Ulifunga ndoa Kanisani, mkasherehekea sana harusi. Baada ya siku chache ukaachana na mke wako, kisha ukaoa mke mwingine. Haukupita muda mrefu ukampa talaka. Kwakuwa hukuweza kuishi peke yako ukaoa tena kwa mara ya tatu mke mwingine.
Utafanyaje ukisikia sauti ya Yesu inakuambia "huyo mke uliye...