshewa na dadake tu ila sijajua njia ya kumuingilia aisee
Hii pisi ni ya kwenda aisee yaani akikubali nataka kumuoa aisee kama...
Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa.
Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande...
Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha.
Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
arusha
ccm
chadema
kununua
kutisha
mabilioni
nchi
nyie
nzito
pesa
sana
tuhuma
uchaguzi
ufisadi
umma
viongozi
viongozi wa umma
viwanja
wakuu
wanasiasa
wapi
watanzania
Kahama imesema No Reforms No Election
https://x.com/Twaha_Mwaipaya/status/1923772820057706620
Hapa Wananchi wakikichangia Chama Chao ili kife.
https://x.com/chacha_heche/status/1923776355302252998
Muachieni LISSU nyie wapumbavu, Mabadiliko haya ni ya lazima, ni ya Wananchi, LISSU mijumbe...
Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Yaani Cleopa Msuya amekuwa Waziri Mkuu miaka minne na Makamu miaka mitano ndio amekula asilimia 80 ya mshahara wa makamu kwa miaka 30?
Kuna huyo Salim Ahmed Salim ambaye alikuwa Waziri Mkuu kwa miaka mitatu tu lakini analipwa asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu kwa zaidi ya miaka 40 sasa...
Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
Nataka kumtumia jamaa yangu hela anakuwa mkali anasema "usitume usitume huko kwenyo line nadaiwa"😂😂😂
Karibu kila Mtanzania mwenye line ya simu ana deni kwenye line hiyo. Hii kauli ya "usitume, nadaiwa!" imekuwa kama nembo ya taifa. Kila mtu ana “Songesha” kwenye Voda, Tigo, Airtel n.k...