wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha Yamekuwa Magumu” – Asilimia 75% ya Wakenya Wanasema Hali Imezorota

    Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita. Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita – kabla ya uchaguzi...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wamemkomalia Ruto na WanTam, sijui kama atatoboa 2027 uchaguzi wa Rais?

    WanTam ni One term President. Atatoboa kweli 2027 uchaguzi mkuu? au ni ushabiki /slogan za upinzani . Lakini ukiendwa Tweeter, WanTam inatawala kuliko political slogan zinazompa nguvu/uwezo wa kushinda Ruto!
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini tumezidiana Wakenya na Watanzania?

    Ni ujuha na mihemko tu kusema Watanzania tumewazidi Wakenya kila kitu au kusema Wakenya wametuzidi kila kitu. Uhalisia kuna mambo tunazidiana, haya ni baadhi. Watanzania tunayowazidi wakenya 1. Muziki 2. Mpira 3. Kiswahili 4. Bidhaa za kilimo 5. Madini Wakenya wanayotuzidi Watanzania 1. Ukubwa...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Wakenya wote waliomo humu na nje.

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/fyatu-mfyatuzi-waki-nyaa-mkome-kutaka-kutovuka-na-kutuvurugia--5059584
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Nani anaehusika kuharibu uzi wangu nikiwananga waKenya ?

    Leo jioni niliandika mada kuhusu walimu wa kikenya walivyokuwa wanakunywa nyuka mabel mstarini, lakini cha ajabu naona sijui ni wakenya wameingilia kati ? uzi ume editiwa yaani ili uonekane laini kama uji wa maziwa. Nilichokiandika hapa ni kweli na ni kweli tupu, hakuna haja ya kupepesa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge waelewe Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania

    Wakati Watanzania sio wawekezaji wakubwa Kenya . Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania na wanunuzi wakubwa na nafaka zetu za kilimo. Cha ajabu wabunge badala ya kuweka nchi mbele wanajiingiza kwenye kiki na uchawa ambao hauna msingi. Wamesahau kabisa ni sawa na kuanza kumtukana mteja wako...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kichambo cha Wakenya chasaidia: Kiingereza kuanza kufundishwa kama lugha ya Mawasiliano elimu ya msingi Tanzania

    Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano. Kwa waliotembea duniani, lazima tutakubaliana kuwa Nchi ya Kenya imekuwa na Diaspora wengi sana duniani tofauti na sisi kutokana na kukipa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama wabunge wangekuwa Elite wasingejibishana na Gen Z wa Kenya. Lakini wameonyesha ni daraja Moja. Mtu timamu hawezi kuwajibu na Gen Z wakenya

    Mpo salama! Mbunge mzima, yupo bungeni, anatumia muda wa bunge na watanzania kujibishana na Gen Z ya Kenya. Kweli! Ni ukosefu wa mambo ya kujadili au ni nini? Ni kuongozwa na mihemko au ni kitu gani? Yaani mtu mzima na akili zake asumbuliwe na Gen Z wa Kenya kweli? Nimesikitika Sana...
  9. Consigliere

    JamiiForums Tanzania Kama hili la Wakenya kujipanga kuwaomba msamaha Watanzani ni kweli, basi hilo ni tusi kubwa sana kwetu

    Leo mapema tu nikiwa natoka zangu Nakuru to Nairobi along the A104 highway (Nairobi-Nakuru Highway), nilipofika pale Kayole pande za Naivasha nikaona ninunue some drink and bites za kunipa company kwenye kasafi hako ambako si karefu ni kama Kanakaribia umbali wa Dar mpaka Moro. Nikaingia...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusijidanganye, Wakenya wana IQ kubwa kuliko sisi

    Chukua hii clip Kila mtu azungumze kwa Lugha yake mama halafu tuchambue mantiki ya kile anachoongea mbunge wa Tanzania bungeni na kile anachoongea huyo mwanafunzi kwenye mijadala ya kielimu. Utaona kuwa Tanzania na Kenya zina utofauti mkubwa sana. Speaker anakupa dk 5 ujenge hoja kwaajili ya...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

    Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua. 1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka. 2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Nashangaa mliwarudisha wale Wakenya mngewapeleka kulima kabisa

  13. F

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakenya ugomvi wenu na Samia usiwe ugomvi kati yetu sisi na nyie

    Sisi wananchi wa Tanzania hatuna ugomvi na Wakenya na hatujawasema vibaya wakenya na majirani wengine kama Uganda, Burundi, nk. Aliyewasema vibaya mnamfahamu, tafadhali shughulikeni naye na sio sisi wananchi. Sisi wananchi tunahitaji kufanya biashara zetu ndani ya nchi ya Kenya na nyie...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwa thamani ya Tanzania niwafurahishe wakenya?, CHADEMA kuna mahali mnakosea sana

    Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee, Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale? Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kama hawa sio CHADEMA, basi wakenya wanadhalilika sana

    Yaani kupambania tu ushoga usiingie Tanzania ndio iwe sababu ya kuchorwa na kudhihakiwa kiasi hiki kwa rais wa Tanzania?. Tanzania ni ichi huru na imejitosheleza kujiendesha kiutawala,ina mihimili yote mitatu iliyokamilika, wanapotoka watu kutoka inchi nyingine na kutaka kutupangia wanavyotaka...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Santuri ya Father Kitime imeondolewa ghafla, Sasa ni Haki za wakenya!

    Ni mwendo wa kutumia Kila fursa. Ukiona uchochezi huu imebuma, unakamata mwingine fasta!
  18. H

    JamiiForums Tanzania Wakenya wasipenyeze tabia zao chafu Tanzania

    Kila taifa lina tabia na tamaduni zake zinazostahili kuenziwa hata kwa mtutu wa bunduki. Wakenya wanatabia na tamaduni za kianzisha fujo na chokochoko nchini kwao na wakaangaliwa tu na serikali yao kwa kuwa inawadekeza hivyo. Kama wangekuwa na nia ya kuja kufuatilia kesi ya Lissu wangeomba kwa...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tanzania dhidi ya waKenya: Serikali na vyombo vya dola vimekosea sana, kidiplomasia tumeyumba mnoo

    Tuweke ushabiki pembeni, tuseme ukweli. Tujiulize haya maswali muhimu; 1. Hivi kulikuwa na ulazima wa serikali na vyombo vya dola vya Tanzania kuchukua hatua za namna hii? 2. Kulikuwa na ulazima wa Rais kujiingiza moja kwa moja, kichwa kichwa, mstari wa mbele, tena kwa kebehi, dhihaka na...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Farouk Kibet, msaidizi wa Rutto ataka wakenya wanaokuja Tanzania kufanya mambo ya kihuni wakamatwe wafungwe

    Sasa kumekucha! Mama Samia anaungwa mkono kila upande. Wakija tena sasa hivi breki ya kwanza SegereMatata.
Back
Top Bottom