kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,018
- 17,385
Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpuuza.
Wakenya ni wakimbizi kwenye taifa Leo, wanazalisha kwa manufaa ya wakoloni. Wakenya ni manamba kwenye nchi za wakoloni na wanalipa Kodi huko na kuzeekea huko.
Wakenya. Waliobaki Kenya wengi wao hawana cha kupoteza; hawana ardhi, nyumba Wala mifugo (properties), hivyo hawaogopi kupoteza chochote. Ukiwaita kuandamana ni fasta tu.
Wakoloni wamekita mizizi yao Kenya kisiasa, kiuchumi na kijeshi kuhakikisha kuwa maslahi yao Yako salama milele. Majina ya mitaa yamebaki yaleyale ya kikoloni.
Kenya ni miongoni mwa mataifa ya Afrika yanayoihujumu OAU (AU) kwenye mipango yake ya kujiimarisha kama bara linalojitegemea.
Migomo Kenya ni harakati za ukombozi kutoka kwa wakoloni.