wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  2. JamiiForums Tanzania Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Huu ujumbe unaoonekana ni wa Rais Samia kwenda kwa mwanae Wanu

    Wakuu Naomba ufafanuzi hapa
  4. JamiiForums Tanzania Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi wa SADC waanza Madagascar na kikao cha kujadili mpango wa maendeleo

    Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa Kikanda 2030 (Regional Indicative...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu vipi Leo ni 3/8 / Rais kavunja Bunge ?.

    Wakuu nilikua Bize siku nzima !!. Mwenye Ufaham na hili
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu Tupite Hapa.

    Habari wana JF. Hizi ni Fact kuhusu vitu hivi. Papai changa (mafuta yake) - yanasimamisha maziwa Kwa wanawake, Hata kama yalilala vipi yanarudi kuwa saa sita. Apple/Tufaha - Hujenga uke(Hujenga afya ya uke). Ndizi/Tango - Hujenga uume/uke kuwa imara(misuli). Uyoga - Tiba ya sikio...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka ndugu zangu mawazo yenu wakuu

    Nina pacha mwenzangu tumezaliwa WAWILI Mimi KULWA pande la MWANAUME kijeba khaswa, ye DOTO ni mwanamke. Juzi nimewasiliana NAE VIZURI TU tukamaliza. Leo najulishwa kaja sehemu nilipo na anani tafuta. HIVI unaendaje sehemu bila KUTOA TAARIFA kwa mwenyeji wako wakuu, kwanini asinge nijuza majuzi...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kama moto upo yule jamaa atakuwa motoni au peponi ?

    Yule kwa tabia zake je atakuwa motoni au peponi ?.
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ufafanuzi zaidi huu mstari unanitia sana mashaka

    1. 1 Samweli 18:1 2. 2 Samweli 1:26 (Baada ya kifo cha Yonathani) awake.”
  10. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

    Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa? Ni kama wamekanyaga kaa la moto! Kifupi imenishangaza sana. Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo. Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu kuna ambae anaweza kutambua aina ya mti huu.

  12. JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidie kujua jina la huu mti kwa lugha yetu ya kiswahili

  13. JamiiForums Tanzania Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

    Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje?
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu nielekezeni kwanini chief draftsman wa Sheria anatoka ofisi ya tume ya fedha ya pamoja

    Eti maboss niambie kitu kimoja nijue kinahusiana vipi kuna huyu mtalaam wa kuandika hizi acts kwa sasa anaitwa Bw. Onorius John Njole sasa kwanini anakuwa ofisi yake ni tume ya pamoja ya fedha chini ya wizara ya fedha me nilifikiria labda angekuwa chini ya taasisi kama Bunge, mahakama,n.k
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu huu mti unaitwaje

  16. JamiiForums Tanzania Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

    Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya vyumba vinatisha wakuu

    Chumba changu cha kwanza kupanga hapa DSM kilikuwa kipo vibaya ila kutokana na hali ikabidi nikizoee licha ya uchakavu wa chumba changu ili kuna baadhi ya vyumba mitaani vilikuwa too much nikakumbuka kuna mshikaji alipata kazi ya kupuliza dawa ya mbu kwenye wilaya fulani alikuwa akiniambia...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu zinaa sio dili tulia na wako mmoja anatosha ona wenzetu anavyoyeseka

    Sijui gonjwa Gani hili limembutua kwa starehe ya siku moja
  19. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu nna biashara nyingine nauza

    Habari za Jumamosi Wakuu,nna biashara wakubwa zangu nauza,biashara hizo ni pamoja na (1)Samick 12 Channel Mixing Console Model no SM-1200p hii naitakia 500,000. (2)Jebson SD 1 Table top Mixer hii naitakia 400,000. (3)Lenovo Mini Laptop,Battery iko poa sana 2hr,hii naitakia 200,000.Naambatanisha...
  20. JamiiForums Tanzania Habari wakuu

    New member hapa, naona kuna member wengine wana blue tik hivi ndio kusema? Like MshanaJR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…