wakili

Malam Wakili (born 1958) is a senator of the Federal Republic of Nigeria from Bauchi State and retired controller of customs. He represented south Bauchi in the current 8th National Assembly before his death on March 17, 2018. Senator Wakali was the Chairman, Poverty Alleviation & Social Welfare Committee and Vice Chairman of the Air Force Committee of the 8th National Assembly.A bye election was conducted after his death and Lawal Yahaya Gumau of the All Progressive Congress won.The south Bauchi Senatorial District covers seven local government areas.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe inanikumbusha mbwembwe za Wakili msomi Lakha katika kesi ya Uhaini miaka ile ya 1980s

    Kesi ya Ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe itakuwa ni darasa zuri la Sheria kwa wanaopenda kujifunza kwa njia ya vitendo siyo nadharia. Sisi wahenga tulijifunza mengi katika kesi ya Uhaini iliyowakabili hawa akina Hans Pope wa Simba na wenzake waliotuhumiwa kutaka kumpindua Rais...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukweli utakaojitokeza juu ya Hukumu ya Kesi ya Bernard Morrison ambao Msemaji Bumbuli na Mawakili Uchwara wa Yanga SC hawaujui

    Siku zote Watu wa Simba SC ambao 99.99% si tu kwamba ni Wasomi bali pia tumebarikiwa Akili Kubwa ili tuweze kutoa Elimu kwa Mashabiki wenye bahati mbaya ya kuwa na Upeo mdogo pamoja na Uelewa mbovu kama wa Yanga SC. Hivyo basi kwa Faida ya Watu wenye Uelewa mdogo wa Kufikiri kutoka Yanga SC...
  3. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Bernard Morrison

    Tarehe 29 yanga mjiandae kwa kichapo kingine kutoka kwa Morrison Baada ya kesi mtawalalamikia TFF?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe yupo salama kiafya? Kwanini ndugu na wakili wakataliwe kumwona?

    Nimesikia Mhe. Mbowe ajaruhusiwa kuonana na ndugu zao Wala wakili wake. Hii siyo ishara nzuri nadhani anaweza kuwa na tatizo maana inabidi ujiulize anakula wapi na nani anampelekea chakula? Kwa aina ya mahabusu zetu hakuna chakula, Kama mtuhumiwa mzee wa umri wa Mbowe asipokula na stress za...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Leseni ya wakili wa Trump yasimamishwa kwa miaka miwili kwa kuchombeza madai ya yasiyo na ukweli

    On Thursday, a New York court suspended Giuliani's license to practice law in the state for two years, making him the first attorney to experience professional consequences for perpetuating lies about fraud in the 2020 election. The court found "uncontroverted evidence" that Giuliani had...
  6. Sauti ya Mamlaka

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Wakili Peter Kibatala, anafanya kazi nzuri

    Lengo la thread hii ni kutambua mchango wa wakili msomi Peter Kibatala kiukwel anafanya kazi nzuri sana katika mapambano ya haki na utawala wa sheria hapa kwetu Tanzania Hivo ningependa muungane na mm katika kumpongeza wakili huyu nguli na mjuzi wa sheria.
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Mwanasheria Mkuu anapanga hila za kuwavua uwakili Jebra Kambole na Edson Kilatu

    Ameandika Shangazi Fatma Karume kwenye ukurasa wake wa Twitter: "Kilangi kawapeleka Jebra Kambole na Edson Kilatu mbele ya Kamati ya Maadili ili na wao WAVULIWE UWAKILI na majina yao yafutwe kwenye ORODHA ya Mawakili. Kosa lao: Kutoa maoni yao Mtandaoni. Kilangi, AG kuwa Advocate no. 1 ni...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Wakili aeleza walivyosota gerezani na mkewe miezi 18, waamua kudai fidia

    THURSDAY JUNE 17, 2021 Dar es Salaam. Wakili Peter Madeleka na mkewe, Jamila Augustine Ilomo wameishitaki Serikali wakidai fidia ya mali kwa kukaa gerezani kama mahabusu kwa zaidi ya miezi 18 na baadaye kuachiwa buru baada ya makubaliano na DPP. Katika kesi Na. 10 ya mwaka 2021 aliyoifungua...
  9. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Uhusiano ovu (unholly alliance) baina ya Alexander Mnyeti na wakili Mutalemwa Kishenyi

    Moja ya matatizo ya serikali yetu ni kutokufuatilia kwa makini utendaji wa watumishi wa umma na inapofikia watumishi wakijipanga kwenye vikundi vyenye nia ovu na vinavyojiamini basi ofisi za umma zinakuwa sawa na madanguro ya kukusanya fedha na kuhujumu haki za wananchi. Hivyo ndivyo ilivyokuwa...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Yu wapi yule Robert Amsterdam Wakili maarufu?

    Amekuwa kimya sana kila nikimpigia hapatikani, mwenye taarifa zake atupatie au ampe taarifa tunataka kujua yale mafaili yetu ya zile kesi alizofungua yamefikia wapi. Ubaya hauna kwao. Mwisho wa ubaya ni aibu. Tumpigie kura mwakilishi wetu Diamond Platnumz aka Sadala.
Back
Top Bottom