wakili

Malam Wakili (born 1958) is a senator of the Federal Republic of Nigeria from Bauchi State and retired controller of customs. He represented south Bauchi in the current 8th National Assembly before his death on March 17, 2018. Senator Wakali was the Chairman, Poverty Alleviation & Social Welfare Committee and Vice Chairman of the Air Force Committee of the 8th National Assembly.A bye election was conducted after his death and Lawal Yahaya Gumau of the All Progressive Congress won.The south Bauchi Senatorial District covers seven local government areas.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mapenzi yalivyokatisha Uhai wa wakili Elizabeth Koki Musyoki

    Elizabeth Koki Musyoki alikuwa mama mwenye umri wa miaka 34, wakili wa Kenya aliyefanya vizuri sana katika kazi yake, mshauri wa masuala ya sheria za kampuni, pamoja na mshauri wa rasilimali watu (HR). Alisomea sheria katika Kenya School of Law na baadaye akasajiliwa rasmi kuwa Wakili wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka aachiwa huru bila masharti

    Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka, ameachiwa jioni ya leo, Agosti 17, 2026 bila masharti yoyote. Akizungumza na NipasheDigital, kwa njia ya simu muda mfupi uliopita, Wakili na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, William Maduhu, amesema Madeleka ameachiwa bila masharti na kwamba hana tuhuma...
  3. JamiiForums Tanzania WAKILI MAARUFU MADELEKA KUPEWA KESI YA UGAIDI ?

    Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo...
  4. JamiiForums Tanzania Nkindikwa afungua Habeas Corpus akipinga kushikiliwa kwa zaidi ya siku 40 bila kufikishwa mahakamani

    Nkindikwa Nestory Mashaka maarufu Kijana Mzalendo kupitia wakili wake William Maduhu amefungua kesi ya Habeas Corpus akitaka afikishwe mahakamani au aachiliwe huru na Jeshi la Polisi linaomshikilia kwa zaidi ya 40 sasa. Kwa mujibu wa Wakili Maduhu aliyezungumza na waandishi wa habari Agosti 4...
  5. JamiiForums Tanzania Wakili Matata aibua mazito kuhusu kesi za ugaidi, na pia awavaa WanaCHADEMA feki wanaotaka Heche atoke

    https://www.youtube.com/watch?v=SdNOaquuJ-c
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Tume ya Jaji Lila haina mamlaka ya kisheria kupeleleza jinai

    Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu...
  7. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka aipiga teke ACT WAZALENDO. Hajawa clear na destination yake kisiasa. Lakini kwa alivyoisifia CHADEMA, namuona akitua huko..!

    https://youtu.be/tN1-smB7nOo?si=j1dEU9tUQi1fNu2N Anasema: 1. Ameamua kutoka huko ili kuungana na wapigania haki wengine kuipigania haki, demokrasia na utawala bora Tanzania 2. Haoni chama kingine chochote ambacho kinapata uungwaji mkono mkubwa toka kwa wananchi kwa sasa kuliko wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Kutoka kwa Wakili Peter Kibatala

    One of my greatest pride as a Lawyer is representing Wanaharakati in Courts. Jesus was a Mwanaharakati [albeit wa ukombozi wetu], John the Baptist was a Mwanaharakati, Paul the Apostle was such a Mwanaharakati that He traversed all lands of the Gentiles, St. Peter was one of the greatest...
  9. JamiiForums Tanzania Darasa la Sheria la Wakili Peter Madeleka

    Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania. Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria ya polisi inataka vyama vya siasa kutoa taarifa tu ya mikutano badala ya kuomba kibali...
  10. JamiiForums Tanzania Wakili Paul Kisabo: Lissu atamuhoji Kamishna Mkuu wa Magereza "Shauri la Kimkataba"

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, anatarajiwa kuwahoji kwa maswali ya dodoso (cross-examination) Kamishna Mkuu wa Magereza pamoja na Mkuu wa Gereza la Ukonga katika Shauri la Kikatiba Namba 7300 la Mwaka 2026 mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Manyota: Wanaoishi pamoja zaidi ya miaka miwili wanaweza kutambulika kisheria kama wanandoa

    Wakili Richard Manyota amesema kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, watu wanaoishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili na kutambulika na jamii kama wanandoa wanaweza kutambuliwa kisheria kuwa ni wanandoa hata kama hawajafunga ndoa rasmi. Amesema sheria inatambua aina tatu za ndoa ambazo...
  12. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka yupo Mahakamani kwa ajili ya kesi ya wafanyabiashara 'wapangaji' katika jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo

    Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 inaanza kusikilizwa leo, Jumatatu Mei...
  13. JamiiForums Tanzania Wakili Pascal Mayala kwanini matokeo ya Raisi hayawezi kupingwa popote?

    Habari ya hasubuhi. Sio kwa nia mbaya ni vile watanzania wengi hatujui sheria na katiba kwa hyo ningependa kufahamu hasa majibu kutoka kwa huyu mwandishi wa habari na wakili wa kujitegemea. Kuna mambo mengi nahitaji ufafanuzi wa kisheria mfano Suala la Matokeo ya raisi kutopingwa popote...
  14. JamiiForums Tanzania Wakili Mwambukusi: Tundu Lissu siyo mhaini, WAMTOE, hatutakubali mwenzetu aendelee kuonewa

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
  15. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Kama Lissu anatusumbua Kisiasa, futa Vyama vingi kibaki chama kimoja

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
  16. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kuna Wakili alipigwa Mahakamani kama wanaua nyoka, wengine wakasema ‘eti huyo ni CHADEMA”

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha. Anasema tukio la ajabu kabisa, wakili mmoja alikuwa akipigwa mahakamani kama watu wanaua nyoka. Niliona wakipiga wakili Mahinyila. Na wengine ukiwauliza...
  17. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Ninapotekeleza jukumu langu usinitishe, hatutakuogopa tutatekeleza wajibu

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha. Anasema TLS vilevile inawajibu mkubwa si tu kwa wanachama wake bali pia kwa jamii, serikali na mahakama katika kuhakikisha haki inatendeka, sheria...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Nina wasiwasi na Wakili Kisabo juu ya maneno aliyosema yamesemwa na Lissu. Watanzania tusubiri kauli ya Lissu mwenyewe

    Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote. Hajawahi, wakati wowote, kuweka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka aweka wazi ya DPP bila woga, ataka haki itendeke

    https://m.youtube.com/watch?v=CM45_lR3-DI Wendy William Ishengoma vs Republic (Economic Case No. 30853 of 2024; Miscellaneous Criminal Application No. 2751/2026) [2026] TZHC 629 (6 March 2026)
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kutafakari sana kwa kina nimehitimisha kwamba: ukiwa mwanasiasa bila kuwa wakili, basi ujue unajipotezea muda, maana utakwama tu!

    Hii ni argument ambayo itakubidi upate experience kubwa ya kuitazama sana siasa kwa jicho la tatu, ndiyo utagundua kwamba ni argument ambayo ni ukweli kwa asilimia 99%. Mwaka 2010 nilipoenda pale UDSM, siasa za serikali ya wanafunzi na wanaharakati zilikuwa zinatawaliwa sana na vijana wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…