kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,143
Viwango walivyofikia leo chama uvundo,dawa ni maridhiano ya kitaifa,katiba mpya,tume huru na haki ya uchaguzi na tume ya ukaguzi muungano wa uchakachuzi za uchaguzi na uchafuzi ufanyao na uwajibikaji kwa wahusika wote.