Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo.
Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti.
Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk.
Mapungufu ya msingi yapo...