wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu najikuta kucheka cheka tu, msaada tafadhari

    😂😂😂😂
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni kazi au kutafuta kazi

    Mungu mwema sikuzote
  3. JamiiForums Tanzania Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  4. JamiiForums Tanzania Mwisho wa namba za mtihani kidato cha nne na sita kwenye kuomba chuo ni miaka mingapi?

    Muda wa matumizi ya namba ya mtihani kidato cha nne na cha sita katika kuomba kujiunga chuo kikuu kwa hapa Bongo(Tz) inachukuwa miaka mingapi kuisha matumizi yake? Mfano nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na cha sita 2024 naweza omba chuo mwaka 2030 kwa mfano . Wakuu naombeni ufafanuzi hapo...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu nimefeli Kuacha sex

    Wakuu turee kwenye kichwa tajwa hapo juu. Niliwahi kuandika uzi humu jukwaani kuhusu kuwa na program ya kudhibiti genye, Kwa kukaa mda mrefu bila kuzagamua. Lakini nasikitika kusema nimeshindwa! Nalirudisha hili Kwa wanabodi, ninachoomba kutoka kwenu ni maombi, hili Kwa Nguvu za kibinadamu...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wenu hapa nipo salama au nimeshanasa?

    Nimepata demu lakini simuelewi kabisa 1.hataki hata ndugu zangu wamjue 2.huwa anafanya mawasiliano ya siri kwa kutumia code na lugha tofauti za kimataifa(nitaweka ushahidi) 3.ana pesa sana 4.tulikutana na kuanza uhusiano tulipokuwa kazi maalum. 5.hataki kunipa uhuru wa muda yaani mda wote...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi wakuu huu ukata ni mimi nausikilizia pekee yangu au hata nyie mnameza mate yenu wenyewe?

    Yani hata sina cha kuandika wakuu. Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso. ☹️ Aiseee
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu, namna gani naweza kurecover namba nilizofuta katika call log yangu?

    Karibuni. Simu ni android, pixel 5
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu hizi pikipiki aina boxer za bm 125 hd 150

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  10. JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story tu?

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu huku watu wanauza radi!

    Wakuu huku watu wanauza radi
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu nifanye hatua zipi kufikisha magoli matano?

    Au najidanganya tu wakuu tu wakuu.
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
  14. JamiiForums Tanzania Proved: kumbe ni AI bwana si polepole, chadema kama mnaweza kuamini hata Midori basi viongozi wakuu wa chadema wajitathimini.

    Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya. Inakuwaje chadema inakuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu huyu nikimuwahi atapona kweli?

  16. JamiiForums Tanzania Mnaona wakuu, tukaanza kuwa tunamtumia Polepole hela ya kumsapoti kama ambavyo tumekuwa tukimsapoti Lissu n.k ili kumtia Moyo !?

    Wakuu ili Ku-push agenda ya NRNE n.k Mnaonaje tukamsapoti Pole Pole Kama ambavyo tumekuwa tukowasapoti wadau wengine Kama TAL n.k. Kwakuwa huyu jamaa anatutoa gizani.
  17. JamiiForums Tanzania Mama yangu ananilazimisha niingie uchawini, wakuu nifanyeje

    Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu napita hapa nje ya lodge moja hivi, kuna sauti naisikia

    Nasikia sauti kama vile mtu anapiga makofi paa, paa, paa, paa, paa kwambali nasikia kama sauti ya mtu anagugumia. Inaweza kuwa nini? CCM imetutoa mbali sana. Asanteni.
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidie tiba ya kienyeji za sikio kuziba , dawa za kizungu zimedoda

    Nasikia presha kwenye sikio, kelele sikioni na pia kama niko majj hivi, hali ya sikio kuwa kama kuba kitu kimeziba. Nisaidieni wakuj
  20. JamiiForums Tanzania Imani kali :malesia kuanza kufangua jela watu wasio swali ijumaa ,hii imekaaje wakuu?

    Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa . Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu wasio swali nchini humu katika taifa hilo lenye waislamu wengi zaidi duniani USSR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…