Juni 20: Siku ya Wakimbizi Duniani (World Refugee Day)

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,856
6,276
1655711476847.png

Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), idadi ya Watu waliolazimika kukimbia Makazi yao imeongezeka kila mwaka katika miaka 10 iliyopita

Siku ya Wakimbizi Duniani huadhimishwa kila Juni 20, kusherehekea ujasiri wa Watu ambao wamelazimika kukimbia Nchi zao. Kwa Mwaka 2022, Maadhimisho yamejikita katika Haki ya kutafuta usalama

Wakati wowote Watu wanapolazimika kukimbia Makazi yao, wana Haki ya kulindwa dhidi ya vita, vurugu au mateso kwani kila Mtu anastahili kuwa salama

TAARIFA ZAIDI....

Each year on June 20, the world celebrates World Refugee Day. This year, the focus will be on the right to seek safety.

Every person on this planet has a right to seek safety – whoever they are, wherever they come from and whenever they are forced to flee.

What is World Refugee Day?

World Refugee Day is an international day designated by the United Nations to honour refugees around the globe. It falls each year on June 20 and celebrates the strength and courage of people who have been forced to flee their home country to escape conflict or persecution. World Refugee Day is an occasion to build empathy and understanding for their plight and to recognize their resilience in rebuilding their lives.

World Refugee Day 2022

Whoever they are, people forced to flee should be treated with dignity. Anyone can seek protection, regardless of who they are or what they believe. It is non-negotiable: seeking safety is a human right.

Wherever they come from, people forced to flee should be welcomed. Refugees come from all over the globe. To get out of harm’s way, they might take a plane, a boat, or travel on foot. What remains universal is the right to seek safety.

Whenever people are forced to flee, they have a right to be protected. Whatever the threat – war, violence, persecution – everyone deserves protection. Everyone has a right to be safe.

Source: UNHCR
 

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,847
3,557
Naimani kabisa kua asilimia kubwa ya hao wakimbizi ni kut..oka jangwa la sahara na afrika kwa ujumla yaani hii afrika hii basi tu.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom